Kwa wataalamu wa mambo ya Harusi, nijuzeni hili.

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Jf wadau,
Muda huu niko hom, ambapo kila Jumamosi Tv ya Citizen (Kenya) mida hii huonesha matukio ya Harusi zilizopita lastwik, Na ndiyo kutokana na niliyoyaona katika kipindi hicho, yamezaa Thread yangu hii.
Katika harusi mbili nimeona maharusi wakipigana dry DENDA , yaani wanagusishana tu lips tourch , hawaingii ndani zaidi.
Wengine nimeona wanapigana mabusu ya mashavuni na kuishia hapo.
Wengine wanapigana Wet, moisture, humidity DENDA sijui lipi litakua neno sahihi, kwa maana ya Denda Oevu.
Shortly nachotaka kuelimishwa hapa ni lipi BUSU sahihi kati ya MABUSU haya ya aina 4 kwenye Harusi ?
- Dry busu
- Busu la kugusisha tu lips
- Busu la shavu
- Busu oevu tepetepete, lachilachi .
Nawasilisha
 
La kugusa 2 lips ndo mwake!by tha way napenda sana harusi za kenya.zipo simple na nzuri sana compare to Tanzanians
 
Kimaadili la kugusana lips ndio mwake hayo ya ndembe ndembe yatafanyika huko room!
 
Back
Top Bottom