Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 817
- 1,772
Itafute "Jeong do Jeon"hii ndio imeeleza uhalisia wa Harakati za Jeong Do Jeon a.k.a Sambong mpaka kuanzisha Taifa Joseon ( YI dynasty).Wazee mimi Six Flying Dragons ile movie imeniachia kumbukumbu kubwa sana moyoni. Sio kwa plan zile, kutofautiana kule kwa Sambong na Bang Won. Sio kwa ile swordfight ya Bang Ji na Muhyool, kifo cha Sambong, kifo cha Yeon Hye, Dada yake Bang Ji kufa bikra. Imenifunza mambo mengi sana lakini.
Six flying Dragon Director kajiongeza sana kwenye baadhi visa vingi kuliko uhalisia.
Kama unataka the real history ya kuanzishwa Joseon itazame "Joeng Do Jeon" kama unapenda zaidi action tazama Six flying Dragon.
Six flying Dragon was released 2015
wakati Jeong Do Jeon 2014. kwa zote mbili ukiniuliza ipi bora nitakwambia JOENG DO JEON