M Z A N Z I B A R I
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 21,681
- 117,022
njia pekee ya kunipa faraja itakulazimu umwambie bwana jurgen klopp atupunguzie maumivu wiki mbili zijazo pale old trafford.Nikuambiaje Upate Faraja!?
teh teh teh
========================================================
umekuwa ukinipa faraja kwa muda mrefu sana hivyo basi itakuwa unaendeleza tu tabia yako njema uliojaaliwa na muumba ,kwa hilo acha niendelee kukushukuru na kumuomba Mungu akutimizie haja zako zote ikiwemo ile ya kukupa mwanaume atakayezifahamu hisia zako zote za kimwili na kihuduma na si kukupa mwanamume atakayeongozwa zaidi na ashki za kimapenzi pekee (haja za kimwili).
usiku mwema mpendwa japokuwa sisi makapuku tunashindwa hata kuzitimiza ndoto zetu tunapokuwa usingizini ndio maana nimesita kulala mpaka muda huu japokuwa mvua inanyesha ikiambatana na upepo mzuri kama nipo maeneo ya Busan.
wengine wanaota usingizini wanatengeneza fedha za ukweli kwa kufanya biashara cha ajabu sisi wengine tukilala tunaota tunakojoa kitandani kama watoto wadogo.
teh teh teh siruhusa kucheka