Kwa wataalamu wa Lugha ya kingereza naomba msaada wa kujibu swali hili

You can say it like;
The King is here, with his wives. Only when the King is the main subject. But if the King and his wives were expected to arrive at the same time you will say; The King and his wives are here.
 
Is the confusion of Are and His because of the "King"?
Try to Replace "King " with anything else like
Juma and his wives.....here (are/is)
The Farmer and his wives....here (are/is)

In my opinion the "AND" between King AND his wives gives us two subjects .Hence it's appropriate to use ARE that IS

That's my two cents opinion

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu hamjambo,msaada wenu kwa hili swali
Naomba msaada wenu juu ya swali hili,kama mjuavyo kingereza ni nyama ya tembo,hivyo kwa Mimi peke yangu nimeshindwa kupata muafaka wa lipi ni jibu sahihi

THE KING AND HIS WIVES__________________HERE
(ARE/IS. ( )

Toa sababu kwa hoja/ chaguo lako yaani kwanini jibu ni is/are?

Sent using Jamii Forums mobile app
He (the king) is here with his wives. Kuna haja ya kutaja sababu hapa? Mimi nina kiherehere tu, sasa wataalamu wenyewe wameamua kupita tu bila kukujibu, wameogopa watashusha status zao
 
Wakuu hamjambo, msaada wenu kwa hili swali
Naomba msaada wenu juu ya swali hili, kama mjuavyo kingereza ni nyama ya tembo, hivyo kwa Mimi peke yangu nimeshindwa kupata muafaka wa lipi ni jibu sahihi

THE KING AND HIS WIVES__________________HERE
(ARE/IS. ( )

Toa sababu kwa hoja/ chaguo lako yaani kwanini jibu ni is/are?

Sent using Jamii Forums mobile app
Is ndio jibu sahihi hapo

King ni mtu mkubwa sana na amembatana tu na mkewe

So sentensi inamuhusu king, mkewe ni kiambata tu
 
Wakuu hamjambo, msaada wenu kwa hili swali
Naomba msaada wenu juu ya swali hili, kama mjuavyo kingereza ni nyama ya tembo, hivyo kwa Mimi peke yangu nimeshindwa kupata muafaka wa lipi ni jibu sahihi

THE KING AND HIS WIVES__________________HERE
(ARE/IS. ( )

Toa sababu kwa hoja/ chaguo lako yaani kwanini jibu ni is/are?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo jibu ni Is,kwa sababu inamrudia king,ambaye ndio subject.
 
Back
Top Bottom