Kwa wataalamu wa masuala ya website

Prince Luanda

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
1,921
2,184
Habari wanajf,
Nimekuwa nikipata shida kuitumia customized domain name yangu niliyoinunua kutoka kwenye domain register ya 1and1.com.
Kwenye account yangu ya 1and1.com nimejaza information zote kutoka blogger na nimeonyeshwa kwamba tayari ipo connected na blog yangu lakini kule kwenye blogger account bado hawajaicomfirm hiyo domain name yangu ,je tatizo liko wapi wajuzi?
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
UKISHANUNUA DOMAIN BADO HUJAMALIZA KIPENGELE, UNATAKIWA UNUNUE NA HOSTING SERVER NDIPO DOMAIN YAKO ITAKUWA CONNECTED NA BLOG YAKO KWA JINA LA DOMAIN YENYEWE, UTACHUKUA KITU TUNAITA DNS SETTING UTAZIJAZA KWENYE CONTROL PANEL YA HOSTING NDIPO KUTAKUWA NA MAWASILIANO BAINA YA DOMAIN NA BLOG YAKO

ukihitaji maelekezo zaidi naweza kukusaidia nicheck 0715387545 au ingia www.simuyangu.co.tz ingia sehemu ya acha ujumbe au chat
 
Asante sana mdau wangu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom