Kwa wasaidizi wa Rais na hasa ile Idara yake ‘Nyeti ‘kwa Siku za baadae lizingatieni sana hili ili lisijirudie

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
36,024
Points
2,000

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
36,024 2,000
Poleni na Kazi pamoja na Majukumu yenu makubwa ya kila Siku na hakika tunaona jitihada zenu hasa katika Kumsaidia na Kumuongoza vyema Mheshimiwa Rais hasa katika Utendaji wake wa kila Siku ambao najua unahitaji umakini mkubwa sana.

Naomba nikiri waziwazi hapa kuwa GENTAMYCINE siyo ‘ Muumini ‘ wa Kupenda kuona kila mara / mara kwa mara Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli anafanya ‘ Mabadiliko ‘ kwa Watendaji wake ambao hapo awali Yeye mwenyewe ndiye aliwateua huku akiwaamini kuwa watamsaidia.

Mnaweza kuona labda ni Kitu cha kawaida na mkakichukulia ‘ poa ‘ ila kwa wenye kujua ‘ Kufikiri ‘ zaidi hapa kunaonekana kuna ‘ tatizo ‘ mahala ama kwa Mheshimiwa Rais mwenyewe juu ya hao anaowateua au basi Taasisi yake ‘ Nyeti ‘ yenye Jukumu Kubwa la Kumsaidia kuwafanyia ‘ thorough vetting ‘ hao aliowapendekeza basi nayo haifanyi Kazi yake vizuri.

Ombi langu Kwenu naomba kwa Muhula ujao wa Urais basi Rais akishapendekeza tu Watu wake basi awape Kazi hiyo Watu ‘ Maalum ‘ ili wamfanyie ‘ Uchunguzi ‘ wa Kutosha wa Kimaadili na Kiuwezo wa hao Watu wake ili basi tuanze ‘ Kupumzika ‘ na hizi ‘ Breaking News ‘ za Kutumbua / Kubatilisha Uteuzi kwani zinamdhalilisha mno Rais kwa namna moja au nyingine.

Nasisitiza tena kwamba GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE sipingi kuwa na ' Mabadiliko ' ya Kiutendaji hasa ya Kiserikalini kutoka Kwake Mheshimiwa Rais ila ' Kinachonikwaza ' ni kuona haya ' Mabadiliko ' huwa yanakuwa ya mara kwa mara tofauti na Marais wengine wa nchi zingine au hata tu ' Watangulizi ' wake. Na hofu yangu Kubwa pia hali hii ya Kubadili badili Watendaji kila wakati isije pia ikampa Mheshimiwa Jina Jipya la ' Ubatizo ' la Rais Mtumbuaji na Mbadilishaji mara kwa mara.

Kwani kuna tatizo gani labda pale Mtu fulani akishajulikana kuwa ndiyo atakuwa Rais wa Tanzania basi asiombwe tu ' List ' yake ya Watendaji anaowataka katika Serikali yake ili Idara yake / Taasisi yake ' Nyeti ' iyapitie na iyakague ' Kiufundi ' kabisa hasa kwa Kuzingatia Kigezo cha Maadili na Utendaji Kazi wake ili wakishamaliza basi wanampelekea Mheshimiwa Majina ya wale waliowapitisha, waliowakataa na pengine ambao Wao ( Idara ) wanayapendekeza?

Kwa mfano katika Awamu hii hii ya Tano kuna baadhi ya Watendaji ambao wanajulikana kabisa kuwa hawawezi, hawana Sifa, wamejaa Uhuni na Utapeli mtupu huku hata tu Utendaji Wao huku walikokuwa ulikuwa ni mbaya lakini cha Kusikitisha kabisa Mheshimiwa Rais amewaamini na Kuwatea na kuna wengine alishawabadilisha ( alishawaondoa ) Uongozini mpaka Jana.

Ni ushauri tu mkiona unawafaa uchukueni mkiona hauwafai basi niachieni nao tu mwenyewe labda wengine watauchukua.

Nawasilisha.
 
wakatanta

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Messages
1,336
Points
2,000

wakatanta

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2018
1,336 2,000
Vetting sio tatizo,binadamu katika maisha yake anachangamoto nyingi,ni wajibu wake kupambana nazo,wajibu na malengo ya kazi ni kitu cha msingi sana ,wengi wanashindwa vipaumbele vyao na kujua ni wapi hasa chukizo la mkulu lilipo,kwenye suala la ukusanyaji Mapato na kuyasimamia kwa weledi ndicho mkulu anakihitaji,ukishidwa hapo ujue unakwenda na maji tu,Magufuli hawapimi kwa kuongea na media kila siku bali ni jinsi gani wanadeliver
 
mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
13,763
Points
2,000

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
13,763 2,000
Hapa kikubwa mkuu ni akili mbovu za wateuliwa.

Unaweza ukachaguliwa kutoka moyoni ukaona kabisa sitoshi, ukaishia kushukuru tu na kuikataa nafasi hiyo, au ukaamua kukubari na kubadilika ili kuendana nayo.

Tatizo hawa ng'ombe wengi ni vilaza wasio na nafuu ya aina yoyote, kama ujuavyo uongozi ni kipaji.
 
Rozanna Agro Africa

Verified Member
Joined
Jul 22, 2018
Messages
818
Points
1,000

Rozanna Agro Africa

Verified Member
Joined Jul 22, 2018
818 1,000
Shida ya wateuliwa wa sasa, wanasahau kile walichoagizwa na Rais kulingana na majukumu yao, badala yake wakiteuliwa wanakuwa busy kutafuta kick na hivyo kushindwa kutekeleza majukumu yao, wakidhan kuwa kick za media ndyo zitamfanya Rais aridhike na utendaj wao kumbe ndyo wanaharibu.

Hata bila media kick, ukichapa kazi, matokeo ya kazi yanajionesha yenyewe

Mfano, mheshimiwa Athony Mtaka wa simiyu, ni mfano wa wachapa kazi, lakin siyo mtu wa kick za media lakin matokeo ya kazi yake yanaonekana na Mheshimiwa Rais anajivunia uwepo wake.

Sasa hawa wengine wapenda acha tu wavurunde na mheshimwa Rais awatumbue tu hakuna namna

Nchi ina wasomi lukuki, ukitoka wewe anawekwa mwingine na nchi inasonga mbele
 
malisoka

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Messages
1,620
Points
2,000

malisoka

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2012
1,620 2,000
Ombi langu Kwenu naomba kwa Muhula ujao wa Urais basi Rais akishapendekeza tu Watu wake basi awape Kazi hiyo Watu ‘ Maalum ‘ ili wamfanyie ‘ Uchunguzi ‘ wa Kutosha wa Kimaadili na Kiuwezo wa hao Watu wake ili basi tuanze ‘ Kupumzika ‘ na hizi ‘ Breaking News ‘ za Kutumbua / Kubatilisha Uteuzi kwani zinamdhalilisha mno Rais kwa namna moja au nyingine.
Na katika Muhula ujao tufikirie basi hata katika ngazai ya Rais Ni LAZIMA wafanyiwe vetting maalum, kwa maana kwangu mimi naona tatizo lipo kwenye mamlaka ya juu zaidi. Kuwa na lundo la wateuliwa wa Rais mitaani wasiokuwa na kazi ni hatari kwa Taifa. Hasa watakapokuwa wanasiasa.

Nakumbuka sana MaRais waliopita kabla ya huyu. walikuwa wakishamteua mtu (kwa mamlaka ya Rais walikuwa hatoki kwenye system simple simple. kama hawezi hapa ataweza pale nk.

Awamu hii unangooka jumla jumla. Ni nzuri kwa maana kutoshare tatizo, Ila ni hatari.

Mwisho wa siku unakuwa na watu maelfu wanaokujua nje ndani katika system.
 
Lovebird

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Messages
2,773
Points
2,000

Lovebird

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2012
2,773 2,000
Natumai walengwa wameelewa mantiki iliyopo ktk ujumbe wako na wataufanyia kazi....ila tusisahau pembe la ng'ombe halifichikii...wapo vijana ambao wanaonekana machoni petu wanyenyekevu/watendaji wazuri ila wapewapo uongozi ama wapatapo fedha hubadilika ka kinyongaa na kuanza kuonesha makucha/tabia zao halisi
 
gwankos

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2017
Messages
326
Points
500

gwankos

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2017
326 500
Kama wana akili wata uchukua lkn kama ni mazwazwa na watu wa kufuata mihemuko hasi ndo watapotezea.
Poleni na Kazi pamoja na Majukumu yenu makubwa ya kila Siku na hakika tunaona jitihada zenu hasa katika Kumsaidia na Kumuongoza vyema Mheshimiwa Rais hasa katika Utendaji wake wa kila Siku ambao najua unahitaji umakini mkubwa sana.

Naomba nikiri waziwazi hapa kuwa GENTAMYCINE siyo ‘ Muumini ‘ wa Kupenda kuona kila mara / mara kwa mara Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli anafanya ‘ Mabadiliko ‘ kwa Watendaji wake ambao hapo awali Yeye mwenyewe ndiye aliwateua huku akiwaamini kuwa watamsaidia.

Mnaweza kuona labda ni Kitu cha kawaida na mkakichukulia ‘ poa ‘ ila kwa wenye kujua ‘ Kufikiri ‘ zaidi hapa kunaonekana kuna ‘ tatizo ‘ mahala ama kwa Mheshimiwa Rais mwenyewe juu ya hao anaowateua au basi Taasisi yake ‘ Nyeti ‘ yenye Jukumu Kubwa la Kumsaidia kuwafanyia ‘ thorough vetting ‘ hao aliowapendekeza basi nayo haifanyi Kazi yake vizuri.

Ombi langu Kwenu naomba kwa Muhula ujao wa Urais basi Rais akishapendekeza tu Watu wake basi awape Kazi hiyo Watu ‘ Maalum ‘ ili wamfanyie ‘ Uchunguzi ‘ wa Kutosha wa Kimaadili na Kiuwezo wa hao Watu wake ili basi tuanze ‘ Kupumzika ‘ na hizi ‘ Breaking News ‘ za Kutumbua / Kubatilisha Uteuzi kwani zinamdhalilisha mno Rais kwa namna moja au nyingine.

Nasisitiza tena kwamba GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE sipingi kuwa na ' Mabadiliko ' ya Kiutendaji hasa ya Kiserikalini kutoka Kwake Mheshimiwa Rais ila ' Kinachonikwaza ' ni kuona haya ' Mabadiliko ' huwa yanakuwa ya mara kwa mara tofauti na Marais wengine wa nchi zingine au hata tu ' Watangulizi ' wake. Na hofu yangu Kubwa pia hali hii ya Kubadili badili Watendaji kila wakati isije pia ikampa Mheshimiwa Jina Jipya la ' Ubatizo ' la Rais Mtumbuaji na Mbadilishaji mara kwa mara.

Kwani kuna tatizo gani labda pale Mtu fulani akishajulikana kuwa ndiyo atakuwa Rais wa Tanzania basi asiombwe tu ' List ' yake ya Watendaji anaowataka katika Serikali yake ili Idara yake / Taasisi yake ' Nyeti ' iyapitie na iyakague ' Kiufundi ' kabisa hasa kwa Kuzingatia Kigezo cha Maadili na Utendaji Kazi wake ili wakishamaliza basi wanampelekea Mheshimiwa Majina ya wale waliowapitisha, waliowakataa na pengine ambao Wao ( Idara ) wanayapendekeza?

Kwa mfano katika Awamu hii hii ya Tano kuna baadhi ya Watendaji ambao wanajulikana kabisa kuwa hawawezi, hawana Sifa, wamejaa Uhuni na Utapeli mtupu huku hata tu Utendaji Wao huku walikokuwa ulikuwa ni mbaya lakini cha Kusikitisha kabisa Mheshimiwa Rais amewaamini na Kuwatea na kuna wengine alishawabadilisha ( alishawaondoa ) Uongozini mpaka Jana.

Ni ushauri tu mkiona unawafaa uchukueni mkiona hauwafai basi niachieni nao tu mwenyewe labda wengine watauchukua.

Nawasilisha.
 
Zobogo

Member
Joined
Jan 13, 2019
Messages
10
Points
45

Zobogo

Member
Joined Jan 13, 2019
10 45
Shida watendendaji wengi wanaogopa kusema ukweli kuwa baadhi ya majukumu/demands za mkulu hawaziwezi. Na pia inaonekana serikali ya awamu hii inaendeshwa kwa mujungu, hila, fitina, uongo na kutoaminiana.... Kwa namna hiyo hata wale wenye uwezo wanakwamishwa na mambo hayo...
 
Ad majorem

Senior Member
Joined
Aug 11, 2018
Messages
105
Points
250

Ad majorem

Senior Member
Joined Aug 11, 2018
105 250
Poleni na Kazi pamoja na Majukumu yenu makubwa ya kila Siku na hakika tunaona jitihada zenu hasa katika Kumsaidia na Kumuongoza vyema Mheshimiwa Rais hasa katika Utendaji wake wa kila Siku ambao najua unahitaji umakini mkubwa sana.

Naomba nikiri waziwazi hapa kuwa GENTAMYCINE siyo ‘ Muumini ‘ wa Kupenda kuona kila mara / mara kwa mara Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli anafanya ‘ Mabadiliko ‘ kwa Watendaji wake ambao hapo awali Yeye mwenyewe ndiye aliwateua huku akiwaamini kuwa watamsaidia.

Mnaweza kuona labda ni Kitu cha kawaida na mkakichukulia ‘ poa ‘ ila kwa wenye kujua ‘ Kufikiri ‘ zaidi hapa kunaonekana kuna ‘ tatizo ‘ mahala ama kwa Mheshimiwa Rais mwenyewe juu ya hao anaowateua au basi Taasisi yake ‘ Nyeti ‘ yenye Jukumu Kubwa la Kumsaidia kuwafanyia ‘ thorough vetting ‘ hao aliowapendekeza basi nayo haifanyi Kazi yake vizuri.

Ombi langu Kwenu naomba kwa Muhula ujao wa Urais basi Rais akishapendekeza tu Watu wake basi awape Kazi hiyo Watu ‘ Maalum ‘ ili wamfanyie ‘ Uchunguzi ‘ wa Kutosha wa Kimaadili na Kiuwezo wa hao Watu wake ili basi tuanze ‘ Kupumzika ‘ na hizi ‘ Breaking News ‘ za Kutumbua / Kubatilisha Uteuzi kwani zinamdhalilisha mno Rais kwa namna moja au nyingine.

Nasisitiza tena kwamba GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE sipingi kuwa na ' Mabadiliko ' ya Kiutendaji hasa ya Kiserikalini kutoka Kwake Mheshimiwa Rais ila ' Kinachonikwaza ' ni kuona haya ' Mabadiliko ' huwa yanakuwa ya mara kwa mara tofauti na Marais wengine wa nchi zingine au hata tu ' Watangulizi ' wake. Na hofu yangu Kubwa pia hali hii ya Kubadili badili Watendaji kila wakati isije pia ikampa Mheshimiwa Jina Jipya la ' Ubatizo ' la Rais Mtumbuaji na Mbadilishaji mara kwa mara.

Kwani kuna tatizo gani labda pale Mtu fulani akishajulikana kuwa ndiyo atakuwa Rais wa Tanzania basi asiombwe tu ' List ' yake ya Watendaji anaowataka katika Serikali yake ili Idara yake / Taasisi yake ' Nyeti ' iyapitie na iyakague ' Kiufundi ' kabisa hasa kwa Kuzingatia Kigezo cha Maadili na Utendaji Kazi wake ili wakishamaliza basi wanampelekea Mheshimiwa Majina ya wale waliowapitisha, waliowakataa na pengine ambao Wao ( Idara ) wanayapendekeza?

Kwa mfano katika Awamu hii hii ya Tano kuna baadhi ya Watendaji ambao wanajulikana kabisa kuwa hawawezi, hawana Sifa, wamejaa Uhuni na Utapeli mtupu huku hata tu Utendaji Wao huku walikokuwa ulikuwa ni mbaya lakini cha Kusikitisha kabisa Mheshimiwa Rais amewaamini na Kuwatea na kuna wengine alishawabadilisha ( alishawaondoa ) Uongozini mpaka Jana.

Ni ushauri tu mkiona unawafaa uchukueni mkiona hauwafai basi niachieni nao tu mwenyewe labda wengine watauchukua.

Nawasilisha.
Ushauri wako hautufai hivyo hatuuchukui. OVER!
 
Forum statistics

Threads 1,356,293
Members 518,876
Posts 33,129,684
Top