Kwa Wasafirishaji, toa kero yako hapa kwa TATOA (TANZANIA TRUCK OWNERS)

Chiwaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
5,726
3,741
Za Mchana wakuu.

Wale wenye kero za magari makubwa ya kusafirishia mizigo, na wanafikiri wanapaswa kuzitoa kero hizo kwa TATOA, na kwamba wanaona hawawezi kuwafikia.
BAsi nashauri, watumie thread hii kutoa kero za usafirishaji wa magari makubwa hapa.
Ili zionwe na wahusika na kisha kufanyiwa kazi.
 
Back
Top Bottom