Kwa wasiwasi alionao Rais Dkt. Magufuli huu 'Utatu Bora ' unasubiri nini ' Kuwajibika ' kwa Maslahi mapana ya Umma?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
57,292
110,925
Ukimuangalia Mheshimiwa Rais hupati shida wala shaka kujua ya kwamba haridhishwi na ' Utendaji ' wa Jeshi la Polisi na Wizara husika hasa katika ' Sakata ' zima la Kutekwa kwa ' Tajiri ' Dewji na pengine anashangaa ni kwanini ' Watendaji ' wake hadi leo hawajaziachia ' Nyadhifa ' zao kwani walionyesha ' Failure ' ya Kiwango cha juu mno.

Nauliza Waziri husika Kangi Lugola, IGP Sirro na Kamanda Mambosasa mnasubiri nini Kuachia tu hizo Nafasi zenu ili muendelee na Majukumu yenu mengine ya Kifamilia na Kutunza ' Wajukuu ' zenu? Mnataka hadi Mheshima Rais ' awatumbueni ' kisha ' muaibike ' na Sisi kama kawaida yetu tuanze ' Kuwachambua ' hapa kwa marefu na mapana?

Hivi nyie akina Waziri Lugola, IGP Sirro na Kamanda Mambosasa mmeshajiuliza ni kwanini Mheshimiwa Rais alisema kwamba namnukuu " Msidhani Watanzania ni Wajinga na tambueni kuwa Watanzania wanajua Kuchambua mambo tena kuliko ambavyo mngeweza Kujua na hawadanganyiki hovyo. Hapa lazima kuna tatizo na kuna ukweli ambao haujawekwa wazi hapa hivyo hili jambo lishughulikiwe ".

Na labda niwasaidieni tu Mheshimiwa Rais alipokuwa akisema kuwa Watanzania wanajua sana ' Kuchambua ' mambo alikuwa anamaanisha Wanachama ( Members ) wote wa JamiiForums na pia alikuwa akiusifu japo ' indirect ' huu Mtandao kwani siyo Siri hakuna mahala ambapo utawakuta Watu ' waliobarikiwa ' akili vyema na zilizo tukuka kama wana JamiiForums na siyo Siri Mheshimiwa Rais hapa JamiiForums Sisi ' Members ' huwa tunanyoosha kweli bila Kupepesa macho, Kumung'unya maneno wala Kutikisa masikio.

Mwisho kabisa nakuomba sana Mheshimiwa Rais jaribu kila Siku uwe unatenga muda wako wa angalau kuwa unapitia tu huu Mtandao ' pendwa ' wa JamiiForums kwani nina uhakika wa 100% kwamba kwa jinsi Watu wanavyotiririka na kuserereka hapa basi ukichukua mawazo na ushauri unaweza ' Utendaji ' wako ukaboreka maradufu na hata pale tukiwa tunakupiga ' Madongo ' ya hapa na pale usichukie wala kukasirika bali vumilia tu kwani pia tunakuwa tunakujenga kisawasawa na najua ipo Siku utakuja Kuusifia huu Mtandao japo tungependa pia kama utaweza uwe ' Verified Member ' hapa ili itusaidie Kuwasiliana nawe moja kwa moja kwakuwa wengine uwezo wa kuja kuonana nawe hapo Ikuluni Kwako hatuna.

' Utatu Bora ' huu wa Lugola, Sirro na Mambosasa achieni tu ngazi mapema. Msiseme hatujawashaurini!

Nawasilisha.
 
Unataka kwenda kuona ikuluni kwake upanyie nini mkuu(Jokes),

Mr prez/jiwe/ akija kuwa verified user mods inabidi wampin asisome wala kuona baadhi ya michango ya wadau au wamueditie kila Uzi asome kile anachopenda kusikia ( refer bunge live) kabla Uzi haujamfikia Kwa phone yake la sivyo betri ya moyo itahusika.

Zero IQ
 
Ukimuangalia Mheshimiwa Rais hupati shida wala shaka kujua ya kwamba haridhishwi na ' Utendaji ' wa Jeshi la Polisi na Wizara husika hasa katika ' Sakata ' zima la Kutekwa kwa ' Tajiri ' Dewji na pengine anashangaa ni kwanini ' Watendaji ' wake hadi leo hawajaziachia ' Nyadhifa ' zao kwani walionyesha ' Failure ' ya Kiwango cha juu mno.

Nauliza Waziri husika Kangi Lugola, IGP Sirro na Kamanda Mambosasa mnasubiri nini Kuachia tu hizo Nafasi zenu ili muendelee na Majukumu yenu mengine ya Kifamilia na Kutunza ' Wajukuu ' zenu? Mnataka hadi Mheshima Rais ' awatumbueni ' kisha ' muaibike ' na Sisi kama kawaida yetu tuanze ' Kuwachambua ' hapa kwa marefu na mapana?

Hivi nyie akina Waziri Lugola, IGP Sirro na Kamanda Mambosasa mmeshajiuliza ni kwanini Mheshimiwa Rais alisema kwamba namnukuu " Msidhani Watanzania ni Wajinga na tambueni kuwa Watanzania wanajua Kuchambua mambo tena kuliko ambavyo mngeweza Kujua na hawadanganyiki hovyo. Hapa lazima kuna tatizo na kuna ukweli ambao haujawekwa wazi hapa hivyo hili jambo lishughulikiwe ".

Na labda niwasaidieni tu Mheshimiwa Rais alipokuwa akisema kuwa Watanzania wanajua sana ' Kuchambua ' mambo alikuwa anamaanisha Wanachama ( Members ) wote wa JamiiForums na pia alikuwa akiusifu japo ' indirect ' huu Mtandao kwani siyo Siri hakuna mahala ambapo utawakuta Watu ' waliobarikiwa ' akili vyema na zilizo tukuka kama wana JamiiForums na siyo Siri Mheshimiwa Rais hapa JamiiForums Sisi ' Members ' huwa tunanyoosha kweli bila Kupepesa macho, Kumung'unya maneno wala Kutikisa masikio.

Mwisho kabisa nakuomba sana Mheshimiwa Rais jaribu kila Siku uwe unatenga muda wako wa angalau kuwa unapitia tu huu Mtandao ' pendwa ' wa JamiiForums kwani nina uhakika wa 100% kwamba kwa jinsi Watu wanavyotiririka na kuserereka hapa basi ukichukua mawazo na ushauri unaweza ' Utendaji ' wako ukaboreka maradufu na hata pale tukiwa tunakupiga ' Madongo ' ya hapa na pale usichukie wala kukasirika bali vumilia tu kwani pia tunakuwa tunakujenga kisawasawa na najua ipo Siku utakuja Kuusifia huu Mtandao japo tungependa pia kama utaweza uwe ' Verified Member ' hapa ili itusaidie Kuwasiliana nawe moja kwa moja kwakuwa wengine uwezo wa kuja kuonana nawe hapo Ikuluni Kwako hatuna.

' Utatu Bora ' huu wa Lugola, Sirro na Mambosasa achieni tu ngazi mapema. Msiseme hatujawashaurini!

Nawasilisha.
Mtandao huu ndiyo ulioathiri kura za yule aliyepita na kuamua kuja na dubwasha la Cybercrime Act,wanauchukia basi tu hakuna namna.
Na unavyofikiria pale aliposema anatamani mitandao ya kijamii kuzimwa,ulidhani anamaanisha nini?
 
Gentamycine. Hili jambo la utekwaji limetokea sana na hasa mikoani. Lakini naona ya kada imekuwa muhimu zaidi . Je akina Zakaria, Ulimboka , Roma, Agwanda, Saa 8 nk nk walitekwa na nani ?! Na chunguzi zao zipo Sawa ?!.

Najuwa mh. anajitahidi ajitenge, na mtindo huu uliokuwa umeanza karibu miaka minne au mitano iliyopita, na ndiyo vizuri . Hii ya kutumia mbinu za utekaji, utesaji na upotezaji. LAKINI NI RAHISI KUVIANZISHA VIKUNDI HIVI, NA NI NGUMU SANA KUVIMALIZA.
Nyerere aliwahi kutuonya, kuwa mtu akishakula nyama ya mtu hawezi kuacha. Mkuu awajibike sana na ajitenge na huu u Bokassa hadharani .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom