Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Yumi's cells daah chungu kwangu na vile vikatuni ila ndo hivyo bando la kuchezea hamna naenda nayo kibishi nilivuta episode 10
ulipakua hizo episodes kwa mkupuo mmoja au kidogo kidogo?
hapa nilipo nimepoteza MB 600 kwa episode ambayo nilipaswa nipoteze MB 120 , usawa huu wa kununua GB 1 kwa shilingi 2000/= najihisi kama nimepoteza kitu cha thamani

ile jeuri ya kupakua complete drama then nikaifuta bila ya kuiangalia sijui kama itarudi tena.
teh teh teh
maisha ya usamiani bint suluhuni bint tozoni yapo kucheleeee!!!!!
 
Kwa mkupuo mmoja enzi za gb 5 kwa 1500.

Kissiassian na dramacool nazipita kwa mbali zinakula mb nyingi hizo
ulipakua hizo episodes kwa mkupuo mmoja au kidogo kidogo?
hapa nilipo nimepoteza MB 600 kwa episode ambayo nilipaswa nipoteze MB 120 , usawa huu wa kununua GB 1 kwa shilingi 2000/= najihisi kama nimepoteza kitu cha thamani

ile jeuri ya kupakua complete drama then nikaifuta bila ya kuiangalia sijui kama itarudi tena.
teh teh teh
maisha ya usamiani bint suluhuni bint tozoni yapo kucheleeee!!!!!
 
ulipakua hizo episodes kwa mkupuo mmoja au kidogo kidogo?
hapa nilipo nimepoteza MB 600 kwa episode ambayo nilipaswa nipoteze MB 120 , usawa huu wa kununua GB 1 kwa shilingi 2000/= najihisi kama nimepoteza kitu cha thamani

ile jeuri ya kupakua complete drama then nikaifuta bila ya kuiangalia sijui kama itarudi tena.
teh teh teh
maisha ya usamiani bint suluhuni bint tozoni yapo kucheleeee!!!!!
Tigo ni GB1.1 kwa 1500/=
 
Sikuizi drama nisipoikuta kule Nkiri.com (hawana drama zote), huwa napata ugumu sana wa kuifatilia maana wanataka MB nyingi ambazo kwasasa zimekuwa kama dhahabu.

Juzi nilitaka kudownload Mr Queen kupitia Kissasian episode moja iliniomba 750MB😁, nilivyoenda nkiri nikaikuta kwa 120Mb-138Mb per episode.

Halotel wnametukatili sana, zamani nilikuwa naandaa Tsh 1500 yangu nisubiri saa sita navuta Gb zangu 5 alafu nashusha mzigo mzima.
 
Leo jioni ndo nimemaliza Mr.Queen, nataka nishushe historical drama nyingine ila naogopa naweza kushusha kitu chenye hadhi ya chini.

Huwa napenda nikitoka kuangalia season fulani nipate nyingine kali zaidi.Kama hautojali nipe recommendation.

Daah kali kuliko Mr Queen? Niwe mkweli mimi historical drama sijaangalia nyingi ninazoweza kukupa labda The crowned clown na 100 days my prince
 
Back
Top Bottom