M Z A N Z I B A R I
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 21,632
- 116,773
sielewi ni sababu ipi inayowafanya wengine muzichukie hizi going on drama, kiupande wangu navutiwa zaidi na drama zinazoendelea kuliko zilizokamilika kwa sababu zinanipunguzia mzigo wa kupoteza muda mwingi wa kuangalia drama.Kuna ulevi mwingine mbaya sana. Kuna viapo sio vya kuapa kisha ukavivunja vinatesa sana
Saiv nateswa na ongoing tatu
At eighteen
Doctor detective
Rookie historian
jana tu ndio nimeangalia final episode ya hotel del luna,
inshaalllah sitoangalia tena drama mpaka ijumaa pindi zitakapotoka episode zote mbili za when the devil calls your name drama.
baadae nasubiri tena jumapili nipate kuangalia episode mbili za mwisho za doctor john drama pamoja na episode ya 13 ya arthdal drama.
kwa ufupi kwa wiki moja naweza kuangalia episode 8 tu za drama nne tofauti.
ndani ya mwaka huu nimepata drama takribani 10 zilizokuwa zipo completed lakini zimenishinda kuzingalia sababu kubwa naziona kama zimeshachuja kiubora.
- beautiful mind = jang hyuk
- hyde jekill and me = hyun bin
- kill me heal me drama = ji sung.
- protect the boss = ji sung
- gentleman dignity drama = jang dong gun
- woman of dignity drama = kim hee sun and kim sun a.
- the good witch drama = lee da hae, ryu soo young.
- n.k
ukija kwenye hizi compeleted drama kwa mfano katikati ya mwezi uliopita nilirejea kiporo changu kinachoitwa age of warriors drama kwa sababu nilikuwa sina mission muhimu za kufanya basi ilikuwa kila nikiangalia ule mzuka wa kutaka kufahamu kinachojiri mbeleni ndio unazidi, hatimaye nikajikuta ndani ya siku mbili nimezidownload na kuziangalia episode takribani 30.