Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,364
Dakika Za Sabin Mlitawala Nikajua Mnarudisha.msaada alioutoa ni mkubwa sana...
Hahahaha Leo Liver Inanipa Usingiza Wa Nguvu
Dakika Za Sabin Mlitawala Nikajua Mnarudisha.msaada alioutoa ni mkubwa sana...
Hivi tofauti ya drama na series ni niniNi drama sio series
Bado sijaiona
Mtu mwingine anaweza kukuweka ignore list unalazimisha vitu sana.
Aisee kwa kweli wanafanana, nimeangalia picha nikajiuliza sasa hapa huyo Joo sang wook yuko wapi?Duh! Joo sang wook wamefanana sana na Song seung heon. View attachment 1327927
Hahahahaha! Pole Si Kosa Lako.mpira ulishakwisha ahjummaaa...
goli la wizi
Unatfuta Pakuingilia!kuna mchawi ameingia humu ndani..
anachukia habari za mipira
kanajiita mishili kutoka sumbawanga
InshaAllah.tutalipiza kisasi msimu ujaooo
Kama Kuna Scene Kwenye Yi Sana Pale King San Alipoamua Kuukacha Uongozi Sabbu Ya Damo.tutalipiza kisasi msimu ujaooo
Mi Namsubir MyAsiantv.umenikumbusha muda wa kuitafuta episode 10
drama ikiwa chini ya mikono ya netflix inakuwa full raha
haichelewi kuwekwa subtitle
Aisee kwa kweli wanafanana, nimeangalia picha nikajiuliza sasa hapa huyo Joo sang wook yuko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe unajuakuna mchawi ameingia humu ndani..
anachukia habari za mipira
kanajiita mishili kutoka sumbawanga
Joo sang wook ndio huyo kwenye picha katika series mpya ya Touch. Ila kafanana sana na Song seung heon
Kwa akili tu ya kuvukia Barabara ulizani leo utashinda?tutaongea kesho ahjummaaaa..
nimejaza usingizi machoni mwangu.
mpira kamari
Ajussi, mbona wengi tu hawapoCan we appreciate TvN drama lineup for 2020
hivi amebaki muigizaji gani hapo maarufu?
- Black Dog drama = seo hyu jin + ra mi ran ahjumma
- Crash landing on you = hyun bin + son ye jin
- The Cursed drama = muandishi wa hii project ameandika train to busan movie
- Half of half drama = utakutana na jung hae in na chae soo bin
- Money Game drama = imeanza wiki hii na inaonyeshwa jumatano na alhamisi
- Hi Bye Mama drama = kim tae hee amerudi tena kwenye ulimwengu wa sanaa
- Smart Doctor Life = utakutana na jung kyung ho + jung suk + kim dae myung + yoo yun suk
- Memorist drama = utakutana na yoo seung ho + lee se young
- The most beautiful moment in life drama = utakutana na mwanadada lee bo young (mke halali wa ji sung) + yoo ji tae
- secret forest season 2 drama = utakutana na cho seung woo na wenzake
- Psycho but it is okay drama = project ya kwanza ya kim soo hyun after millitary + mwanadada seo ye ji
- Sandbox drama = bae suzy + nam joo hyuk (wote wawili bado hawajathibitisha ushiriki wao mpaka sasa)
- Oh my baby drama = jang nara anarudi tena baada ya VIP drama
- Youth Records drama = park bo gum baada ya encounter anarudi tena + park so dam
- luca drama = ji chang wook + kim yoo jung (bado hawajathibitisha ushiriki wao)
- tale of gumiho drama = lee dong wook + jo bo ah
- Day and night drama = nam gook min + han ye sul (bado hawajathibitisha ushiriki wao)
- Flower of Evil = lee joon gi + moon chae won
View attachment 1328010
View attachment 1328013
Ooh sawalee min ho = project yake itapatikana SBS
park bo gum mbona nimemtaja
jang hyuk atakuwepo OCN (mdogo wake tvN)
song joong ki pengine season 2 ya arthdal itakuwepo
Aisee!
Ilikuaje ukashindwa kuitazama mpaka mwisho?
😁😁 Umekutana na Artist Yi, kichwa Kibovu.Nimeangalia Yi San Ndani Ya Wiki Kama Sijakosea