M Z A N Z I B A R I
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 21,681
- 117,025
family drama huwa naivutia mzigo wa kutosha kama episode 15, ikiwa nzuri naiangalia mpaka hadithi inaingia kwenye mishipa ya hisia na hatimaye huzalishwa sumu ya uraibu wa kupindukia (upo msalani unawaza episode ijayo).Huwa navuta moja moja kila nikiwa na ratiba ya kuvuta drama,family drama navuta episode moja au mbili mpaka zinakuja kutimia mbeleni
Ikiwa mbaya unakula hasara inayoumiza
aigoo