Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Jamani eeee nisaidieni jina la series ya Korea ya porini I mean historical drama kutoka mwaka jana hizo zingine kina 6 flying dragon kwa sisi wa angaliaji tulisha iona zamani sanaaa tu zinapo toka so please nitajien kama kuna mtu anafahamu series kali toka mwaka 2018 mpaka leo ila iwe historical drama
kama zote hizi umeshaziangalia basi hongera.
  1. emperor wang guhn
  2. age of warriors
  3. yeon gae somun
  4. admiral yi soon shin
  5. seoul 1945
  6. ballad of seodong
  7. comrade
  8. gye baek
  9. the king of legend
  10. dae jo yeong
  11. gwanggaeto the great
  12. jam yung go princes
  13. jumong
  14. kingdom of the wind
  15. the legend
  16. empress chunchu
  17. empress ki
  18. dawn of the empire
  19. god of war
  20. the greet seer
  21. jeong do jeon
  22. the king in love
  23. scarlet heart ryeo
  24. shindong
  25. my country the new age
  26. shine or go crazy
  27. six flying dragons
  28. dream of the emperor
  29. emperor of the sea
  30. queen seondeok
  31. hwarang
  32. jejungwon

ongezea na hizi 50 kutoka joseon
  1. 100 days my prince
  2. jingbirok the memoir of imjin war
  3. arang and the magistrate
  4. blood palace: the war of flower
  5. conspiracy in the court
  6. the crowned clown
  7. the jewel in the palace
  8. damo
  9. deep-rooted tree
  10. dong yi
  11. dr jin
  12. the duo
  13. eight-day assassination attempts against king Jeong Joo
  14. the emperor owner of the mask
  15. the fugitive of Joseon
  16. flower crew Joseon marriage agency
  17. flower of the prison
  18. goddess of fire
  19. grand prince
  20. the great merchant
  21. the great king Sejong
  22. gu family book
  23. gunman in Joseon
  24. hong gil dong
  25. hwang jin yi
  26. iljimae
  27. queen insu
  28. jang ok jung
  29. jang hee bin 2002
  30. jang hee bin 1995
  31. jang yeong sil
  32. the king and I
  33. kingdom
  34. the kings doctor
  35. yi san
  36. legend of the blue sea
  37. love in the moonlight
  38. moon embracing the sun
  39. the merchant gaekju
  40. my sassy girl
  41. painter of the wind
  42. the princess man
  43. queen and I
  44. queen for seven days
  45. the rebel thief hong gil dong
  46. the return of iljimae
  47. slave hunter
  48. six flying dragons
  49. sungkyunkwan scandals
  50. secret healer
  51. warrior baek dong soo.
 
Hizi za wavaa suti na mahaba mahaba naona zina wafuasi wengi pengine kuliko sisi wa msituni.

Hizi za wavaa suti na mahaba mahaba naona zina wafuasi wengi pengine kuliko sisi wa msituni.
Drama za mjini Hazifiki 20 nilizowahi kutazama. Lakini Historical Drama zinafika
50+ nilizoziona na ninaendelea kuzitazama.
Kila napojaribu kuzitazama Drama za mabishoo kiukweli nashindwa.
 
kama zote hizi umeshaziangalia basi hongera.
  1. emperor wang guhn
  2. age of warriors
  3. yeon gae somun
  4. admiral yi soon shin
  5. seoul 1945
  6. ballad of seodong
  7. comrade
  8. gye baek
  9. the king of legend
  10. dae jo yeong
  11. gwanggaeto the great
  12. jam yung go princes
  13. jumong
  14. kingdom of the wind
  15. the legend
  16. empress chunchu
  17. empress ki
  18. dawn of the empire
  19. god of war
  20. the greet seer
  21. jeong do jeon
  22. the king in love
  23. scarlet heart ryeo
  24. shindong
  25. my country the new age
  26. shine or go crazy
  27. six flying dragons
  28. dream of the emperor
  29. emperor of the sea
  30. queen seondeok
  31. hwarang
  32. jejungwon

ongezea na hizi 50 kutoka joseon
  1. 100 days my prince
  2. jingbirok the memoir of imjin war
  3. arang and the magistrate
  4. blood palace: the war of flower
  5. conspiracy in the court
  6. the crowned clown
  7. the jewel in the palace
  8. damo
  9. deep-rooted tree
  10. dong yi
  11. dr jin
  12. the duo
  13. eight-day assassination attempts against king Jeong Joo
  14. the emperor owner of the mask
  15. the fugitive of Joseon
  16. flower crew Joseon marriage agency
  17. flower of the prison
  18. goddess of fire
  19. grand prince
  20. the great merchant
  21. the great king Sejong
  22. gu family book
  23. gunman in Joseon
  24. hong gil dong
  25. hwang jin yi
  26. iljimae
  27. queen insu
  28. jang ok jung
  29. jang hee bin 2002
  30. jang hee bin 1995
  31. jang yeong sil
  32. the king and I
  33. kingdom
  34. the kings doctor
  35. yi san
  36. legend of the blue sea
  37. love in the moonlight
  38. moon embracing the sun
  39. the merchant gaekju
  40. my sassy girl
  41. painter of the wind
  42. the princess man
  43. queen and I
  44. queen for seven days
  45. the rebel thief hong gil dong
  46. the return of iljimae
  47. slave hunter
  48. six flying dragons
  49. sungkyunkwan scandals
  50. secret healer
  51. warrior baek dong soo.

List ya Juu ni 7 ndo sijaziona
List ya Chini 26 bado sijazitia machoni.

Mbona zingine sijaziona hapo mkuu
 
kama zote hizi umeshaziangalia basi hongera.
  1. emperor wang guhn
  2. age of warriors
  3. yeon gae somun
  4. admiral yi soon shin
  5. seoul 1945
  6. ballad of seodong
  7. comrade
  8. gye baek
  9. the king of legend
  10. dae jo yeong
  11. gwanggaeto the great
  12. jam yung go princes
  13. jumong
  14. kingdom of the wind
  15. the legend
  16. empress chunchu
  17. empress ki
  18. dawn of the empire
  19. god of war
  20. the greet seer
  21. jeong do jeon
  22. the king in love
  23. scarlet heart ryeo
  24. shindong
  25. my country the new age
  26. shine or go crazy
  27. six flying dragons
  28. dream of the emperor
  29. emperor of the sea
  30. queen seondeok
  31. hwarang
  32. jejungwon

ongezea na hizi 50 kutoka joseon
  1. 100 days my prince
  2. arang and the magistrate
  3. blood palace: the war of flower
  4. conspiracy in the court
  5. the crowned clown
  6. the jewel in the palace
  7. damo
  8. deep-rooted tree
  9. dong yi
  10. dr jin
  11. the duo
  12. eight-day assassination attempts against king Jeong Joo
  13. the emperor owner of the mask
  14. the fugitive of Joseon
  15. flower crew Joseon marriage agency
  16. flower of the prison
  17. goddess of fire
  18. grand prince
  19. the great merchant
  20. the great king Sejong
  21. gu family book
  22. gunman in Joseon
  23. hong gil dong
  24. hwang jin yi
  25. iljimae
  26. queen insu
  27. jang ok jung
  28. jang hee bin 2002
  29. jang hee bin 1995
  30. jang yeong sil
  31. the king and I
  32. kingdom
  33. the kings doctor
  34. yi san
  35. legend of the blue sea
  36. love in the moonlight
  37. moon embracing the sun
  38. the merchant gaekju
  39. my sassy girl
  40. painter of the wind
  41. the princess man
  42. queen and I
  43. queen for seven days
  44. the rebel thief hong gil dong
  45. the return of iljimae
  46. slave hunter
  47. six flying dragons
  48. sungkyunkwan scandals
  49. secret healer
  50. warrior baek dong soo.
Tukitoa
Jumong
The kingdom of the winds
jewel in the palace
six flying
frozen flower
slave hunter
iljimae
the rebel Gil Hong
warrior baek dong
painter of the wind
the great queen seondeok
queen for seven days
tree with deep roots
grand prince
jejungwoon
hwrang
emperor of the sea
shine or go crazy
the night watchman
ruler master of the mask
empress ki
zingine sikumbuki vema, katika hizi umeor
odhesha zipi hapo nimeacha zina story nzuri na mapanga kwa sana, Mahaba mahaba sipendi sana.
 
Shukrani sana angarau ntapata chakuangalia japo katika list zote mbili ni 17 tu ndosijaziona.....all in all jah akubless sana
kama zote hizi umeshaziangalia basi hongera.
  1. emperor wang guhn
  2. age of warriors
  3. yeon gae somun
  4. admiral yi soon shin
  5. seoul 1945
  6. ballad of seodong
  7. comrade
  8. gye baek
  9. the king of legend
  10. dae jo yeong
  11. gwanggaeto the great
  12. jam yung go princes
  13. jumong
  14. kingdom of the wind
  15. the legend
  16. empress chunchu
  17. empress ki
  18. dawn of the empire
  19. god of war
  20. the greet seer
  21. jeong do jeon
  22. the king in love
  23. scarlet heart ryeo
  24. shindong
  25. my country the new age
  26. shine or go crazy
  27. six flying dragons
  28. dream of the emperor
  29. emperor of the sea
  30. queen seondeok
  31. hwarang
  32. jejungwon

ongezea na hizi 50 kutoka joseon
  1. 100 days my prince
  2. jingbirok the memoir of imjin war
  3. arang and the magistrate
  4. blood palace: the war of flower
  5. conspiracy in the court
  6. the crowned clown
  7. the jewel in the palace
  8. damo
  9. deep-rooted tree
  10. dong yi
  11. dr jin
  12. the duo
  13. eight-day assassination attempts against king Jeong Joo
  14. the emperor owner of the mask
  15. the fugitive of Joseon
  16. flower crew Joseon marriage agency
  17. flower of the prison
  18. goddess of fire
  19. grand prince
  20. the great merchant
  21. the great king Sejong
  22. gu family book
  23. gunman in Joseon
  24. hong gil dong
  25. hwang jin yi
  26. iljimae
  27. queen insu
  28. jang ok jung
  29. jang hee bin 2002
  30. jang hee bin 1995
  31. jang yeong sil
  32. the king and I
  33. kingdom
  34. the kings doctor
  35. yi san
  36. legend of the blue sea
  37. love in the moonlight
  38. moon embracing the sun
  39. the merchant gaekju
  40. my sassy girl
  41. painter of the wind
  42. the princess man
  43. queen and I
  44. queen for seven days
  45. the rebel thief hong gil dong
  46. the return of iljimae
  47. slave hunter
  48. six flying dragons
  49. sungkyunkwan scandals
  50. secret healer
  51. warrior baek dong soo.
 
Mimi mwenyewe za wa vaa suti nimeiona city hunter na iris ila za pori ndo zenyewe mi napenda mapanga na stail yao ya uvaaji inanikosha ila hata zile mastering wanakua madem huwa sizi shobokei sana huwa zinaisha kiboya iliyo isha poa ni arrow on the bow string tu
Drama za mjini Hazifiki 20 nilizowahi kutazama. Lakini Historical Drama zinafika
50+ nilizoziona na ninaendelea kuzitazama.
Kila napojaribu kuzitazama Drama za mabishoo kiukweli nashindwa.
 
arrow on the bow string hiyo ni noma aiseeee
Mimi mwenyewe za wa vaa suti nimeiona city hunter na iris ila za pori ndo zenyewe mi napenda mapanga na stail yao ya uvaaji inanikosha ila hata zile mastering wanakua madem huwa sizi shobokei sana huwa zinaisha kiboya iliyo isha poa ni arrow on the bow string tu
 
empress ki dah sikuwahi kupendezwa nayo kwa kweli kwa sababu ya Tagon
Tukitoa
Jumong
The kingdom of the winds
jewel in the palace
six flying
frozen flower
slave hunter
iljimae
the rebel Gil Hong
warrior baek dong
painter of the wind
the great queen seondeok
queen for seven days
tree with deep roots
grand prince
jejungwoon
hwrang
emperor of the sea
shine or go crazy
the night watchman
ruler master of the mask
empress ki
zingine sikumbuki vema, katika hizi umeor
odhesha zipi hapo nimeacha zina story nzuri na mapanga kwa sana, Mahaba mahaba sipendi sana.
 
huo uselifisherman wangu umetokea wapi jamani?
haya madai yako dhaifu ulioyawasilisha yananipa jibu tosha ya kwamba ukiingia humu ndani huwa husomi mara kwa mara comment za wachangiaji wengine

hiyo habari ya kutengenezwa group kupitia telegram mbona ilitrend dunia nzima siku ya jana
au macho yako muhuni wewe kutoka pyongyang yana makengeza?
tafuta miwani ya mbao bwanaaaaa

Bora umemjibu maana nilitakari ni utani au anamaanisha?
Baadae nikahitimisha kwa kudhania ni utani.

Mambo yanazidi kupamba moto huko Telegram, well done Daemusin
 
wakorea wa Tanzania tunajuana kwa mavazi yetu ya hanbok, huyo muhuni akishashiba kimchi na chupa za makgeoli anakuwa na fujo kama mlevi wa Pemba.

arthdal chronicles unayo kwenye database yako?
hotel del luna?

cause nimefikiria kuzirudisha kwa muda ili niziweke kule kama huna.



Sina, weka zote ulizonazo hapa ndio nimeanza kudownload secret forest nikiimaliza nashusha na Vagabond kisha weekend hii hapa ni popcorn zangu tu na wine.
Haki nina rahaaaaaaaaa

Ila sasa ndio nini kutuwekea file la subtitles jamani? Wenye tunadownload kwa Tecno zetu ndio tumeshaumbuka hivyo, sijui nitaunganishaje file la subtitles kwenye episode kwa mchina huu!
 
utabahatisha hivyo hivyo na kikorea chako cha uswahilini.
baadhi ya drama zinachelewa kuwekwa subtitle,
kiupande wangu huona ni bora nidownload video hata kama haina subtitle ili nibane gharama zangu za bando.

nitaangalia kama upo uwezekano wa kuitafuta ep 7 yenye subtitle nitaiweka upya

Nimekumbuka juzi nilidownload Ep 1 ya The Clowned Clown kumbe ina subtitles za Kiindonesia kile nadhani, nikawa naokoteza maneno nikasikia “Seja” nikajisemea ohoooo huyo Crown Prince basi nikajiona Mkorea tayari, lol

Episode ya katikati ikiwa haina subtitles sio shida sana maana unakuwa tayari mtiririko mzima unaujua unaunganisha matukio tu.

Ukipata wasaa tuwekee na hiyo ya The Clowned Clown pamoja na ile mliyokuwa mnaisifia hapa juzijuzi ni historical ya mwaka huu imeisha muda sio mrefu, yupo yule jamaa wa kwenye Descendants of the Sun aliyebreakup na mkewe.
 
49 Reactions
Reply
Back
Top Bottom