Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,409
- 119,108
Kama ghafla yani
Unacheki Yumi's cells?
I recommend
Hatimaye nimepata mshirika...hii drama inafurahisha jamani
Kama ghafla yani
Unacheki Yumi's cells?
I recommend
Hiyo series sijaona cha maana licha ya kuwa overrated sana
SanaHatimaye nimepata mshirika...hii drama inafurahisha jamani
Imeisha? Au ni ongoing..naiweka kwenye list bado nina viporo vya kufa mtuKama ghafla yani
Unacheki Yumi's cells?
I recommend
Nawaza kuirudiaAcha mambo ya ajabu...watu wote wanaoisifia hawana akili ila wewe peke yako ndio unazo? Sema wewe hujaipenda sio eti utopolo.
Umekariri Hollywoodusihangaike ni utopolo tu mle ndani
Nkiri ni shida!Aiseeeh hii THE VEIL ni moto bwana, zile promo za Innocent hazikuwa za uongo.Lakini pia nisiache kumshukuru aliyetuletea habari za Nkiri.Com humu, nimepinga mahesabu kupitia hiyo tovuti unaweza kudownload episode zaidi ya sita kwa GB moja tu, alafu Sasa zote ni Quality.
Mtiririko wa matukio kwenye hii drama ni wa kusisimua sana, watu walikuwa wanaifananisha na VAGABOND yes kwa upande wa genre ni sawa ila kwa ukali wa scenes THE VEIL remains at the top.Wahusika wamekaa vizuri kwenye nafasi zao.
Kinacho niumiza ni kuanza kuitazama hii drama ikiwa bado haijaisha (ongoing), nina tabia ya kutokuwa mvumilivu nikishaanza kutazama series.Ile Vagabond nilijitahidi kuisubiria mpaka iishe ila hii nimeshindwa kwa sababu ya mjinga mmoja Innocent dependent .
Hivi wabongo tutafikia lini level za wakorea kwenye kuigiza?
BadoImeisha? Au ni ongoing..naiweka kwenye list bado nina viporo vya kufa mtu
Niko najivuta vuta na voice season 4 niimalize mara nasikia tena wana mpango wa season 5.
Hivi aliyewafundisha wakorea huu ujinga wa season ni nan?
Vipi swala la disclaimer haliwezi kuiathiri?
Voice profiler center director Kang anajua👐👐Niko najivuta vuta na voice season 4 niimalize mara nasikia tena wana mpango wa season 5.
Hivi aliyewafundisha wakorea huu ujinga wa season ni nan?
Watakuwa walijipanga kitambo ktk Mambo hayoVipi swala la disclaimer haliwezi kuiathiri?
Huyu Namgoong Min ni actor mmoja mzuri sana.
Anaeweza kunisaidia kuipata Sound track ya THE VEIL, inaitwa "Reason" aliyeimba anaitwa Yoari. Nimeitafuta Youtube nimeipata ila sijui namna ya kuidownload, anaeyejua namna ya kuipakua anielekeze.
Unawezaje kupakua na subtitles zake hmo mkuu.
Hahahaha Usiniambie.....mwenzio nimejivuta vuta nisimalize haraka nikujua ikiisha imeishaa kumbee laaah.....Tumepatikana😂😂Auntie tukimkamata aliyewafundisha wakorea mambo ya season tumchape viboko vikali sana shuain zake
Ulipoitaja marriage(love and divorce) nikasema aah wacha nimalizie hii season 2 aisee kumbe wao wana mipango mingine kama naiona season 3 ileeee😂😂😂😂😂😂