Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,410
- 119,112
Misaeng, hata mimi najua hivyo. Kwamba Mishil alikuwa na watoto wengi ndio kwanza nasikia leo kwenye huu uziAliyekuwa na watoto wengi ni kaka yake wengine alikuwa hawajui sura zao hadi majina
Misaeng, hata mimi najua hivyo. Kwamba Mishil alikuwa na watoto wengi ndio kwanza nasikia leo kwenye huu uziAliyekuwa na watoto wengi ni kaka yake wengine alikuwa hawajui sura zao hadi majina
Mishil alikuwa na waume wengiMisaeng, hata mimi najua hivyo. Kwamba Mishil alikuwa na watoto wengi ndio kwanza nasikia leo kwenye huu uzi
Bidam huyu apa kwenye the pirates vs bandit,naitafuta Sana wadau,jamaa ni nomaAkina nani aliwatupa? Mimi najua alimtelekeza Bidam
Hahahaaa kama mm kilichonikuta kwenye siriz ya Lost najuta...Kama una hasira za haraka usiivute Extraordinary you utavunja PC yako bure kwa upotevu wa MB zako
Kama una hasira za haraka usiivute Extraordinary you utavunja PC yako bure kwa upotevu wa MB zako
Hiyo iko vizuri Sana,haitakupotezea mudaHahahaaa kama mm kilichonikuta kwenye siriz ya Lost najuta...
Nina Goodbye Mr Black hivi ni nzuri au itanipotezea muda tu?
Hahahaaa kama mm kilichonikuta kwenye siriz ya Lost najuta...
Nina Goodbye Mr Black hivi ni nzuri au itanipotezea muda tu?
Ni nzuri?Bidam huyu apa kwenye the pirates vs bandit,naitafuta Sana wadau,jamaa ni nomaView attachment 1264940
Iko bomba mnoNi nzuri?
Mkuu naomba link ya telegramWhy kila ninapo Pandisha drama kule Telegram in fail?, Hii kitu inanikera, maana naonekana kama kiongozi nisiyetimiza Majukumu yangu.
Empress Chunchu Ndio nahitaji kuipandisha.
Unatakiwa kutumbuliwaWhy kila ninapo Pandisha drama kule Telegram in fail?, Hii kitu inanikera, maana naonekana kama kiongozi nisiyetimiza Majukumu yangu.
Empress Chunchu Ndio nahitaji kuipandisha.
Great conqueror naomb mniunge kwenye group la telegram mkuuWhy kila ninapo Pandisha drama kule Telegram in fail?, Hii kitu inanikera, maana naonekana kama kiongozi nisiyetimiza Majukumu yangu.
Empress Chunchu Ndio nahitaji kuipandisha.
Kuhusiana na huyo 'Mishil' kumekuwa na kautata fulani ambapo maswali mengi yameibuliwa na Wanahistoria kwamba kweli ali-Exist ama la.Hivi? cheo cha Mishil( Seju) kilikuwa kipi Haswa. ( Queen SeonDeok Drama).
mbayaaaaaaaa kuliko ugali
wewe sikuamini
Hahaha!Yani ni mbayaaaaaaaa, usipoteze hata muda wako
Mishil alitumia Sayansi kuwahadaa wananchi ambao kwao Sayansi ilikuwa ni miujiza ya kutetemekewa.Si alikuwa King's consort, halafu watu walikuwa wanaamini ana nguvu za kiroho hivyo ikamuongezea influence. Mimi ndio najua hivyo