Kwa wataalam wa hisabati

Mwana Mwema

Senior Member
Nov 15, 2012
142
124
Wataalamu msaada hapa, hii kitu huwa imanichanganyaga sana:-

Nina Tshs. 500

SPEND BALANCE
1) 200…....…...............300
2) 150..........................150
3) 90.….......................60
4) 60............................0

TOTAL:. 500 510

Tusaidiane inakuwaje tota balance na kiasi alicho spend kinatofautiana?
 
Hapo gawia kipeuo cha pili, na utafute thamani ya x utapata jibu!
 
ulichotumia plus any unspent balance at a given time inatakiwa ikupe jumla ya kilichokuwepo kwa ajili ya matumizi not otherwise
 
Wataalamu msaada hapa, hii kitu huwa imanichanganyaga sana:-

Nina Tshs. 500

SPEND BALANCE
1) 200…....…...............300
2) 150..........................150
3) 90.….......................60
4) 60............................0

TOTAL:. 500 510

Tusaidiane inakuwaje tota balance na kiasi alicho spend kinatofautiana?
Mkuu hiyo siyo 'hisabati' Bali ni chemsha bongo kama nyingine.

Na pia Kuna scenario moja hapo hujaiandika. Maana umeanzia kazi tu
 
Nina Tshs. 500

SPEND BALANCE
1) 0 ...........................500
2) 200…....…...............300
3) 150..........................150
4) 90.….......................60
5) 60............................0

TOTAL: 500 1010

Hapo vipi
 
Na hapa je?

Spend.......,.........Balance
1) 0……….....…..........500
2) 10..............….......490
3) 5...……..................495
4) 5..…............. .. ....480
5) 6...........…......... ....474
6).11................... . ..463
7). 463....…..…............0
Total 500. 2802

Zinakaribiana hizo?
 
Wataalamu msaada hapa, hii kitu huwa imanichanganyaga sana:-

Nina Tshs. 500

SPEND BALANCE
1) 200…....…...............300
2) 150..........................150
3) 90.….......................60
4) 60............................0

TOTAL:. 500 510

Tusaidiane inakuwaje tota balance na kiasi alicho spend kinatofautiana?


Au ulidhani the balance money huwa inajizaa yenywe??!!🤣---- kama ingalikuwa ni hivyo watu wangalikuwa wanaweka balance money kwenye vibubu.🤣
 
Back
Top Bottom