Kwa wataalam wa Hesabu au kufumbua mafumbo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wataalam wa Hesabu au kufumbua mafumbo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Manyovu, Aug 12, 2011.

 1. M

  Manyovu Member

  #1
  Aug 12, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 15
  Yuko rafiki yangu amenitumia swali hili hapa chini; nimeliangalia naona kama halijakaa vizuri kulingana na uelewa wangu wa hesabu. Wewe unasemaje?

  Any answers to this question: ( You saw a shirt for £97. You didn't have enough cash so you borrowed £50 from your mum and £50 from your dad =£100. You bought the shirt and had £3 change. You gave your mum £1 and your dad £1 and kept the other £1 for yourself. Now you owe your mum £49 and your dad £49. 49 + 49 = 98 + your £1 = 99. Where's the missing £1?)
   
 2. g

  gwaks inc Member

  #2
  Aug 12, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dah ngoja tuwasubir wanazuoni
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mhh nadhani nusu ya 97 = 48.50

  Kwahiyo pesa iliyotumika ya wazazi kununa vazi ni 48.50 a sio 49. Kwa kuwapa 49 maana yake umejipunja senti 50 zako kwa kila mzazi ndio maana unaona kama £ 1 ina miss.

  So hesabu nzima iko kwenye kugawa 97 nusu kwa nusu sababu kila mzadi alikuwa kiwango sawa.
   
 4. Juma kaka

  Juma kaka New Member

  #4
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "uhai wangu uligana na umbo langu na uhai wangu wenyewe utegemea umbo la mtu mwingine"
   
 5. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 994
  Trophy Points: 280
  Hauwezi kuchanganya maembe na vitunguu ukasema yote ni maembe.In this context hakuna missing £1
   
 6. .Daniel.

  .Daniel. Member

  #6
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nothing is missing.
  what you have is not yours ni sehemu ya mkopo.ijumlishe kwenye 97 uliyoitumia utakuta unadaiwa 98.then check the reality! uliwarudishi 1 each of them kwahiyo kila mmoja anakudai 49 hivyo unadaiwa 98!
  kufanya 49+49=98+your 1=99 ni kujifanya wewe unayedaiwa kuwa na wewe unadai 1 na kwa vile in reality you were having nothing ndiyo hiyo unayoitafuta.
  usiweke vitu vya uhalisia na vya kufikirika kwenye kapu moja.hesabu ni hii: deni 49+deni 49=deni 98+2(payed back)=100!
   
 7. .Daniel.

  .Daniel. Member

  #7
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kumbuka he had nothing!
  lakini kwa kuwa ni kilaza, anazifanya hesabu za uhalisia kuwa zakufikirika matokeo yake ndiyo hayo anatafuka kitu ambacho hakipo!
  49+49=98 (deni)+2(payed back)=100.kuthibitisha deni chukua moja aliyobakiwa nayo+97 alizotumia=98!
   
 8. Shoo Gap

  Shoo Gap JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 236
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hakuna logic ya kufanya £98 +£1, kwani £98 ni deni, lakini £1 umebakiwa nayo. Kwa lugha ya kihesabu £98 is -ve while £1 uliyobakiwa nayo ni +ve. Ukizijumlisha huwezi kupata £99 bali £97.
   
Loading...