Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Alikuwa na baba, alivyokufa ndio akawa na mtoto wake(mfalme Jinji). Ila Mishil bwana, yaani muda wote anaenda kwa wanaume wote hao mume wake alikuwepo. Yaani mwanamke ana wanaume wawili na wanajuana, anawapeleka anavyotaka... Nilijiiuta nampenda bure
Bilashaka, Ila Mishil nae alikuwa Muhuni muhuni tu Ndio maana haeleweki ka Mvua za ikweta.
 
Kuna Kitu Nakuwa sikielewi, Drama Ipi Iko Sawa King's Dream( Dream Empire) au The Great Queen SeonDeok.
Hizi Drama zote zinaeleza Nyakati za Queen SeonDeok.
Queen SoenDeok Drama inaeleza Kuwa Bidam alikufa nyakati za Queen SeonDeok kwa Uhasi while King's Dream drama inasema jamaa alikufa Nyakati za Queen JinDeok tena Bidam alikuwa General huko Mipakani na alinyongwa kwa Uhaini.
Ipi iko saww?
Hata Uhusika wa Chunchu unachanganya.
 
Jembe langu
download-3.jpeg
download-2.jpeg
 
Back
Top Bottom