Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

she's back
Kim Tae Hee’s Upcoming Drama Holds First Script Reading
Hi Bye, Mama!”
is a fantasy drama from tvN about a mother who returns to her family as a ghost after passing away in a tragic accident. Kim Tae Hee plays the titular character, Cha Yu Ri, and Lee Kyu Hyung plays her bereaved husband Jo Kang Hwa.

Hi Bye, Mama!” will premiere in February 2020 after the end of “Crash Landing on You.”
View attachment 1305811
i 😘 her, mara ya mwisho nilimuona kwenye yong pal nadhan and she was great, can't wait to see her
 
Zifuatazo ni Drama zangu 10 za awali kuzitazama.

1. JUMONG

2. QUEEN SEON DEOK

3. IRIS

4. KINGDOM OF THE WIND

5. SWALLOW THE SUN

6. CITY HUNTER

7. A MAN CALLED GOD

8. THE LEGEND

9. CHUNO( THE SLAVE HUNTER)

10. KIM SURO

11. DONG YI
Kukosekana kwa "The empress ki" na "innocent defendent" kwenye list yako basi kutakuwa na ulakini fulani.
 
Daemusin Naona Extra Ordinary Imekulu Shavu la Kutosha MBC Drama Awards 19
niliweka matarajio makubwa sana kwa one night spring drama kubeba tuzo ya best drama kwa mwaka 2019 lakini imekuwa kinyume chake.....
extraordinary you drama iliangaliwa kwa wastani wa 4.5% nchini korea, ni asilimia ndogo sana ukilinganisha na one night spring drama ambayo ilifikia kuangaliwa kwa 9% nation wide......
nimeiona nguvu ya wapiga kura ( huenda wengi wao waliopiga kura ni mashabiki walio nje ya korea kwa mtazamo wangu wa haraka)
kwa mara ya kwanza nimeshuhudia drama yenye rate ndogo kubeba tuzo ya best drama.
ila ushindi wao uzidi kuwaongezea hamasa yenye kuambatana na nidhamu ya kazi kwa vijana wote walioshiriki ndani ya drama ile, wana safari ndefu sana kufikia au kuzipita level za waigizaji wengineo mashuhuri nchini korea.... chonde chonde wasije wakabweteka kama walivyo wasanii wa nyumbani kwetu.
hakuna kazi ngumu kama sanaaa....haitaki ubishoo mwingi wala uchafu mwingi ndio maana wale wa nyumbani kwetu wameishia kuwa ......​

  1. Excellence Award for an Actress in a Wednesday-Thursday Drama: Kim Hye Yoon (“Extraordinary You”)​
  2. Viewers’ Choice for Drama of the Year: “Extraordinary You”
  3. Best New Actress: Kim Hye Yoon (“Extraordinary You”)​
  4. Best New Actor: Lee Jae Wook and SF9’s Rowoon (“Extaordinary You”)​
MBC wajitathmini kama wanataka kurudisha ubora wao wa zamani, ni jambo la kustaajabisha sana, ukiangalia list ya celebrities maarufu walioshiriki kwenye project zao kwa mwaka 2019 ni wachache sana ukilinganisha na vituo vyenginevyo kama tvN, SBS na KBS.

mazingira bora ya kazi
malipo yenye kuridhisha
waajiri waandishi mashuhuri
waajiri madirector wazuri

pacha wangu lee taeri ( lee min ho) hajashinda tuzo hata moja.. sad

1577737897428.png
 
niliweka matarajio makubwa sana kwa one night spring drama kubeba tuzo ya best drama kwa mwaka 2019 lakini imekuwa kinyume chake.....
extraordinary you drama iliangaliwa kwa wastani wa 4.5% nchini korea, ni asilimia ndogo sana ukilinganisha na one night spring drama ambayo ilifikia kuangaliwa kwa 9% nation wide......
nimeiona nguvu ya wapiga kura ( huenda wengi wao waliopiga kura ni mashabiki walio nje ya korea kwa mtazamo wangu wa haraka)
kwa mara ya kwanza nimeshuhudia drama yenye rate ndogo kubeba tuzo ya best drama.
ila ushindi wao uzidi kuwaongezea hamasa yenye kuambatana na nidhamu ya kazi kwa vijana wote walioshiriki ndani ya drama ile, wana safari ndefu sana kufikia au kuzipita level za waigizaji wengineo mashuhuri nchini korea.... chonde chonde wasije wakabweteka kama walivyo wasanii wa nyumbani kwetu.
hakuna kazi ngumu kama sanaaa....haitaki ubishoo mwingi wala uchafu mwingi ndio maana wale wa nyumbani kwetu wameishia kuwa mabaradhuli wa kiume na hata wa kikee​

View attachment 1307778
Kilichonishangaza Pia.

Spring Drama Ilikua Nascript Iloandikwa Vizuri Sana Na Ya Kiuutuuzima Zaidi
Nashangaa Hata Best Couples Hawajuchukua.

Goo Hye Ryung Ilikua Na Couples Nzuri Lakin Si Kuizid Spring Drama.

Extra Wamekula Shavu La Best Drama Labda Ni Kuwapa Moyo tu Watazamji Maana Mwishon Ilikua Na Umaarufu Sana.
 
niliweka matarajio makubwa sana kwa one night spring drama kubeba tuzo ya best drama kwa mwaka 2019 lakini imekuwa kinyume chake.....
extraordinary you drama iliangaliwa kwa wastani wa 4.5% nchini korea, ni asilimia ndogo sana ukilinganisha na one night spring drama ambayo ilifikia kuangaliwa kwa 9% nation wide......
nimeiona nguvu ya wapiga kura ( huenda wengi wao waliopiga kura ni mashabiki walio nje ya korea kwa mtazamo wangu wa haraka)
kwa mara ya kwanza nimeshuhudia drama yenye rate ndogo kubeba tuzo ya best drama.
ila ushindi wao uzidi kuwaongezea hamasa yenye kuambatana na nidhamu ya kazi kwa vijana wote walioshiriki ndani ya drama ile, wana safari ndefu sana kufikia au kuzipita level za waigizaji wengineo mashuhuri nchini korea.... chonde chonde wasije wakabweteka kama walivyo wasanii wa nyumbani kwetu.
hakuna kazi ngumu kama sanaaa....haitaki ubishoo mwingi wala uchafu mwingi ndio maana wale wa nyumbani kwetu wameishia kuwa mabaradhuli wa kiume na hata wa kikee​

  1. Excellence Award for an Actress in a Wednesday-Thursday Drama: Kim Hye Yoon (“Extraordinary You”)​
  2. Viewers’ Choice for Drama of the Year: “Extraordinary You”
  3. Best New Actress: Kim Hye Yoon (“Extraordinary You”)​
  4. Best New Actor: Lee Jae Wook and SF9’s Rowoon (“Extaordinary You”)​
MBC wajitathmini kama wanataka kurudisha ubora wao wa zamani, ni jambo la kustaajabisha sana, ukiangalia list ya celebrities maarufu walioshiriki kwenye project zao kwa mwaka 2019 ni wachache sana ukilinganisha na vituo vyenginevyo kama tvN, SBS na KBS.

mazingira bora ya kazi
malipo yenye kuridhisha
waajiri waandishi mashuhuri
waajiri madirector wazuri

pacha wangu lee taeri ( lee min ho) hajashinda tuzo hata moja.. sad

View attachment 1307778
Kumbe Una Pacha.
 
Back
Top Bottom