Kwa wasiomjua, huyu ndio mtoto pendwa wa Rais mstaafu Benjamin Mkapa

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,630
3,578
Kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu wizara ya ardhi nyumba na makazi

E10CF6EC-12BC-4664-B59C-3FD2433AE9E8.jpeg
Mka.jpg
 
Wakuu kwema poleni kwa msiba mzito

Binafs sijawai kuwaona wala kuwafahamu watoto wa hayat rais BWM kama ilivyo kwa kina Dr Hussen Mwinyi, Madaraka, Makongoro, Ridhiwani na wengine wengi watot wa viongoz wa taifa hili

Na hata siku moja cjawai sikia kashfa yoyote inaelekezwa kwa watoto wake je kuna mtu humu jf anazo picha ya mmoja au wote wanaotwajwa. Kwa kuwa inasemekana marehemu ameacha mjane na watoto wawili ..Ni kina Nani hao na je hata picha jmn hakuna

Najuwa huku kuna wajuzi wa mambo mengi hasa waliozaliwa 1970 na kuendeleaa

Naomba samahani kam nitakuwa nimemkwaza mtu yeyote humu kwa kuoji kwangu

R.I.P BMW
 
Familia za kimasikini ambazo hazina Godfathers kule juu watoto wetu wataendelea kula nyasi
Hujui unachoongea, viongozi wakuu karibu wrote wametokea familia duni , anzia Magu, kikwete, Mkapa mpaka Mwinyi. Ni watu walio pambana wenyewe hadi wakafika hapo.

Hizi fikra za godfather ni potovu. wale unaowaona hawafiki popote, anzia Makongoro etc. Kama ingekuwa godfathers to sons and daughter. Makongoro Nyerere angekuwa Raisi wa jamuhuri ya Tanzania. Riz one Raisi etc.
 
Nasikiasikia hakuwa na mtoto, ila mke wake ndio ana watoto kwa mume wake wa kwanza.
Kwa taarifa zilizopo, marehemu alinunua shamba lililovunwa mara moja bila yeye kujua. Akalima kwa mafanikio mara mbili, akaja kuambiwa kuna zao kutoka shambani kwako liko stoo, akamjua mkulima aliyemtangulia basi haikuwa tabu.

Nirudi kwenye mada, mtoto wake mmoja kati ya wawili, alioa wakati marehemu akiwa bado raisi na nakumbuka alienda kutoa mahari/uvishwaji wa pete ya uchumba kwa usafiri wa Hiace dungu akikaa mbele na wanafamilia nyuma.

Kijana alisoma Harvard, akaoa mtoto wa Jaji aliyekuwa naye chuoni Harvard pia.
 
Merinyo huyo ndo alimuoa mtoto wa Judge Mbuna anaitwa Foster
 
Back
Top Bottom