Kwa wataalamu wa itifaki..

sexologist

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
2,283
976
Nina maswali mawili:

1) Waziri mkuu akiwa karibu na sehemu yake ya kukwaa pale jukwaani, anasalimiana na wageni mbalimbali, akiwa anaendelea na zoezi hilo, baadhi ya viongozi waliokwisha salimiwa wanaamua kukaa, kabla ya Waziri mkuu, ni sahihi?

2) Mke wa Rais kuingia uwanjani na msafara wake binafsi (sio wa Mh. Rais) tena baada ya viongozi wengine wa juu wakiwa wameingia. Je ni sahihi? Na yeye ana nafasi gani ya kiuongozi serikalini?

3) Wake wawili wa Makamu wa Rais kuwepo wote uwanjani kiserikali, tena nao kwa msafara wao binafsi, ni sahihi?

NAWASILISHA
 
ndo walivyopanga weka mpangilio wako halafu tukuambie kwanini haijawa hivyo
 
1) Baada ya kuingia Waziri mkuu na wote kusimama kama ishara ya heshima kiitifaki, hawakupaswa kukaa mpaka yeye PM akae.. kama ambavyo hufanya kwa Rais (kiongozi) anapoingia.

2) Mke wa Rais anapaswa kuingia na Rais, kwa maana hana nafasi ya utumishi wa serikali.. Kuwa na msafara wake na kuingia kabla tu ya Rais inaonesha ana cheo hata zaidi ya makamu wa Rais..

3) Wake wa makamu wa Rais hawapaswi kuwa na msafara wao, kwa maana wao si part ya utumishi wa serikali. Pia nadhani yapasa kumtumia mke mmoja tu kwa shughuli za kiserikali.. Si sahihi tukahudumia wake wawili.. Kama ndio katiba inaruhusu, je mama ana Mkapa alikuwa anachukua misharaha ya watu wawili? Au hli halipo kikatiba.?
 
1. Mkuu namba moja siwezi kupingana na wewe.

2. namba mbili hapo ni vigumu kwa mke wa rais kupanda gari la wazi pamoja na Mh Rais

3. Namba 3 naunga mkono hoja
 
Nina maswali mawili:

1) Waziri mkuu akiwa karibu na sehemu yake ya kukwaa pale jukwaani, anasalimiana na wageni mbalimbali, akiwa anaendelea na zoezi hilo, baadhi ya viongozi waliokwisha salimiwa wanaamua kukaa, kabla ya Waziri mkuu, ni sahihi?

2) Mke wa Rais kuingia uwanjani na msafara wake binafsi (sio wa Mh. Rais) tena baada ya viongozi wengine wa juu wakiwa wameingia. Je ni sahihi? Na yeye ana nafasi gani ya kiuongozi serikalini?

3) Wake wawili wa Makamu wa Rais kuwepo wote uwanjani kiserikali, tena nao kwa msafara wao binafsi, ni sahihi?

NAWASILISHA
1.PM lzm kwanza akae ndipo wengine wakae( isipokuwa Rais na VP kama wapo hao watakaa kwanza)
2.Mke wa Rais HANA DOLA na wala SIO AMIR JESHI MKUU na sikukuu kama hizi za kupigiwa Rais mizinga 21 hawezi panda gari la wazi;mke atatangulia kuingia uwanjani kwa usafiri wake akae jukwaa la VIP!Sheria inasema lzm First lady awepo kabla ya Rais hajaingia;haisemi chochote kuhusu wengine!
3.Katiba inamtambua MKE MMOJA ndiye anapaswa kuwemo kwenye payroll ya serikali na huyo wa 2 VP anatakiwa awe anamhudumia kwa pesa zake mwenyewe!
 
Wake wawili wa makamu wa rais...nafikiri ni wale wa kutoka zanzibar kwani wapo makamu wawili. Kama walikuwepo wake wawili wa makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano nafikirri siyo sahihi!
 
Nina maswali mawili:

1) Waziri mkuu akiwa karibu na sehemu yake ya kukwaa pale jukwaani, anasalimiana na wageni mbalimbali, akiwa anaendelea na zoezi hilo, baadhi ya viongozi waliokwisha salimiwa wanaamua kukaa, kabla ya Waziri mkuu, ni sahihi?

2) Mke wa Rais kuingia uwanjani na msafara wake binafsi (sio wa Mh. Rais) tena baada ya viongozi wengine wa juu wakiwa wameingia. Je ni sahihi? Na yeye ana nafasi gani ya kiuongozi serikalini?

3) Wake wawili wa Makamu wa Rais kuwepo wote uwanjani kiserikali, tena nao kwa msafara wao binafsi, ni sahihi?

NAWASILISHA
Ukichaa wa watendaji wa serikali ya ccm!
 
Back
Top Bottom