Semahengere
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,186
- 1,955
Zaiko langa langa with Nkolo Mboka
Awa jamaa ni hatari na robo.Chini ya Utunzi mahili wa Sonor Digital aka Jackie Chan, Ramatoulaye, Dodi, Dido, Obama, Rappa Zaparo Deguire, Oobama, Papy bastin hawa majamaa wana mpa presha sana Rogatien Ibambi aka Roga Roga.
Eeh mzee baba hizi mambo lazma umenye freshiUnapenda sana vitu vizuri kijana wangu 😁😁
Pygmalion napenda hasa vile lile beat linavyoanzaKoffi olomide
Elegance
Boulevard
Pygmalion
Mon amour
Elelo
Pome verte
Mama amy
Verticalment
Emilie
Etoile d'etat
Wake up ft Papa wemba
Kali sana, Nyimbo za koffi za taratibu hazichoshi kusikilizaPygmalion napenda hasa vile lile beat linavyoanza
HakikaKali sana, Nyimbo za koffi za taratibu hazichoshi kusikiliza
Faya Tess DesoleKwakweli nimekuwa mpenzi wa muziki sana wa DRC na majirani zake, kiasi kwamba kwa umri nilio nao na hasa vijana wenzangu wananishangaa sana na kujiuliza maswali mengi.
Tokea nikiwa mdogo baba yangu MZAZI alikuwa mtumishi wa serikali huko morogoro mvuha, hivyo basi anapokwenda kupokea mshahara hununua kanda na kurudi nazo, hivyo sisi na majirani zetu tunapata burudani na huku kushangaa makava ya TAPE.
Kwako wewe ipi nyimbo bora mbayo unaisikiliza na haichoshi kabisa, mimi kwangu kuna wale WENGE Musica wananyimbo yao moja hivi inaitwa SOLOLA BIE, hii nyimbo kwakweli tokea iachiwe miaka ya 1999 mpaka leo kwangu ndio nyimbo bora kabisa kuwahi kutokea upande wa CONGO.
"" WEWE UNAKUMBUKA, AU IPI CHAGUO LAKO INAPOPIGWA BASI TABASAMU LINARUDI"""
Muzina wa Tabu Ley ...Ngoja nimuulize. Hubby
They banned my brazeee 🙆🙆 nyie mod kudadadekiNyingi sana...
- Ya jean - Madilu System
- Mamou - Franco Luambo Makiadi
- Kokola - Tshala Muana
- Fatimata - Sam Mangwana
- Nadina - Mbilia Bel
- Muzina - Tabu ley
100 kilos ferreKwakweli nimekuwa mpenzi wa muziki sana wa DRC na majirani zake, kiasi kwamba kwa umri nilio nao na hasa vijana wenzangu wananishangaa sana na kujiuliza maswali mengi.