Mwaka unaelekea ukingoni. Binafsi ni msomaji wa makala ktk magazeti mbalimbali ya hapa Tz. 2015 ni mwaka uliokuwa na tukio la uchaguzi mkuu.
Wachambuzi mbalimbali waliandika makala nyingi za kuelimisha. Wengi walilalia upande. Ni wachache walibaki na misimamo yao thabiti.
Mimi waandishi waliokuwa bora kwangu ni JENERALI ULIMWENGU NA AHMED RAJAB.
Kwa wana jf mnaopendelea makala ni wachambuzi gani waliwavutia?
Karibu tuchangie.