KIMAROO

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
453
258
Kabila la Wachaga linafahamika kwa wengi kuwa linapatikana mkoani Kilimanjaro.Kwa asili, Wachaga ni mchanganyiko wa Wamasai, Wasambaa, Wataita, Wakamba na Wakahe.

Wachaga walianza kuhamia kwenye miteremko ya Mlima Kilimanjaro kwenye karne ya 17.

Walipofika wakiwa katika vikundi vidogovidogo waliwakuta wakazi, wenyeji kwenye Misitu ya Mlima Kilimanjaro walioitwa ìWakonyingo..

Wenyeji hawa ambao huitwa Mbilikimo hawakupenda kuchanganyika na wahamiaji wageni, hivyo wakahama na kuanzisha makao yao ya kudumu kwenye misitu minene iliyopo nchini Kongo.

Watu wengi wanafikiria kwamba Wachaga wanatokana na asili moja. Ukweli ni kwamba wamegawanyika katika himaya 15, wanatofautiana kwa lafudhi, lugha, rangi na mwonekano wa miili yao.Wachaga wapo katika makundi makuu matatu ya Hai, Vunjo na Rombo.

Wale wanaopatikana eneo la Hai ni Wasiha, Wamasama, Wamachame,Wangíuni, Wakibosho, Wauru na Wamoshi. Kwa wale wanaopatikana eneo la Vunjo ni Wakirua, Wakilema, Wamarangu, Wamamba na Wamwika.

Kutoka eneo la Rombo ni Wamkuu, Wamashati na Wasseri.
Hadi sasa haijulikani vizuri asili ya jina Wachaga, ila wanahistoria wanaeleza kwamba jina hilo linatokana na neno la Kiswahili linaloitwa 'Kichaka'.

Inaelezwa kwamba misafara ya wafanyabiashara iliyokuwa ikiongozwa na Waswahili pamoja na Waarabu, walipokuwa wakipita maeneo ya Vunjo waliwaona wenyeji wa huko wakiwa wamejenga vibanda vya kulinda mazao yao yasiliwe na wanyama waharibifu.

Wakawaita wenyeji hawa kwamba wanaishi vichakani na kuanzia hapo wageni wafanyabiashara na Wamisionari walipokuwa wanakuja Kilimanjaro walielekezwa na waongozaji misafara yao kwamba wanakwenda kwenye nchi ya ìUchakani,î, wakimaanisha kwamba kwa watu wanaoishi vichakani.

Hatimaye wageni wakashindwa kulitamka vizuri neno hili na kuliita ìUchagani,

Jina hili likawekwa kwenye ramani na kuitwa nchi ya ìWachaga.î Hivyo ndivyo wenyeji waliokuwa wakiishi kwenye Miteremko ya Mlima Kilimanjaro walivyopewa jina lao. Wachaga.

Maendeleo ya Wachaga
Maendeleo yao hapo awali yalitokana na zao la kahawa. Walifanikiwa kuanzisha vyama vya ushirika na hatimaye mwaka 1932 walianzisha Halmashauri ya Wachaga (Chaga Council) ambayo kwa sasa inatumiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Moshi.
Halmashauri hii iliongozwa na Mangi Mkuu ìMshumbue Thomas Marealle II.

Mwaka 1946, utawala wa Waingereza uliboresha Baraza la Halmashauri ya Wachaga. Himaya ndogo za Wachaga zipatazo 17 (himaya mbili za Wakahe na Waarusha chini zilijumuishwa kwenye Tarafa ya Vunjo) na kuundwa kwa Tarafa tatu za Hai, Vunjo na Rombo.

Halmashauri ya Wachaga ilijenga miundombinu na huduma za jamii ikiwamo kuwasomesha watoto wao kwenye shule na vyuo mbalimbali kama Chuo Kikuu cha Makerere, Uganda.

Halmashauri ya Uchaga ilikuwa na bendera yake ambayo ipo hadi leo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, yenye nembo tano kuu:

1- Mlima Kilimanjaro uliochorwa katikati ya bendera ukionyesha mandhari nzuri ya kilele cha Kibo. Kilele cha Kibo kinatoa maji safi na ni kielelezo cha umoja wao.

2- Chini ya kilele cha Kibo, upande wa kushoto wa bendera kuna mgomba wenye ndizi. Hiki ni chakula kikuu cha Wachaga.

3- Upande wa kulia wa bendera ni tawi la mbuni ukiwa na matunda yake. Kahawa ni zao lililowaletea maendeleo.

4- Bendera imezungukwa na matawi ya 'sale' lenye matawi mawili (draceana plant). Matawi haya yamefanya mduara kuzunguka kilele cha Kibo, mgomba wa ndizi na tawi la zao la kahawa. Masale ni mmea unaoheshimiwa sana na Wachaga wote.

Ni alama ya amani. Masale hutumika katika sherehe na shughuli zote za kimila zinazofanywa na Wachaga. Majani yake ni kijani kibichi yanayoonyesha jinsi Kilimanjaro ilivyo na rutuba nzuri inayostawisha mazao ya kila aina.

5- Juu kidogo ya kilele cha Kibo yupo chui ambaye amejipumzisha. Chui ni alama kuu ya mamlaka ya Wachaga.

Hapo awali kwenye miteremko ya Mlima Kilimanjaro walikuwepo chui wengi wa rangi nyeusi lakini kutokana na ongezeko la watu pamoja na uharibifu wa mazingira chui hawa wametoweka.

Sikukuu ya Wachaga
Sikukuu ya Wachaga wote ilikuwa ikiadhimishwa Novemba 10 kila mwaka kama kumbukumbu ya siku ambayo Wachaga wote walipokusanyika na kumchagua Mangi Mkuu baada ya kuteuliwa na Halmashauri Kuu ya Uchaga.

Maadhimisho ya kwanza ya mwaka 1952 yalitanguliwa na uchaguzi wa Halmashauri ya Wachaga wote kuanzia kwenye ngazi ya Uchili (kijiji), Umangi ( uchifu wa eneo) na mwisho ngazi ya baraza kuu.

Sherehe ziliadhimishwa mjini Moshi ambako Wachaga wote pamoja na wageni waalikwa kutoka mataifa mbalimbali walikusanyika katika Viwanja vya Halmashauri ya Uchaga (sasa ni makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, [Kilimanjaro District Council-KDC]) kushuhudia sherehe kubwa na yenye kusisimua sana.

Jumba la Makumbusho
Upo umuhimu mkubwa wa kuhifadhi historia ya Wachaga kama kumbukumbu sahihi kwa vizazi vya sasa na vijavyo.

Pia, ipo haja kwa majengo ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi pamoja na Ikulu yakarejeshwa kwa Wachaga ili yageuzwe kuwa majengo ya kuhifadhi kumbukumbu ya kabila hilo.

Katika majengo haya patahifadhiwa nyaraka zote za Chaga Council ambazo baadhi zimeshaanza kutoweka, kutahifadhiwa pia shughuli za mila na kiutamaduni tangu enzi ya karne ya 18.

Halmashauri ya Wilaya ya Moshi haina budi kutafuta eneo la kujenga majengo mapya badala ya kuyatumia ya kihistoria.

SOURCE:MWANANCHI
=====

MAONI YA WADAU, WACHAGA NI WAYAHUDI

WACHAGGA
Je unajua kuwa wachagga ni wayahudi?
Kabila la Wachagga linalopatikana Kaskazini mwa Tanzania, asili yao ni Wayahudi wa Ethiopia wanaoitwa Falasha – kutoka Mkoa wa Amhara kwenye kati ya vilima vya kati huko Ethiopia.

Je ni nani hawa falasha
Falasha ni jamii ya kiyahudi ya kundi la Solomonic ambapo Malkia wa Ethiopia alifika Israeli na akazaa mfalme Sulemain na watoto wa, au kizazi kilichotokana na uzao wa Solomon na malkia huyu ndio wanaoitwa Falasha.

Mnamo mwaka 150 kabla ya Kristo kulitokea vita ambayo ilifanya falasha kutawanyika, kisa cha vita hiyo ulikuwa ni wivu tu wa kabila la amhara na tigrey kwa kuona kama falasha wanataka kuwatawala au wameongezeka sana na pia wakaona kama hao falasha wana akili nyingi sana,hivyo wakawafukuza kutoka eneo hilo la Amhara na Tigrey, wengine wakaenda Kaskazini na wengine wakateremka Kusini, walipokuwa wanawafukuza wakawa wanasema chaggy yaani wameteremka kwa lugha ya kitigrey.

Walioteremka wakaweka makazi yao kwenye eneo la waoromo karibu na mpaka wa Kenya, ambapo walikaa takribani miaka 200 na wakawa wengi , na ikaonekana wanataka kuwazidi wenyeji kwa kila jambo, kukatokea tena chuki iliyofanya wazidi kuteremka chini mpaka eneo la Borana, wakaweka tena makazi yao hapo na kuchanganyika na wenyeji wao ambao ni Borana. Eneo la Borana walikaa zaidi miaka 100,chuki na wenyeji ikatokea tena, na hivyo kuwalazimisha kuzidi kuteremka zaidi hadi Ukambani nchini Kenya, hapo walikaa takribani miaka 200 na kuzaliana sana na wenyeji.

Mwaka wa 400 baada ya Kristo walifurushwa tena na wakamba ambapo safari hii walielekea magharibi ya Ukambani na kuwasili eneo ambalo leo hii linaitwa Kilimanjaro, ambapo waliwakuta wenyeji ambao ni watu wafupi wanaoitwa WAMBUTI AU MBILIKIMO. Wakawapiga na kujitwalia eneo lote la Kilimanjaro. Mbilikimo hawo walitoroka na kuelekea Magharibi ya Kilimanjaro kuelekea Kongo.

Kuanzia mwaka huo wa 400, baada ya Kristo Wachagga [Yaani Wayahudi wa Kilimanjaro] wamekuwepo hapo hadi leo.
MIFANO YA MANENO YA KICHAGGA NA KIEBRANIA YANAYOFANANA.
1. YAVE [Kichagga] Ni sawa na YAHWE kwa Kiebrania [ambapo ni jina la Mungu].

2. ELI: Hili pia ni jina la Mungu kwa Kichagga na Kiebrania pia
Majina ya Kichagga yenye neno ELI, Mwisho au Mwanzo wa jina yamekuwepo uchaggani hata kabla ya kuingia Ukristo hapa Kilimanjaro. Mfano: Wangaeli, Elinganya, Shafuraeli. Eliufoo, Elisaria, Apaeli.

TABIA ZA WACHAGGA
Wachagga ni watu werevu sana na wenye Akili nyingi sana
 Wachagga huwa hawapendi kupata usumbufu wanapotafuta maisha
 Wachagga ni watu wachapakazi kuliko kabila lolote lile hapa Africa.
 Wachagga ni watu makini sana na wanajua kutumia fursa yeyote iliyo mbele yao ambayo watu wengine wanaona sio fursa.
 Wachagga wanajua kutunza siri sana na wanajua kupeana habari yoyote ile inayo onekana kuhatarisha maisha yao bila mtu mwingine kujua wanapeana habari.
 Wachagga hawapendi kudhulumiwa au kuonewa [wapenda haki] kwa namna yoyote ile.
Mfano: Mnamo mwaka 1936 wachagga walichukizwa sana jinsi Serikali ilivyokuwa inaingilia Biashara yao ya Kahawa, wakapeana habari bila yeyote nje ya wachagga kujua, kuwa wabomoe Majengo yote yaliyokuwa yanatumika kukusanya Kahawa, Majengo yote yakabomolewa usiku mmoja, kuanzia Rombo hadi Siha, yalibomolewa kuanzia saa sita usiku hadi saa nne usiku huo, yote yakavunjwa.
Jaribu kufikiri wakati huo hakuna Barabara nzuri wala magari, wala simu, lakini waliweza kupeana taarifa juu ya jambo la kufanya, na waliweza kufanya.
 Wachagga siyo watu wanafiki hata kidogo.
 Wachagga wanajulikana kwa uadilifu wao, mchagga huwezi kumhonga ili apindishe Sheria Aslani, maana ni watu makini, na ndio maana wazungu wengi toka Ulaya wanataka kufanya kazi, na wachagga, wanakuwa wameshajulishwa na wenzao kuwa watu makini na waadilifu ni wachagga.
 Wachagga ndio watu wa kwanza Afrika kuanzisha Chama cha Ushirika.
 Wachagga ndio watu wa kwanza kudai Uhuru.
 Wachagga ndio watu wa kwanza kupandisha maji toka mtoni kwa njia ya mfereji kwa ajili ya umwagiliaji.
 Wachagga ndio Kabila la kwanza Afrika kuanzisha gazeti lao lililoitwa KOMKYA [Yaani kumekucha] liloanzishwa mwaka 1920.
 Wachagga ndio watu wa kwanza Afrika kuwa na Baraza lao lililoitwa Chagga Council
 Wachagga ndio watu ambao chakula chao cha Asili kimesambaa Nchi nzima [Mtori] na pia kinapikwa huko Ulaya kwa jina la Kilimanjaro Soup.

GAVANA EDWARD TWINNING NA RICHARD TURNBULL
Wakati gavana Edward Twinning alipokuwa anamkabidhi madaraka Richard Turnbull, alimpa wosia ufuatao.
Mara: ndio mkoa mgumu sana kuutawala [the most difficult region, rule]
MOSHI: ndio eneo lenye watu intellectual, na wanaosadikiwa kuwa ni falasha [wayahudi wa Ethiopia]
Majina ya Koo za Kichagga zinazofanana na za Kiebrania
Mushi, Lema, Kimario, Assey, Shirima, Rabo, Massawe, Lawi.

Dimitris Kimarios: Huyu alikuwa myahudi wa Ugiriki aliyefika Kilimanjaro mwaka wa 540 baada ya Kristo akitafuta wayahudi waliotokea Ethiopia na ndie mtu wa kwanza kuandika Neno, KILIMANJARO kwenye kumbukumbu za Kigiriki.
Ukiibariki Israeli na wewe utabarikiwa na Ukiilaani Israeli na wewe utalaaniwa Asema Bwana.
“Hivyo kumbe pia Ukiilaani Kilimanjaro na wewe Utalaaniwa na Ukiibariki Kilimanjaro na wewe utabarikiwa, hii ni mimi mwandishi nimesema”;

Hebu jaribu kuwaza wewe ambaye sio mchagga ulipomuoa Mchagga ulikuaje kabla hujamuoa na baada ya kumuoa umekuwaje? Tafakari,utafiti wangu unaonyesha wote waliooa wachagga wamebarikiwa. Hebu waza wewe ambaye umewavuruga wachagga ulikuwaje kabla ya kuwavuruga na je baada ya kuwavuruga au kuwasema vibaya umekuwaje? tafakari, mifano ni mingi sana kwa wote walio wavuruga au kuwasema vibaya wachagga waliishia mahali pabaya.
ASILI YA JINA LA WACHAGGA
Jina chagga linatokana na neno la Kabila la Tigrey huko Ethiopia likiwa na maana wameteremka, na hiyo ni wakati wachagga walipokuwa wanafukuzwa na makabila ya Tigrey na Amhara.
MJI WA MOSHI
 Mji wa Moshi ndio sawa na Jerusalem ya pili kwa wachagga.
 Mji wa Moshi ndio ambao unabiashara zinazokwenda kasi kuliko mji mwingine wowote ukiacha Dar es Salaam.
 Angalia mji wa Moshi una matawi ya Benki 20 na unasemwa ni mji sio Jiji? je mji wako una Benki ngapi? Tanga zipo 9 Mbeya ziko ngapi? Mwanza je? Dodoma je? Tafakari
 Mji wa Moshi una Mahoteli mengi sana ukiwa unakaribia Arusha na Dar es Salaam.
 Mji wa Moshi ndio wenye Supermarket nyingi namini supermarket nyingi baada ya Dar es Salaam.
 Moshi ndio mji ambao wenyeji wamewekeza kuliko wageni tofauti na mikoa mingine ambapo wageni ndi wawekezaji.
 Moshi ndio mji ulipangwa vizuri kuliko mji wowote Tanzania.
 Moshi ni mji unaojibeba wenyewe, tofauti na Dar Es Salaam, Dodoma, Arusha, Mwanza.
 Moshi ndio mji Msafi kwa asili kuliko mji mwingine wowote Tanzania.
 Moshi ndio mji wenye Bookshop kubwa na nzuri kuliko mji mwingine.
 Moshi ndio mji wenye Masoko mazuri kuliko popote Tanzania.
 Moshi ndio mji wenye maji safi na salama, unaweza kufungua Bomba na ukanywa maji na ukanywa maji bila shida, hakuna pengine Tanzania.
 Moshi ndio mji wa pili kwa utalii baada ya Arusha.
 Moshi ndio mji ambao wakazi wake wana tabia ya kufanya manunuzi na uwezo wa manunuzi.

Wachagga na Thamani ya Nyumbani.
Wachagaa popote walipo au popote walipozaliwa kama walivyo wayahudi wengine wanajua kuna nyumbani na wanapaheshimu sana nyumbani, yaani Moshi.
Mchagga hata azaliwe na kukulia wapi lakini anajua nyumbani ni Moshi.

UPOTOSHAJI WA ASILI YA WACHAGGA.
Historia nyingi zimepotosha sana Asili ya Wachagga. Nyingi zinasema wachagga ni watu wanaozungumza Kibantu_ Lakini hazisemi walikotoka na waandishi wa hizo historia sio kwamba hawajui walikotoka ila wanaficha kwa maana Fulani.

Ni mtu mmoja tu amejaribu kuelezea kwenye encyclopedia kuwa tabia za wachagga zinafanana na mambo ya Agano la Kale kwenye Biblia.

VYAKULA VYA ASILI VYA WACHAGGA.
1. Mapishi ya aina mbalimbali yatokanayo na ndizi.
Mfano: [Ulavi], Machalari, Kimbwe [Kiburu] Makato, Kitawa[Malaa], Kitalolo.

2. Mapishi yatokanayo na aina ya viazi vya Asili kama
- Vibere
- Magimbi machungu
- Fiiye nk.
3. Mapishi yatokanayo na mahindi
- Ngararimu
- Kishanganya, nk

Kinywaji cha Wachagga.
Wachagga wanajulikana kwa Unywaji wa Pombe ya Mbege.

MATUNDA YA ASILI YA WACHAGGA.
Matungusha, Mikodru, Ngomigha, Madala, nk.

Kila zao linalotoka Kilimanjaro ni la THAMANI KUBWA.
 Ukipeleka viazi mviringo Kariakoo vile vinavyotoka Kilimanjaro vinanunuliwa haraka na bei yake ni kubwa kuliko viazi toka kwingine.-
 Mahindi toka Kilimanjaro yanapata bei kubwa kuliko yatokayo sehemu nyingine kwa sababu, hayana mchanga na yamehifadhiwa vizuri.
 Cement ya Moshi cement inapendwa na mafundi kuliko za aina nyingine
 Maji ya chupa ya Kilimanjaro ndio maji Bora kabisa kuliko mengine ya chupa hapa Afrika.
 Kahawa ya Kilimanjaro ndio Bora kabisa hapa Tanzania.
UTUNZAJI WA MAZINGIRA.
Kama hujawahi kufika Kilimanjaro basi siku ukifika utashangaa sana kuwa watu wanaishi msituni yaani miti uchaggani ni mingi kiasi kwamba utaona jinsi nyumba zilivyojengwa chini ya miti.

Vijiji vya Kilimanjaro ni tofauti sana na Vijiji vya maeneo mengine kwani kila mtu amejenga na kuzungukwa na shamba lake, tofauti na vijiji vya maeneo mengine ambapo vimejengwa kama kambi za wakimbizi au miji isiypangwa.
Mfano wake mtu ambaye hajafika Moshi ni kuwa unajua Ostabey ya Dar Es Salaam iliyopangwa? Basi ndivyo vijiji vya Kilimanjaro vilivyo.
UCHUMI WA KILIMANJARO
Zamani wachagga walitegemea mazao ya Kahawa na Ndizi, lakini polepole wameacha kahawa na sasa wanategemea kilimo cha ndizi na zao jipya la Maparachichi, na Macadamia na zaidi sana Biashara.

NYUMBA ZA UCHAGGANI
Unajua nyumba zilizo masaki, Osterbay, Msasani, Ada, Njiro nk? Basi huo ndio mfano wa nyumba zilizopo vijijini hapa Kilimanjaro.
-------------
[h=2]mwingine kaandika

Vikundi vya Wachagga[/h]Wachagga wana historia ndefu ya asili yao na maingiliano yao na makabila mengine. Kabila la kichagga ni mkusanyiko wa makabila madogo madogo (ya Kichagga) yaliyosambaa kijiografia kuzunguka mlima Kilimanjaro kuanzia Mashariki Tarakea, Rombo hadi magharibi ya Kilimanjaro Siha, Machame. Makabila ya Kichagga ni Wa-Rombo, Wa-Marangu,Wa-Kilema, Wa-Old Moshi, Wa-Kibosho, na Wa-Machame. Makundi mengine madogo ya wachagga ni Wakirua-Vunjo, Wa-Uru, na Wa-Siha.

[h=2]Lugha ya Kichagga[/h]Lugha ya Kichagga, inabadilika kuanzia unapotoka Tarakea mpaka unapofika Siha magharibi mwa Kilimanjaro. Kutokana na tofauti hizo Kichagga kimegawanyika katika Kirombo, Kimarangu, Ki-Old Moshi,Kikibosho, Kimachame, Kikirua na Kisiha. Lugha hizi zinakaribia kufanana kulingana na jinsi makabila hayo yalivyopakana. Kwa mfano, Ki-Old Moshi kinafanana na Kikirua, ambacho nacho kinafanana kidogo na Kimarangu. Vile vile Kisiha kinafanana sana na Kimachame ambacho pia kinafanana kidogo na Kikibosho. Baadhi ya Wamachame walihamia sehemu za Meru Arusha na kuchanganyikana na Waarusha, lugha yao ikabadilika kidogo na kuwa Ki-meru. Kwa sababu hii Wameru wanasikilizana sana na Wamachame ingawa lafudhi zao zinatofautiana kidogo.

[h=2]Historia ya elimu kati ya Wachagga[/h]Wachagga wanajulikana kwa uwezo wao mkubwa wa kufanya biashara na pia kilimo. Moshi ni maeneo ya mwanzo ambayo Wamisionari wa Kikristo walijenga makanisa na shule. Sababu hii imefanya Wachagga kuwa kabila lenye watu wengi zaidi walio na elimu ya kisasa na mkoa wa Kilimanjaro unaongoza kwa idadi ya shule za sekondari nchini Tanzania. Kulingana na takwimu za elimu mkoa wa Kilimanjaro una shule za sekondari zaidi ya 320. Pia mkoa una shule za msingi zipatazo 950. Idadi hii ya shule ni kubwa zaidi ya idadi ya shule katika mikoa mingine Tanzania.

Shule nyingi za sekondari ziko katika mkoa huu kwa sababu zifuatazo: 1) Hali ya hewa na vivutio vya kitalii katika mkoa huu viliwavutia zaidi walowezi na wakoloni na kuweka makazi yao hapo. Hivyo wamishinari walijenga shule za kwanza wakifuatiliwa na serikali za wakoloni 2) Serikali ya Tanzania ilirithi shule zilizojengwa na wakoloni 3) Wachagga waliobahatika kupata fedha binafsi baadaye waliwekeza kwenye ujenzi wa shule binafsi kama kitega-uchumi. Wakati wakazi wa mikoa mingine walisubiri serikali iwajengee shule. 4) Ukichanganya sababu 1,2 & 3 utagundua shule katika mkoa Kilimanjaro vimezidi sana idadi ya shule katika miko mingine yote.

Ni vema pia kusema kwamba shule hizi kuvutia wanafunzi kutoka Tanzania nzima, haziwasomeshi wachagga tu.
[h=2]Kilimo na chakula[/h]Wachagga hulima mazao ya chakula kama vile mahindi, maharagwe,viazi, ndizi, ulezi na mboga mbalimbali. Mazao ya biashara kama vile kahawa, nyanya na vitunguu.

[h=4]Ndizi za Wachagga[/h]Ingawa wachaga wa leo wanakula vyakula mbali mbali kama vile ugali, wali na viazi, chakula kikuu cha Wachagga ni ndizi. Kuna ndizi za aina mbalimbali na hutumika kwa matumiza tofauti. Mfano ndizi kisukari ni fupi na huachwa hadi ziive na huliwa mbivu kama tunda. Ndizi mshare kukatwa zikiwa mbichi na kupikwa chakula mbalimbali pamoja na nyama ya ngombe, kondoo au mbuzi. Mara nyingine hupikwa na maharage, choroko,kunde au hata maziwa ya mtindi. Vyakula vya ndizi huja kwa ladha tofauti kama vile ndizi nyama, mtori, machalari, kiburu na kadhalika.

Aina nyingine ni ndizi-ngombe ambazo huachwa ziive halafu humenywa na kutumiwa kutengenezea pombe maarufu iitwayo mbege. Mbege hutengenezwa kwa kutumia ndizi mbivu, maji, na ulezi.

Aina nyingine ni ndizi-mzuzu. Hizi zikikomaa huachwa zianze kuiva kidogo halafu huchomwa na kuliwa kama kitafunwa pamoja na chai au pombe. Ukipita mitaa ya Darisalamu utaona ndizi- mzuzu zikichomwa sambamba na muhogo au kuku-vumbi au kiti-moto.

[h=4]Wachagga na muhogo[/h]Inasemekana kuwa "mchagga halisi, hali muhogo - akila muhogo atakufa". Usemi huu umetokana na historia ya mababu kuwa wachagga waliopanda mihogo Kilimanjaro enzi za kale walikufa baada ya kuila. Historia hiyo yaweza kuwa ya ukweli kwa sababu aina nyingi za mihogo zinajenga sumu ya sianidi ndani yao; watu waliozoea kutumia mihogo huwa na njia za kuondoa sumu kwa kwa kuiloweka mihogo katika maji kwa muda. Lakini kama Wachagga wale wa zamani hasa wa Machame walifanya jaribio bila kujua mbinu ya kuondoa sumu ajali iliweza kutokea. Cha kushangaza ni kwamba huko huko Kilimanjaro, majirani na watani wa wachagga yaani Wapare walikuwa wameshazoea mihogo na ilikuja kuwa moja ya chakula chao kikuu.

[h=4]Ulaji kiti-moto[/h]Pamoja na kilimo cha mazao, wachagga hupendelea sana kufuga nguruwe. Tabia ya kula nyama ya nguruwe ijulikanayo leo kwa jina la "kiti moto" ni moja ya mambo yaliyoenezwa na wachagga. Ulaji wa "kiti moto" haukupendeza baadhi ya wenyeji wa Pwani kama Dar es Salaam ambapo wachagga walihamia, kwani wakaaji wengi wa Pwani ni Waislamu kwa hiyo nguruwe kwao ni haramu. Wakazi wa Dar es Salaam watokao makabila mengine na wasiyo waisalmu kwao kula nguruwe ilikuwa "ruksa".

[h=2]Majina ya Kichagga[/h]Majina ya kiukoo ya Kichagga pia huashiria wanatoka sehemu gani ya Uchaga, japo si lazima kuwa hivyo: mfano familia maarufu za Kichagga nchini Tanzania ni kama Kimaro, Swai, Massawe, Mushi, Lema, Urassa, Nkya, Ndosi, Meena hutoka Machame. Akina Temu, Mlaki, Mlay, Lyimo, Moshiro, Mselle, Kileo, Kimambo, Tesha wanatoka Old Moshi na Vunjo. Kavishe,Mariki, Tarimo, Laswai, Mallya, Mrema, Mkenda, Massawe, Lyaruu, Makyao, Mowo, Lamtey, Tairo, Mramba, Kauki wanatoka Rombo. Sawe, Usiri, Shayo, Kiwelu, Makundi, Urasa, Mtui, Moshi, Meela, Minja, Njau wanatoka Marangu na Kilema. Rite, Makule, Minja, Mashayo, Chao, Shao, Makawia, Ndesano, Kimario, Tilla, Mariale, Tarimo, Mafole, Kituo, Mrosso, Lyakundia, Kessy, Mmbando, Matemba, Ndenshau, Morio, Akaro, Matowo, Towo, Mkony, Temba na kadhalika hutoka Kibosho.

Wachagga wengi hupenda kurudi nyumbani kipindi cha Krismasi, ikiwa ni kuwatembelea wazazi wao, rafiki, au ndugu. Ingawa wengi hudhani kwamba Wachagga wameathiriwa sana na dini ya Ukristo kwa kuwa wengi wao ni Wakristo na hiki huwa ni kipindi cha likizo kwao, inaaminika pia kuwa kurudi kwao Uchagani wakati wa Krismasi ni pamoja na kutembelea ndugu zao na kujumuika pamoja katika kuumaliza mwaka baada ya kazi nyingi za kutafuta pesa kwa mwaka mzima.

[h=2]Utawala wa jadi ya Wachagga[/h]Watawala wa kichagga waliitwa "Mangi". Hawa walihodhi mashamba, ngombe na waliheshimiwa kama viongozi wa kikabila. Walikuwa na nguvu za kisiasa na utajiri. Baadhi ya ma-mangi mashuhuri katika historia ni kama Mangi Rindi aliyeingia mikataba na wakoloni (wajerumani), Mangi Sina wa kibosho - anajulikana kwa uhodari wake wa vita katika kupigana na wamachame na kupora ngombe na mazao yao na Mangi Marealle wa Marangu na Vunjo. Wakoloni walipokuja Kilimanjaro waliingia mikataba na viongozi hawa wa kikabila ili kuweza kuweka misingi yao ya kikoloni. Pia ndugu na watoto wa ma-Mangi walikuwa wa kwanza kupata elimu ya kikoloni, kwa hiyo waliweza kushirikishwa katika serikali za kwanza. Hawa pia wanaaminika walikuwa ni kama mabepari wa kwanza wa ki-jadi, maana walifanyiwa kazi na watu wengine wakati wao ma-mangi wamekaa kuhesabu mali zao. Usemi maarufu wa "u-Mangi-meza" inawezekana kuwa umetokana na watawala hawa wa kichagga.

[h=2]Ardhi[/h]Ingawa ardhi ni msingi wa maendeleo kwa watu wote, kwa wachagga, ardhi ni mali sana kwa sababu kilimo chao ni cha mazao ya kudumu kama kahawa na ndizi hukaa shambani kwa muda wa miaka mingi. Mojawapo ya urithi wapewayo watoto ni "kihamba". Hii ni sehemu ya ardhi ambayo mtoto anategemewa atajenga na kuanzisha familia yake. Bahati mbaya watoto wa kike walikuwa hawapewi kipaumbele katika ugawanaji wa vihamba. Uhaba wa ardhi uchagani ulipelekea wachagga wengi kuhamia mikoa mingine. Hivi leo utakuta wachagga wakiishi Dodoma, Morogoro, Iringa, Mbeya nk wakiwa wamepanda migomba yao na kuendesha biashara za maduka ya vyakula. Ukienda kwenye mikoa hii utakuta wamejenga jamii zao na vyama vyao vya kusaidiana wakati wa sherehe au matatizo. Aidha hata pombe ya mbege utaweza kuikuta katika makusanyio ya wachaga mikoani mbali mbali.

[h=2]Maoni juu ya Wachagga[/h]Ingawa wanaume wa kichagga hupendelea kufanya kazi mbali na kwao, wake zao hukaa nyumbani (Moshi) na hufuga ngombe na kazi za shambani. ila kwa sasa kutokana na ugonjwa wa ukimwi tabia hii imepungua miongon mwao. Wanawake wa kichagga (hasa kutoka Rombo) hujulikana kama wafanyakazi hodari. Huchangia sana katika mapato ya nyumbani na chakula. Ingawa kipato cha wachaga ni kikubwa kulinganisha na cha makabila mengine, takwimu zinaonyesha watoto wa mkoa wa Kilimanjaro kuwa kuongoza kwa utapiamlo. Sababu kubwa ya watoto kuwa na utapiamlo kunatokana na wazazi kujali zaidi kazi kuliko muda wa kuwahudumia watoto. Wengi wa wototo ni wale ambao wazazi wao ni watu wapombe na kipato chao kinaishia kilabuni. Utaona kwamba uchagani kuna vilabu vingi vya pombe na vinaongezeka kwa sababu imekuwa nibiashara kubwa.

Karibu kila kaya kumi natano kuna kila cha pombe na kiwango cha chini kabisa cha pombe inayouzwa kwa siku katika vilabu hivyo si chini ya dede sita au lita mia moja. Pombe ni sababu moja ya watoto kuwa na utapiamlo Hii inawezekana kuwa matunda ya wazazi kutowalisha watoto wao chakula cha kutosha au chakula bora. Kuna sehemu nyingine za Uchaggani kama Old Moshi na Kibosho ambapo watoto wadogo hupewa pombe ya mbege asubuhi mchana na jioni. Sababu nyingi ni kazi; mama wa kichagga anaweza kushinda shambani kutwa na hawana desturi ya kubeba watoto mgongoni kwenda nao shambani hivyo wanakuwa nyumbani ama wenyewe au na mayaya.

Mfano ulio dhahiri ni nyakati za asubuhi na mapema kwenye vyombo vya usafiri karibu robo tatu ya abiria ni wanawake wakienda katika shuguli za kibiashara na kilimo na vivyo hivyo nyakati za jioni wakirudi majumbani. Hao ni nje ya wale wanaotumia usafiri wa miguu ambao ni wengi zaidi. Pia baadhi ya wamama wa kichaga wanawajali waume zao zaidi kwani nyama nzuri ni ya baba. Kuepuka gharama baba ataandaliwa chakula kizuri tofauti na chakulawalichoandaliwa watoto japo ni chakula kilekile.
 
njaro.jpg

Tembo wakitembea katika hifadhi

KWA UFUPI
Wachaga walianza kuhamia kwenye miteremko ya Mlima Kilimanjaro kwenye karne ya 17.

Kabila la Wachaga linafahamika kwa wengi kuwa linapatikana mkoani Kilimanjaro.Kwa asili, Wachaga ni mchanganyiko wa Wamasai, Wasambaa, Wataita, Wakamba na Wakahe.

Wachaga walianza kuhamia kwenye miteremko ya Mlima Kilimanjaro kwenye karne ya 17.

Walipofika wakiwa katika vikundi vidogovidogo waliwakuta wakazi, wenyeji kwenye Misitu ya Mlima Kilimanjaro walioitwa ìWakonyingo..

Wenyeji hawa ambao huitwa Mbilikimo hawakupenda kuchanganyika na wahamiaji wageni, hivyo wakahama na kuanzisha makao yao ya kudumu kwenye misitu minene iliyopo nchini Kongo.

Watu wengi wanafikiria kwamba Wachaga wanatokana na asili moja. Ukweli ni kwamba wamegawanyika katika himaya 15, wanatofautiana kwa lafudhi, lugha, rangi na mwonekano wa miili yao.Wachaga wapo katika makundi makuu matatu ya Hai, Vunjo na Rombo.

Wale wanaopatikana eneo la Hai ni Wasiha, Wamasama, Wamachame,Wangíuni, Wakibosho, Wauru na Wamoshi. Kwa wale wanaopatikana eneo la Vunjo ni Wakirua, Wakilema, Wamarangu, Wamamba na Wamwika.

Kutoka eneo la Rombo ni Wamkuu, Wamashati na Wasseri.
Hadi sasa haijulikani vizuri asili ya jina Wachaga, ila wanahistoria wanaeleza kwamba jina hilo linatokana na neno la Kiswahili linaloitwa 'Kichaka'.

Inaelezwa kwamba misafara ya wafanyabiashara iliyokuwa ikiongozwa na Waswahili pamoja na Waarabu, walipokuwa wakipita maeneo ya Vunjo waliwaona wenyeji wa huko wakiwa wamejenga vibanda vya kulinda mazao yao yasiliwe na wanyama waharibifu.

Wakawaita wenyeji hawa kwamba wanaishi vichakani na kuanzia hapo wageni wafanyabiashara na Wamisionari walipokuwa wanakuja Kilimanjaro walielekezwa na waongozaji misafara yao kwamba wanakwenda kwenye nchi ya ìUchakani,î, wakimaanisha kwamba kwa watu wanaoishi vichakani.

Hatimaye wageni wakashindwa kulitamka vizuri neno hili na kuliita ìUchagani,

Jina hili likawekwa kwenye ramani na kuitwa nchi ya ìWachaga.î Hivyo ndivyo wenyeji waliokuwa wakiishi kwenye Miteremko ya Mlima Kilimanjaro walivyopewa jina lao. Wachaga.

Maendeleo ya Wachaga
Maendeleo yao hapo awali yalitokana na zao la kahawa. Walifanikiwa kuanzisha vyama vya ushirika na hatimaye mwaka 1932

walianzisha Halmashauri ya Wachaga (Chaga Council) ambayo kwa sasa inatumiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Moshi.

Halmashauri hii iliongozwa na Mangi Mkuu ìMshumbue Thomas Marealle II.

Mwaka 1946, utawala wa Waingereza uliboresha Baraza la Halmashauri ya Wachaga. Himaya ndogo za Wachaga zipatazo 17 (himaya mbili za Wakahe na Waarusha chini zilijumuishwa kwenye Tarafa ya Vunjo) na kuundwa kwa Tarafa tatu za Hai, Vunjo na Rombo.

Halmashauri ya Wachaga ilijenga miundombinu na huduma za jamii ikiwamo kuwasomesha watoto wao kwenye shule na vyuo mbalimbali kama Chuo Kikuu cha Makerere, Uganda.

Halmashauri ya Uchaga ilikuwa na bendera yake ambayo ipo hadi leo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, yenye nembo tano kuu:

1- Mlima Kilimanjaro uliochorwa katikati ya bendera ukionyesha mandhari nzuri ya kilele cha Kibo. Kilele cha Kibo kinatoa maji safi na ni kielelezo cha umoja wao.

2- Chini ya kilele cha Kibo, upande wa kushoto wa bendera kuna mgomba wenye ndizi. Hiki ni chakula kikuu cha Wachaga.

3- Upande wa kulia wa bendera ni tawi la mbuni ukiwa na matunda yake. Kahawa ni zao lililowaletea maendeleo.

4- Bendera imezungukwa na matawi ya 'sale' lenye matawi mawili (draceana plant). Matawi haya yamefanya mduara kuzunguka kilele cha Kibo, mgomba wa ndizi na tawi la zao la kahawa. Masale ni mmea unaoheshimiwa sana na Wachaga wote.

Ni alama ya amani. Masale hutumika katika sherehe na shughuli zote za kimila zinazofanywa na Wachaga. Majani yake ni kijani kibichi yanayoonyesha jinsi Kilimanjaro ilivyo na rutuba nzuri inayostawisha mazao ya kila aina.

5- Juu kidogo ya kilele cha Kibo yupo chui ambaye amejipumzisha. Chui ni alama kuu ya mamlaka ya Wachaga.

Hapo awali kwenye miteremko ya Mlima Kilimanjaro walikuwepo chui wengi wa rangi nyeusi lakini kutokana na ongezeko la watu pamoja na uharibifu wa mazingira chui hawa wametoweka.

Sikukuu ya Wachaga
Sikukuu ya Wachaga wote ilikuwa ikiadhimishwa Novemba 10 kila mwaka kama kumbukumbu ya siku ambayo Wachaga wote walipokusanyika na kumchagua Mangi Mkuu baada ya kuteuliwa na Halmashauri Kuu ya Uchaga.

Maadhimisho ya kwanza ya mwaka 1952 yalitanguliwa na uchaguzi wa Halmashauri ya Wachaga wote kuanzia kwenye ngazi ya Uchili (kijiji), Umangi ( uchifu wa eneo) na mwisho ngazi ya baraza kuu.

Sherehe ziliadhimishwa mjini Moshi ambako Wachaga wote pamoja na wageni waalikwa kutoka mataifa mbalimbali walikusanyika katika Viwanja vya Halmashauri ya Uchaga (sasa ni makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, [Kilimanjaro District Council-KDC]) kushuhudia sherehe kubwa na yenye kusisimua sana.

Jumba la Makumbusho
Upo umuhimu mkubwa wa kuhifadhi historia ya Wachaga kama kumbukumbu sahihi kwa vizazi vya sasa na vijavyo.

Pia, ipo haja kwa majengo ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi pamoja na Ikulu yakarejeshwa kwa Wachaga ili yageuzwe kuwa majengo ya kuhifadhi kumbukumbu ya kabila hilo.

Katika majengo haya patahifadhiwa nyaraka zote za Chaga Council ambazo baadhi zimeshaanza kutoweka, kutahifadhiwa pia shughuli za mila na kiutamaduni tangu enzi ya karne ya 18.

Halmashauri ya Wilaya ya Moshi haina budi kutafuta eneo la kujenga majengo mapya badala ya kuyatumia ya kihistoria.

*Mallya ni mchambuzi wa masuala ya maendeleo ya jamii na mwandishi wa kitabu cha Wamarangu na Maendeleo. -0754 390 402, email: exaudmalya@yahoo.co.uk Usichokijua kuhusu asili, aina ya Wachaga - Makala - mwananchi.co.tz
 
Historia nzuri ya kusisimua. Naungana na mwandishi wa makala hii ya historia ya wachaga kuhusu umuhimu wa kutwaa jengo la sasa la KDC ili liwe jumba la makumbusho ya historia, maisha na utamaduni wa wachagga.
 
[h=2]Wednesday, March 13, 2013[/h][h=3][/h]

Kabila la Wachaga linafahamika kwa wengi kuwa linapatikana mkoani Kilimanjaro.Kwa asili, Wachaga ni mchanganyiko wa Wamasai, Wasambaa, Wataita, Wakamba na Wakahe.

Wachaga walianza kuhamia kwenye miteremko ya Mlima Kilimanjaro kwenye karne ya 17.

Walipofika wakiwa katika vikundi vidogovidogo waliwakuta wakazi, wenyeji kwenye Misitu ya Mlima Kilimanjaro walioitwa ìWakonyingo..

Wenyeji hawa ambao huitwa Mbilikimo hawakupenda kuchanganyika na wahamiaji wageni, hivyo wakahama na kuanzisha makao yao ya kudumu kwenye misitu minene iliyopo nchini Kongo.

Watu wengi wanafikiria kwamba Wachaga wanatokana na asili moja. Ukweli ni kwamba wamegawanyika katika himaya 15, wanatofautiana kwa lafudhi, lugha, rangi na mwonekano wa miili yao.Wachaga wapo katika makundi makuu matatu ya Hai, Vunjo na Rombo.

Wale wanaopatikana eneo la Hai ni Wasiha, Wamasama, Wamachame,Wangíuni, Wakibosho, Wauru na Wamoshi. Kwa wale wanaopatikana eneo la Vunjo ni Wakirua, Wakilema, Wamarangu, Wamamba na Wamwika.

Kutoka eneo la Rombo ni Wamkuu, Wamashati na Wasseri.
Hadi sasa haijulikani vizuri asili ya jina Wachaga, ila wanahistoria wanaeleza kwamba jina hilo linatokana na neno la Kiswahili linaloitwa 'Kichaka'.

Inaelezwa kwamba misafara ya wafanyabiashara iliyokuwa ikiongozwa na Waswahili pamoja na Waarabu, walipokuwa wakipita maeneo ya Vunjo waliwaona wenyeji wa huko wakiwa wamejenga vibanda vya kulinda mazao yao yasiliwe na wanyama waharibifu.

Wakawaita wenyeji hawa kwamba wanaishi vichakani na kuanzia hapo wageni wafanyabiashara na Wamisionari walipokuwa wanakuja Kilimanjaro walielekezwa na waongozaji misafara yao kwamba wanakwenda kwenye nchi ya ìUchakani,î, wakimaanisha kwamba kwa watu wanaoishi vichakani.

Hatimaye wageni wakashindwa kulitamka vizuri neno hili na kuliita ìUchagani,

Jina hili likawekwa kwenye ramani na kuitwa nchi ya ìWachaga.î Hivyo ndivyo wenyeji waliokuwa wakiishi kwenye Miteremko ya Mlima Kilimanjaro walivyopewa jina lao. Wachaga.

Maendeleo ya Wachaga
Maendeleo yao hapo awali yalitokana na zao la kahawa. Walifanikiwa kuanzisha vyama vya ushirika na hatimaye mwaka 1932 walianzisha Halmashauri ya Wachaga (Chaga Council) ambayo kwa sasa inatumiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Moshi.

Halmashauri hii iliongozwa na Mangi Mkuu ìMshumbue Thomas Marealle II.

Mwaka 1946, utawala wa Waingereza uliboresha Baraza la Halmashauri ya Wachaga. Himaya ndogo za Wachaga zipatazo 17 (himaya mbili za Wakahe na Waarusha chini zilijumuishwa kwenye Tarafa ya Vunjo) na kuundwa kwa Tarafa tatu za Hai, Vunjo na Rombo.

Halmashauri ya Wachaga ilijenga miundombinu na huduma za jamii ikiwamo kuwasomesha watoto wao kwenye shule na vyuo mbalimbali kama Chuo Kikuu cha Makerere, Uganda.

Halmashauri ya Uchaga ilikuwa na bendera yake ambayo ipo hadi leo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, yenye nembo tano kuu:

1- Mlima Kilimanjaro uliochorwa katikati ya bendera ukionyesha mandhari nzuri ya kilele cha Kibo. Kilele cha Kibo kinatoa maji safi na ni kielelezo cha umoja wao.

2- Chini ya kilele cha Kibo, upande wa kushoto wa bendera kuna mgomba wenye ndizi. Hiki ni chakula kikuu cha Wachaga.

3- Upande wa kulia wa bendera ni tawi la mbuni ukiwa na matunda yake. Kahawa ni zao lililowaletea maendeleo.

4- Bendera imezungukwa na matawi ya 'sale' lenye matawi mawili (draceana plant). Matawi haya yamefanya mduara kuzunguka kilele cha Kibo, mgomba wa ndizi na tawi la zao la kahawa. Masale ni mmea unaoheshimiwa sana na Wachaga wote.

Ni alama ya amani. Masale hutumika katika sherehe na shughuli zote za kimila zinazofanywa na Wachaga. Majani yake ni kijani kibichi yanayoonyesha jinsi Kilimanjaro ilivyo na rutuba nzuri inayostawisha mazao ya kila aina.

5- Juu kidogo ya kilele cha Kibo yupo chui ambaye amejipumzisha. Chui ni alama kuu ya mamlaka ya Wachaga.

Hapo awali kwenye miteremko ya Mlima Kilimanjaro walikuwepo chui wengi wa rangi nyeusi lakini kutokana na ongezeko la watu pamoja na uharibifu wa mazingira chui hawa wametoweka.

Sikukuu ya Wachaga
Sikukuu ya Wachaga wote ilikuwa ikiadhimishwa Novemba 10 kila mwaka kama kumbukumbu ya siku ambayo Wachaga wote walipokusanyika na kumchagua Mangi Mkuu baada ya kuteuliwa na Halmashauri Kuu ya Uchaga.

Maadhimisho ya kwanza ya mwaka 1952 yalitanguliwa na uchaguzi wa Halmashauri ya Wachaga wote kuanzia kwenye ngazi ya Uchili (kijiji), Umangi ( uchifu wa eneo) na mwisho ngazi ya baraza kuu.

Sherehe ziliadhimishwa mjini Moshi ambako Wachaga wote pamoja na wageni waalikwa kutoka mataifa mbalimbali walikusanyika katika Viwanja vya Halmashauri ya Uchaga (sasa ni makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, [Kilimanjaro District Council-KDC]) kushuhudia sherehe kubwa na yenye kusisimua sana.

Jumba la Makumbusho
Upo umuhimu mkubwa wa kuhifadhi historia ya Wachaga kama kumbukumbu sahihi kwa vizazi vya sasa na vijavyo.

Pia, ipo haja kwa majengo ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi pamoja na Ikulu yakarejeshwa kwa Wachaga ili yageuzwe kuwa majengo ya kuhifadhi kumbukumbu ya kabila hilo.

Katika majengo haya patahifadhiwa nyaraka zote za Chaga Council ambazo baadhi zimeshaanza kutoweka, kutahifadhiwa pia shughuli za mila na kiutamaduni tangu enzi ya karne ya 18.

Halmashauri ya Wilaya ya Moshi haina budi kutafuta eneo la kujenga majengo mapya badala ya kuyatumia ya kihistoria.

*Mallya ni mchambuzi wa masuala ya maendeleo ya jamii na mwandishi wa kitabu cha Wamarangu na Maendeleo. -0754 390 402, email: exaudmalya@yahoo.co.uk
Mwananchi

Hii itatusaidia kuonyesha kuwa WACHAGGA sio KABILA MOJA kama NAPE NNAUYE anavyodhani MBOWE; SELASINI na MBUNGE wa MOSHI MJINI ni Makabila 3 tofauti... na wanaongea Lugha 3 tofauti...
 
Mkuu nngu007 asante sana kwa historia hii maana kuna watu wanapotosha sana
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada...weka ramani kuonyesha kila kabila la wachaga na orijin yake ..say warombo origin wakamba wa kenya..etc..kama huna nenda moshi kaitafute uilete najuwa ipo....
 
[h=2]mwingine kaandika

Vikundi vya Wachagga[/h]Wachagga wana historia ndefu ya asili yao na maingiliano yao na makabila mengine. Kabila la kichagga ni mkusanyiko wa makabila madogo madogo (ya Kichagga) yaliyosambaa kijiografia kuzunguka mlima Kilimanjaro kuanzia Mashariki Tarakea, Rombo hadi magharibi ya Kilimanjaro Siha, Machame. Makabila ya Kichagga ni Wa-Rombo, Wa-Marangu,Wa-Kilema, Wa-Old Moshi, Wa-Kibosho, na Wa-Machame. Makundi mengine madogo ya wachagga ni Wakirua-Vunjo, Wa-Uru, na Wa-Siha.

[h=2]Lugha ya Kichagga[/h]Lugha ya Kichagga, inabadilika kuanzia unapotoka Tarakea mpaka unapofika Siha magharibi mwa Kilimanjaro. Kutokana na tofauti hizo Kichagga kimegawanyika katika Kirombo, Kimarangu, Ki-Old Moshi,Kikibosho, Kimachame, Kikirua na Kisiha. Lugha hizi zinakaribia kufanana kulingana na jinsi makabila hayo yalivyopakana. Kwa mfano, Ki-Old Moshi kinafanana na Kikirua, ambacho nacho kinafanana kidogo na Kimarangu. Vile vile Kisiha kinafanana sana na Kimachame ambacho pia kinafanana kidogo na Kikibosho. Baadhi ya Wamachame walihamia sehemu za Meru Arusha na kuchanganyikana na Waarusha, lugha yao ikabadilika kidogo na kuwa Ki-meru. Kwa sababu hii Wameru wanasikilizana sana na Wamachame ingawa lafudhi zao zinatofautiana kidogo.

[h=2]Historia ya elimu kati ya Wachagga[/h]Wachagga wanajulikana kwa uwezo wao mkubwa wa kufanya biashara na pia kilimo. Moshi ni maeneo ya mwanzo ambayo Wamisionari wa Kikristo walijenga makanisa na shule. Sababu hii imefanya Wachagga kuwa kabila lenye watu wengi zaidi walio na elimu ya kisasa na mkoa wa Kilimanjaro unaongoza kwa idadi ya shule za sekondari nchini Tanzania. Kulingana na takwimu za elimu mkoa wa Kilimanjaro una shule za sekondari zaidi ya 320. Pia mkoa una shule za msingi zipatazo 950. Idadi hii ya shule ni kubwa zaidi ya idadi ya shule katika mikoa mingine Tanzania.

Shule nyingi za sekondari ziko katika mkoa huu kwa sababu zifuatazo: 1) Hali ya hewa na vivutio vya kitalii katika mkoa huu viliwavutia zaidi walowezi na wakoloni na kuweka makazi yao hapo. Hivyo wamishinari walijenga shule za kwanza wakifuatiliwa na serikali za wakoloni 2) Serikali ya Tanzania ilirithi shule zilizojengwa na wakoloni 3) Wachagga waliobahatika kupata fedha binafsi baadaye waliwekeza kwenye ujenzi wa shule binafsi kama kitega-uchumi. Wakati wakazi wa mikoa mingine walisubiri serikali iwajengee shule. 4) Ukichanganya sababu 1,2 & 3 utagundua shule katika mkoa Kilimanjaro vimezidi sana idadi ya shule katika miko mingine yote.

Ni vema pia kusema kwamba shule hizi kuvutia wanafunzi kutoka Tanzania nzima, haziwasomeshi wachagga tu.
[h=2]Kilimo na chakula[/h]Wachagga hulima mazao ya chakula kama vile mahindi, maharagwe,viazi, ndizi, ulezi na mboga mbalimbali. Mazao ya biashara kama vile kahawa, nyanya na vitunguu.

[h=4]Ndizi za Wachagga[/h]Ingawa wachaga wa leo wanakula vyakula mbali mbali kama vile ugali, wali na viazi, chakula kikuu cha Wachagga ni ndizi. Kuna ndizi za aina mbalimbali na hutumika kwa matumiza tofauti. Mfano ndizi kisukari ni fupi na huachwa hadi ziive na huliwa mbivu kama tunda. Ndizi mshare kukatwa zikiwa mbichi na kupikwa chakula mbalimbali pamoja na nyama ya ngombe, kondoo au mbuzi. Mara nyingine hupikwa na maharage, choroko,kunde au hata maziwa ya mtindi. Vyakula vya ndizi huja kwa ladha tofauti kama vile ndizi nyama, mtori, machalari, kiburu na kadhalika.

Aina nyingine ni ndizi-ngombe ambazo huachwa ziive halafu humenywa na kutumiwa kutengenezea pombe maarufu iitwayo mbege. Mbege hutengenezwa kwa kutumia ndizi mbivu, maji, na ulezi.

Aina nyingine ni ndizi-mzuzu. Hizi zikikomaa huachwa zianze kuiva kidogo halafu huchomwa na kuliwa kama kitafunwa pamoja na chai au pombe. Ukipita mitaa ya Darisalamu utaona ndizi- mzuzu zikichomwa sambamba na muhogo au kuku-vumbi au kiti-moto.

[h=4]Wachagga na muhogo[/h]Inasemekana kuwa "mchagga halisi, hali muhogo - akila muhogo atakufa". Usemi huu umetokana na historia ya mababu kuwa wachagga waliopanda mihogo Kilimanjaro enzi za kale walikufa baada ya kuila. Historia hiyo yaweza kuwa ya ukweli kwa sababu aina nyingi za mihogo zinajenga sumu ya sianidi ndani yao; watu waliozoea kutumia mihogo huwa na njia za kuondoa sumu kwa kwa kuiloweka mihogo katika maji kwa muda. Lakini kama Wachagga wale wa zamani hasa wa Machame walifanya jaribio bila kujua mbinu ya kuondoa sumu ajali iliweza kutokea. Cha kushangaza ni kwamba huko huko Kilimanjaro, majirani na watani wa wachagga yaani Wapare walikuwa wameshazoea mihogo na ilikuja kuwa moja ya chakula chao kikuu.

[h=4]Ulaji kiti-moto[/h]Pamoja na kilimo cha mazao, wachagga hupendelea sana kufuga nguruwe. Tabia ya kula nyama ya nguruwe ijulikanayo leo kwa jina la "kiti moto" ni moja ya mambo yaliyoenezwa na wachagga. Ulaji wa "kiti moto" haukupendeza baadhi ya wenyeji wa Pwani kama Dar es Salaam ambapo wachagga walihamia, kwani wakaaji wengi wa Pwani ni Waislamu kwa hiyo nguruwe kwao ni haramu. Wakazi wa Dar es Salaam watokao makabila mengine na wasiyo waisalmu kwao kula nguruwe ilikuwa "ruksa".

[h=2]Majina ya Kichagga[/h]Majina ya kiukoo ya Kichagga pia huashiria wanatoka sehemu gani ya Uchaga, japo si lazima kuwa hivyo: mfano familia maarufu za Kichagga nchini Tanzania ni kama Kimaro, Swai, Massawe, Mushi, Lema, Urassa, Nkya, Ndosi, Meena hutoka Machame. Akina Temu, Mlaki, Mlay, Lyimo, Moshiro, Mselle, Kileo, Kimambo, Tesha wanatoka Old Moshi na Vunjo. Kavishe,Mariki, Tarimo, Laswai, Mallya, Mrema, Mkenda, Massawe, Lyaruu, Makyao, Mowo, Lamtey, Tairo, Mramba, Kauki wanatoka Rombo. Sawe, Usiri, Shayo, Kiwelu, Makundi, Urasa, Mtui, Moshi, Meela, Minja, Njau wanatoka Marangu na Kilema. Rite, Makule, Minja, Mashayo, Chao, Shao, Makawia, Ndesano, Kimario, Tilla, Mariale, Tarimo, Mafole, Kituo, Mrosso, Lyakundia, Kessy, Mmbando, Matemba, Ndenshau, Morio, Akaro, Matowo, Towo, Mkony, Temba na kadhalika hutoka Kibosho.

Wachagga wengi hupenda kurudi nyumbani kipindi cha Krismasi, ikiwa ni kuwatembelea wazazi wao, rafiki, au ndugu. Ingawa wengi hudhani kwamba Wachagga wameathiriwa sana na dini ya Ukristo kwa kuwa wengi wao ni Wakristo na hiki huwa ni kipindi cha likizo kwao, inaaminika pia kuwa kurudi kwao Uchagani wakati wa Krismasi ni pamoja na kutembelea ndugu zao na kujumuika pamoja katika kuumaliza mwaka baada ya kazi nyingi za kutafuta pesa kwa mwaka mzima.

[h=2]Utawala wa jadi ya Wachagga[/h]Watawala wa kichagga waliitwa "Mangi". Hawa walihodhi mashamba, ngombe na waliheshimiwa kama viongozi wa kikabila. Walikuwa na nguvu za kisiasa na utajiri. Baadhi ya ma-mangi mashuhuri katika historia ni kama Mangi Rindi aliyeingia mikataba na wakoloni (wajerumani), Mangi Sina wa kibosho - anajulikana kwa uhodari wake wa vita katika kupigana na wamachame na kupora ngombe na mazao yao na Mangi Marealle wa Marangu na Vunjo. Wakoloni walipokuja Kilimanjaro waliingia mikataba na viongozi hawa wa kikabila ili kuweza kuweka misingi yao ya kikoloni. Pia ndugu na watoto wa ma-Mangi walikuwa wa kwanza kupata elimu ya kikoloni, kwa hiyo waliweza kushirikishwa katika serikali za kwanza. Hawa pia wanaaminika walikuwa ni kama mabepari wa kwanza wa ki-jadi, maana walifanyiwa kazi na watu wengine wakati wao ma-mangi wamekaa kuhesabu mali zao. Usemi maarufu wa "u-Mangi-meza" inawezekana kuwa umetokana na watawala hawa wa kichagga.

[h=2]Ardhi[/h]Ingawa ardhi ni msingi wa maendeleo kwa watu wote, kwa wachagga, ardhi ni mali sana kwa sababu kilimo chao ni cha mazao ya kudumu kama kahawa na ndizi hukaa shambani kwa muda wa miaka mingi. Mojawapo ya urithi wapewayo watoto ni "kihamba". Hii ni sehemu ya ardhi ambayo mtoto anategemewa atajenga na kuanzisha familia yake. Bahati mbaya watoto wa kike walikuwa hawapewi kipaumbele katika ugawanaji wa vihamba. Uhaba wa ardhi uchagani ulipelekea wachagga wengi kuhamia mikoa mingine. Hivi leo utakuta wachagga wakiishi Dodoma, Morogoro, Iringa, Mbeya nk wakiwa wamepanda migomba yao na kuendesha biashara za maduka ya vyakula. Ukienda kwenye mikoa hii utakuta wamejenga jamii zao na vyama vyao vya kusaidiana wakati wa sherehe au matatizo. Aidha hata pombe ya mbege utaweza kuikuta katika makusanyio ya wachaga mikoani mbali mbali.

[h=2]Maoni juu ya Wachagga[/h]Ingawa wanaume wa kichagga hupendelea kufanya kazi mbali na kwao, wake zao hukaa nyumbani (Moshi) na hufuga ngombe na kazi za shambani. ila kwa sasa kutokana na ugonjwa wa ukimwi tabia hii imepungua miongon mwao. Wanawake wa kichagga (hasa kutoka Rombo) hujulikana kama wafanyakazi hodari. Huchangia sana katika mapato ya nyumbani na chakula. Ingawa kipato cha wachaga ni kikubwa kulinganisha na cha makabila mengine, takwimu zinaonyesha watoto wa mkoa wa Kilimanjaro kuwa kuongoza kwa utapiamlo. Sababu kubwa ya watoto kuwa na utapiamlo kunatokana na wazazi kujali zaidi kazi kuliko muda wa kuwahudumia watoto. Wengi wa wototo ni wale ambao wazazi wao ni watu wapombe na kipato chao kinaishia kilabuni. Utaona kwamba uchagani kuna vilabu vingi vya pombe na vinaongezeka kwa sababu imekuwa nibiashara kubwa.

Karibu kila kaya kumi natano kuna kila cha pombe na kiwango cha chini kabisa cha pombe inayouzwa kwa siku katika vilabu hivyo si chini ya dede sita au lita mia moja. Pombe ni sababu moja ya watoto kuwa na utapiamlo Hii inawezekana kuwa matunda ya wazazi kutowalisha watoto wao chakula cha kutosha au chakula bora. Kuna sehemu nyingine za Uchaggani kama Old Moshi na Kibosho ambapo watoto wadogo hupewa pombe ya mbege asubuhi mchana na jioni. Sababu nyingi ni kazi; mama wa kichagga anaweza kushinda shambani kutwa na hawana desturi ya kubeba watoto mgongoni kwenda nao shambani hivyo wanakuwa nyumbani ama wenyewe au na mayaya.

Mfano ulio dhahiri ni nyakati za asubuhi na mapema kwenye vyombo vya usafiri karibu robo tatu ya abiria ni wanawake wakienda katika shuguli za kibiashara na kilimo na vivyo hivyo nyakati za jioni wakirudi majumbani. Hao ni nje ya wale wanaotumia usafiri wa miguu ambao ni wengi zaidi. Pia baadhi ya wamama wa kichaga wanawajali waume zao zaidi kwani nyama nzuri ni ya baba. Kuepuka gharama baba ataandaliwa chakula kizuri tofauti na chakulawalichoandaliwa watoto japo ni chakula kilekile.
 
aisee kuna kitu sikukijua hapa,kumbe chui ndo alama ya mamlaka yetu....chui ni hatari,yuko fasta,mjanja mjanja na ana mvuto

Sasa mbona ametoweka, ina maana sasa yale mambo yenu ya asili ya kichaga yanavyotoweka kwa kasi yanamfuata chui aliyetoweka uchagani? Teheeeeee.

Tangu chui atoweke kule milimani, na viwanda Moshi mjini vimetoweka,migomba imetoweka, ng`ombe wa maziwa wametoweka, na barafu inatoweka na mbege inatoweka, na manka naye siku hizi anatoweka anakwenda kwa Chasaka !!!!!!!!!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom