Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nani ameshaianza series ya Joseon Exorcist? Ni ongoing na nimeangalia synopsis yake inashawishi, nataka niivute nikamalizana na THE KINGDOM. Wazoefu naombeni mtie neno.
Joseon Exorcist drama ilikatazwa kuendelea (ilifika episode 2), wananchi wa korea walipeleka malalamiko (petition) ikulu wakidai ya kwamba kumefanyika udanganyifu wa kihistoria (distortion of history) ndani ya drama huku wakiwa wametumia majina sahihi ya watu waliowahi kuwepo.

nafikiri kuna scene walitumia vyakula vyenye utamaduni wa kichina haliyakuwa mlaji wa vyakula hivyo ni mwanadamu mwenye asili ya Joseon, namzungumzia crown prince Yi do ambaye baadae alijulikana kama Sejong.
 
Hwang Dong Hyuk Says If There Is ‘Squid Game’ Season 2, He Wishes to Focus on the “Issues with the Police”

Squid Game director Hwang Dong Hyuk said that he wasn’t hurrying to make a new season. But in the latest interview with The Times, Hwang commented that he wants to explore “the issue with police officers” in season two.

He explained, “While I was writing season one, I thought about the stories that could be in season two if I get to do one—one would be the story of the Frontman [an ex-cop who is now one of the masterminds behind the game]

“I think the issue with police officers is not just an issue in Korea. I see it on the global news that the police force can be very late on acting on things—there are more victims, or a situation gets worse because of them not acting fast enough. This was an issue that I wanted to raise. Maybe in season two, I can talk about this more,” he added

Screenshot_2021-10-10_at_4.05.40_PM.png
 
70% ya hizo kazi mnazoita za kiume (kwasababu ya ulimbukeni), zinasupport ushoga na lesbianism ila kwa kutokufatilia mambo unajikuta tu unaropoka.

Karibu kwenye guy uzi tukuokoe kutoka kwenye wimbi la ushoga na umama.
Achilia mbali usoshalist wangu, ukweli ni kwamba moja ya vitu vilivofanya niache kuangalia movie na series za kimagharibi ni mambo hayo ya jinsia moja wanayaonyesha sana, nadhani wanafanya hivyo kuzoesha akili za wafuatiliaji kuwa ushoga na ulesbian ni kitu cha kawaida na hata sheria hizo zikipitishwa ili usimaindi sana sababu akili yako itakuwa ishaaminishwa kuwa mashoga na malesbian ni watu wa kawaida mbali na hayo ya ushoga story nyingi za movie za kimagharibi ni za kusadikika. Lakin series za Asia Mashariki( hasa Korea) series na movie nyingi utapata mafunzo ya kiuchumi, kibiashara, ujaliamali & bunifu, falsafa, maisha n.k
Kwa kawaida binadamu ni zao la yale anayotafakari, kusikiliza na kutazama sana. Je! Sisi tunaowatazama sana wakorea( Asia Mashariki) na wanao watazama sana wamagharibi kinani mashoga?( wapi mashoga wanazaliwa wengi?) Jijibu akilini wala sitaki mtu aandike majibu kuhusu swali hili.
 
Back
Top Bottom