Kwa wataalam wa umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wataalam wa umeme

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Jaluo_Nyeupe, Feb 19, 2012.

 1. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Nina drill ya umeme yenye watts 1500. Ninahitaji kutumia generator ili kuiendesha, je inabidi nitumie generator la ukubwa (KVA) gani ili kuweza kufanya kazi kwa ufanisi mzuri?
   
 2. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Jibu lako ni la muhimu sana.
   
 3. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Kama unataka kumaliza mchezo tumia ya KVA 3.0 japo hata ya 2KVA itaisukuma bila shida kwani Watts 1500 ni sawa na 1.5KVA
   
 4. W

  Wandugu Masanja JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 1,535
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  unatumia umeme gani 120 au 220
  jawabu ya haraka tumia ohm's law ni rahisi kuelewa
   
 5. E

  ENGINE CONTROL Senior Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwani tanzania tunatumia umeme wa 120 au 220?? Swali lako halina mashiko.
   
 6. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  nataka kununua jenereta so sipendi nichukue yenye uwezo mdogo wa kuendesha chombo au nitumie pesa zaidi katika kununua jenereta lenye uwezo mkubwa zaidi ya unaohitajika. Unanishaurije hapo?
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ohms law state that:

  V=IR
   
 8. Mshindo

  Mshindo JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 479
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  KVA 2.0 (Ambayo ni sawa na Watts 1600) inaweza kufanya kazi lakini hii itamaanisha generator yako i-operate karibu sana na rated capacity yake- which is not very healthy ukizingatia efficiency za machine za siku hizi na uchakachuaji wa masoko yetu.
  Ushauri tu pia,hebu fanya cost-benefit analysis,je tofauti ya bei kati ya 2.0KVA na 3.0KVA au pengine na 5.0KVA ipoje? Maana isije ikatokea kesho kutokana na mahitaji ya kazi umenunua Drill m/c kubwa kdogo tu unahitaji generator mpya!
  Thanks
   
 9. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  hapo kwenye Blue mshikaji kamaliza!!
   
 10. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Asanteni kwa ushauri wenu wakuu.
   
 11. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2012
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  umejuaje kama 2kva ni watt 1600? umejua phaze angle ya jenerator husika? wakati generator karibu zote hasa hizi za siku hizi cos theta ni 1. i mean angle ni 0.
  hivyo 2kva ni sawa na 2kw
   
 12. Big Daddy

  Big Daddy Member

  #12
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  unatumia drill machine peke yake au una vitu vingine vitumiavyo umeme? Kwa watts 1500 2KVA inatosha
   
Loading...