Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

IMG_20190822_195230_814.jpg
huyo physician wa upande wa kulia ni full vituko. Hasa ukimtazama kwenye
Wind Of the Palace ( Yi San) na humo kwenye Jewel of the Palace.
 
  1. hotel del luna = inamaliza leo
  2. doctor john = inamaliza wiki inayoanza kesho
  3. when the devil calls your name = inamaliza wiki tatu zijazo.
when the devil calls your name

huyu shetani ameendelea kuleta mgogoro mkubwa sana wa kifikra kati ya pande mbili zinazoendelea kukinzana na ambazo hazitokuwa upande mmoja mpaka ulimwengu utakapokwisha, naukusudia ule upande unaoamini mungu yupo, ndiye muweza na mjuaji wa kila jambo, mwenye huruma, mwenye nguvu na asiyechoka na aliyeumba kila kitu bila ya kusahau

Upande mwengine ndio ule usioamini habari za uwepo wa huyo Mungu ambao wao huamini ya kwamba ulimwengu huu hujiendesha zaidi kwa fikra za viumbe wenyewe hususani binadamu (kama akili yako iko vyema utakuwa na mafanikio ya kimaisha ila kama utakuwa mzembe utakufa na umasikini wako huku ukiendelea kumlalamikia na kumuomba huyo asiyekuwepo akutoe kwenye janga la dhiki)
pale inapotokezea maisha yamekukalia upande wa kushoto kama ya huku kwetu kolomijee, maisha yamekuwa machungu kama chloroquine, huna mbele wala huna nyuma kama makalio ya betina, kila unapomuomba Mungu muweza wa yote aliyejawa na huruma na upendo kwa viumbe wake anashindwa kujibu kwa haraka kile unachomuomba.

mara punde unaisikia sauti ya shetani huyu anayepingwa na dini zote inagonga kwenye masikio yake mawili, baadae unamvutia picha kwa kutumia macho yako mawili pamoja na ubongo wako unaofanya kazi ya kuhifadhi na kuprocess taarifa bila ya kuchoka, hatimaye unamuona huyu ndiye muokozi wangu sahihi atakayenitoa hapo nilipoganda kwenye tope zito na kunipeleka kwenye nchi ya ahadi ilioshikilia kunguru wetu mweupe bila ya kujali masharti na vigezo atakavyokupa ili upate huo msaada unaouhitaji kutoka kwake.

wengi wao wameamua kumkimbilia shetani awape msaada baada ya kuona huyo mwenye upendo na huruma anawacheleweshea huo msaada usiokuwa na masharti, wengine huelekea kwa mganga, wengine huelekea kwenye mizimu yao, wengine hufuata nyayo za wazee wao kwa kuwa warithi wa uchawi n.k.
View attachment 1194961

mwishoni mwa miaka ya 70 nchini korea ilikuwepo bendi inayoitwa liver and the gall bladder ilioundwa na vijana wawili mashuhuri waliokuwa wakifanya vizuri sana kwenye tasnia ya muziki, mmoja kati ya vijana hao wawili alikuwa anaitwa seo dong cheon, baadae maisha yakawa magumu mnoo kwa huyu jamaa kiasi ambacho ilipelekea akose hata hela ya kununulia vocha, kila wimbo anaotoa haukubaliki kwenye soko, kila alichokuwa anakigusa kwa mategemeo kigeuke dhahabu ikawa ni kinyume chake, akijaribu kumuomba Mungu amsaidie ndio hivyo majibu yanachelewa ndipo akaona ni bora amgeukie shetani huenda akampa msaada kwa haraka zaidi.
View attachment 1194958
wenyewe wanasema hakuna msaada usiokuwa na malengo hivyo basi alichokuwa anakifanya huyo shetani kwa kuwatumia mawakala wake ni kukutimizia mahitaji yako yote unayomuomba kwa sharti la kumkabidhi nafsi yako, yaani pindi mkataba utakapokwisha hiyo nafsi (soul) yako itakuwa chini ya mamlaka ya shetani, jamaa akasaini mkataba na miongoni mwa maombi yake aliyoyaomba kwa shetani ni kupewa kila kitu anachostahili kuwa nacho binadamu ikiwemo mali, umaarufu fedha na jengine alilomuomba shetani ni kurudishwa umri wake nyuma (kutoka uzee hadi hand some boyiii from nyamagana) na jina jipya atakalolitumia kwenye career yake mpya ya muziki ndipo akapewa jina la Ha rip.

sisi binadamu maisha yetu ni mafupi mnoo kutokana na mizunguko tunayokumbana kila siku haijalishi kama utapewa miaka 100 ya kuishi, pindi itakapokaribia hiyo miaka utaiona ni michache na hicho ndicho kilichomkuta jamaa baada ya mkataba wake na shetani kuelekea ukingoni, sharti alilopewa na shetani ili aweze kujitoa kwenye huo mkataba ni kumtafuta mwanadamu mwengine ambaye nafsi yake ipo daraja la kwanza (nafsi safi isiyokuwa na chembe chembe za chuki).

ndipo akakutana na msichana aliyekuwa na ndoto za kufika mbali kimuziki lakini hakujua ni njia ipi apite ili afanikiwe kwenye career yake ya muziki, kibaya zaidi huyu msichana nyakati zile jamaa hajakutana na shetani alikuwa anamchukulia kama ni mwanawe na walikuwa wakiimba pamoja mitaani, kwenye sherehe na matasha mengineo ili wajipatie fedha za kujikimu lakini ndio hivyo alikwishamsahau.
View attachment 1194962

balaa jengine seo dong cheon aliwahi kuzaa nje ya ndoa na mwanamke lakini kutokana na ugumu wa maisha akaamua kumtelekeza mtoto wake wa kiume aliyekuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo, miaka 10 baade bwana mdogo anarudi korea kwa ajili ya kumtafuta baba yake, dogo alikuwa ana ndoto kubwa sana ya kufanikiwa kimuziki kama alivyokuwa baba yake, kampuni iliomuajiri huyo mtoto ndio kampuni inayomsimamia ha rip, akimuangalia harip anafanana na picha ya baba yake ndipo akamuuliza siku moja una uhusiano wowote na seo dong cheon?

ha rip akamjibu ndio nina uhusiano na seo dong cheon na ndiye baba yangu mzazi lakini kwa sasa simjui alipo,
kumbe yeye ndiye seo dong cheon mwenyewe.

View attachment 1194963

kwa ufupi kipi kitakachotokezea mbeleni,
  • je ha rip ataiuza nafsi ya mwanadada kelly kwa shetani ili apate kumuokoa mtoto wake ambaye bado anasumbuliwa na tatizo la moyo?
  • dogo atachukua hatua gani siku atakayofahamu ya kwamba ha rip ndiye seo dong cheon mwenyewe?
  • mwanadada kelly atachukua hatua gani siku atakayofahmu ya kwamba ha rip ndiye seo dong cheon, na ndiye aliyeiba fedha miaka ile na hatimaye kesi ikamuangukia yeye na kuishia gerezani?
  • je harip (seo dong cheon) atakubali kumuachia mtoto wake awe na mahusiano na mwanadada kelly, wakati huo huo kelly ameshaanza kuonyesha hisia za kimapenzi kwa Ha Rip?
  • je jamii itamchukulia ha rip kwa kitendo chake cha kuiuza nafsi yake kwa shetani?
hii drama haipewi heshima inayostahili (underrated) ndio maana rate yake imekuwa ni ndogo sana, kiupande wangu nimejikuta siwezi kuikosa hii drama kila ifikapo jumatano na alhamisi, kwa mara nyengine nimetokezea kuvutiwa na huyu mwanadada lee sol bila ya kumsahau fundi jung kyung ho, sijui kitu gani asichokiweza huyu jamaa kuanzia kuigiza hadi kuimba, chengine kilichonivutia ndani ya drama hii ni OST zake zinaendana na stori husika.

aminas ukipata muda itafute hii drama na hutojutia nakuahidi, ubora wa drama haupimwi kwa rate ya kuangaliwa na wakorea bali hupiwa kwa ubora wa hadithi yenyewe, hotel del luna ina rate kubwa kuliko arthdal chronicles lakini kwangu mimi naiona arthdal ni bora zaidi ya hotel del luna drama.

  1. The Street You Left = liver and gall bladder ost special
  2. trap of love = Jung won young
  3. when I am in Busan = Jung Kyung ho
  4. talk to myself = sondia
  5. talk to myself = lee sol cover
  6. where is the dream = jung kyung ho
  7. my song = sondia
  8. you bring no sadness = sondia

umeondoka na kuniacha peke yangu kitaani (mtaani),
sitoliona tena tabasamu lako
kwangu mimi wewe ni kama oasis in the desert,
sauti yako ndogo na nyororo muda wote hunifanya nitabasamu
ni mimi pekee ndiye niliyeshindwa kubadilika,
kitu pekee kilichobaki ambacho kinaendelea kung'ara kwenye maisha yangu ni taa za njiani zilizowashwa.
nimebaki nimesimama peke yangu kwenye huu mtaa ulioniacha
hata sauti za ndege wanaolia usiku sizisikii tena
tafadhali naomba urudi kwangu
Come on, baby​

Kwel inaonekana ni nzuri
 
Annyeong! Hotel Del Luna wrap up party

View attachment 1195032

Angalia pia series moja inaitwa the empress ki ni nzuri Sana Ina ngumi lakini pia inafundisha Sana inafundisha Mambo Kama tamaa mbaya, unapofanikiwa Sana ndipo unazidisha maadui,si kila Jambo lazima utumie nguvu against your enemy sometime kutumia akili kwa kutumia weakness ya adui yako ni best solution n.k
 
kama nashindwa kulifahamu jina la mke wa pili aliyeolewa na babu yangu unadhani muhuni wewe kutoka ngome za liaodong nitaweza kulifahamu jina la mtoto wa kike wa jang bogo ambalo halijaandikwa kwenye toleo lolote la wikipedia na vyanzo vyenginevyo?

kama kumbukumbu zangu itakuwa bado zipo sahihi nakumbuka nyakati naifuatilia hiyo drama (emperor wang guhn) kuna nyakati muandishi alijaribu kutuonyesha uhusiano uliopo kati ya gung ye na jang bogo, kuna ziara fulani aliifanya huyo jamaa nyakati ambazo bado yupo madarakani ndipo akafanikiwa kukutana na jamaa fulani akamkabidhi kisu ambacho inasemekana alikuwa anakitumia jang bogo nyakati za uhai wake.

huenda ni kweli jamaa alikuwa ni mjukuu wa jang bogo a.k.a Mungu wa baharini kwa sababu inasemekana moja kati ya sababu iliozidisha chuki na uhasama kati ya jang bogo na royal family ni kitendo cha jang bogo kutaka kulazimisha mtoto wake wa kike aolewe ndani ya familia ya kifalme ndipo baadae akauliwa na yeom jang.
Komas min da.
 
Nipo nafuatilia hwarang sword dance
Yap mkongoto na historia pia ya nchi yako Goguryo
Nahisi General Yeon Gaesomun alikuwa ni balaa zaidi ya Wan Gun maana Wan Gun sijamfuatilia
hwarang?
sidhani kama neno hwarang lina uhusiano wowote na taifa la goguryeo, nafikri utakuwa umeikusudia sword and flower au kwa jina jengine inaitwa the blade and petal drama ndio ndani yake utakutana na uhusika wa general yeon gae somun

hwarang:
were a youth warrior group made up of male youth during the Silla dynasty. Only young lads from aristocratic families that possessed strong moral character and discipline were eligible to become a member of the Hwarang. As a member of the Hwarang, the boys would study and train in the art of war in addition to scholarly and artistic areas. Their mission was to defend Silla and its royal family.
1567502282817.png

1567502394799.png
 
Juzi Wakati Naiangalia, Nikakumbuka Ule Usemi Wako Na Hiki Ulichoandika Apa.

Naona Hadithi Za Maigizo Zinaenda Kasi na Dunia Inavyoenda.... Kuwapa Ujasiri Zaidi Wanawake.

Ila ni Drama yenye Stori Nzuri..
usiniambie ya kwamba huyo bwege haji manara amekuacha kwenye mti peke yako na usijue wapi pakwenda kama huyo ndege anayevutia hapo juu ya avatar

=============================================================================
umekusudia nukuu ile ya wanawake uchumi mumebarikiwa kuwa nao lakini munaukalia kwa makusudi?

si nimemsikia sheikh magufuli anasema ya kwamba wanawake wa siku hizi munatuhonga ndege na train sisi wanaume vikwiri kwiri ili tupate kuuzia sura mitaani.

kwani wewe si miongoni mwao?
kama ni miongoni mwao nitume majeshi yangu na mimi nipate kuhongwa lamborghini from milano
 
kuna uwezekano kati ya hawa wajinga wawili mmoja wao amesha changanyikiwa, binafsi nimeshachoshwa na utoto wao.
hivi ni nani aliyewalazimisha wajinga hawa waingie kwenye ulimwengu wa ndoa haliyakuwa ndio kwanza hawajapevuka kifikra, nina miaka 99 ya kuzaliwa lakini ndoa naiogopa kuliko kuikamata ndege ya raisi iliopakia abiria walala hoi, cha ajabu wao waliuvamia ulimwengu wa ndoa haliyakuwa hawajatimiza hata miaka 30 ya kuzaliwa.

sijui huyu mwanamke ku hye sun ndiye mgonjwa?
sijui huyu mwanamme ahn jae hyun ndiye mgonjwa?
ngoja niende kwa babu wa loliondo natumaini hakosi majibu kama alivyotupa majibu siku zile kuhusu raisi ajaye lazima anywe kikombe chake

kama tatizo ni paka basi wanifuate nyumbani niwape hata kama wanawahitaji paka 50, ninao teleeee na kazi yao kubwa ni kufyatuwa watoto kama kiwanda cha nguo, kwa jinsi nisivyokuwa na uwezo wa kuwalisha baadhi yao wanakula mpaka ubuyu uliokwisha pikwa.
pumbavu zao

Ku Hye Sun Says She Cannot Divorce Ahn Jae Hyun Due To Cat Custody Issues
ku hye sun
has now spoken out against Ahn Jae Hyun in regards to the cat Anju
Originally Ahn Jae Hyun’s cat since 2014, Anju became one of the couple’s several family pets after their marriage in 2016.
On September 3, Ku Hye Sun posted the following caption on Instagram with a photo:

Anju. [The cat] has spent a longer time with me and is my pet. He didn’t properly feed or clean up after the cat’s poop a single time but announced our divorce and took the cat, so we cannot get divorced.
1567506052931.png

aminas
Numbisa
Prishaz dada mkubwa
Nifah dada mkubwa

zungumzeni na huyu mwanamke mwenzenu japo kule instagram huenda akawaelewa, na mimi nitazungumza na mwanamme mwenzangu japo kwa yes na no za kikorea naamini tutafahamiana kwa uwezo wa ras magufulinho bin simbaa
hili sakata lao kwa kiasi kikubwa tokea lianze anayepoteza zaidi ni mwanammme, takribani kampuni mbili zimeshavunja mkataba naye ila bidada yupo bize kukipigia promo kitabu chake cha riwaya na anafanikiwa kweli kweli.
 
Hotel Del Luna' denies the existence of a second season
The drama ended with its 16th episode on September 1st. It was the most-watched tvN drama so far this year with a 12% rating among cable channels on during the last episode.
1567507672529.png

At the end of the drama during the epilogue, a new hotel called 'Hotel Blue Moon' appeared, and a special appearance was made by actor Kim Soo Hyun as the new owner of the hotel. He said,
"The moon has risen. Let's open up the business."

From there, many had guessed that 'Hotel Blue Moon' would become the season 2 of 'Hotel Del Luna' and Kim Soo Hyun would be the main character.

To this, a source from tvN said,

“We haven’t discussed anything about a second season yet,” and continued, “It’s difficult for us to give an answer on whether there will be a second season or not because the staff hasn’t ever discussed the possibility of a second season.” They concluded with, “We believe this is an expression of our viewers’ love and support for the drama so we are grateful for it.”
1567507645932.png
 
woyoooooo im happy like aeroplane from district chatooo
wakati wengine munaelekea kusherehekea kuachiwa kwa kunguru mweupe kule kwa wazee wa xenophobia mimi nasherehekea ujio wa season 2 ya secret forest drama a.k.a stranger drama.

nitoe pole kwa wale wote walioshindwa kuangalia season 1 ya hii drama
kuna mdau wa kike humu ndani nilimtambulisha kwa huyu ahjussi cho seung woo akamkataa eti ana mapengo
hmmmmm! kashikwa na baba daehan.

inakuwaje wanawake wa korea wanaandika script za kibabe kama hizi, je wajua aliyeandika drama hii mwanamama
Lee Soo-Yeon ndiye huyu huyu aliyeandika medical drama iliyokwenda shule inayoitwa life?

je unajua wanawake nchini korea wanabeba takribani asilimia 90 ya screen writers tu ukilinganisha na asilimia 27 ya screen writer, directors, editors, photographers na wengineo nchini marekani na hii ni kwa mujibu wa Center for the Study of Women in Television and Film ?

Update: Cho Seung Woo, Lee Joon Hyuk, And Yoon Se Ah Confirmed To Return For “Forest Of Secrets” Season 2 + Bae Doona In Talks

More information has been revealed regarding the cast for tvN’s “Forest of Secrets” season two.
On September 3, a source from Cho Seung Woo’s agency Good Man Story Entertainment relayed to Sports Donga, “It is true that Cho Seung Woo will star in ‘Forest of Secrets’ season two,” and a source from Yoon Se Ah and Lee Joon Hyuk’s agency Ace Factory also confirmed that the two actors will be appearing in the drama’s second season.

However, a source from Bae Doona’s agency SBD Entertainment shared, “She has received an offer for ‘Forest of Secrets’ season two and is positively reviewing it.”

The first season of “Forest of Secrets,” which first aired in June 2017, had an incredibly successful run with its story about an emotionless, loner prosecutor named Hwang Si Mok (played by Cho Seung Woo) and a warm detective with a strong sense of justice named Han Yeo Jin (Bae Doona) who work together to catch a serial killer and expose corruption within the prosecutor’s office.

Awards
1567508612440.png

TvN idumu milele kwetu sisi wakorea weusi kama pombe na mlevi
kama ccm na mjinga
kama chadema, cuf na vyenginevyo kwa makamanda waoga wanaojifcha uvunguni mwa vitanda vyao vilivyojaa kunguni huki wakiimba wimbo wa mapinduzi and peopleeeesssss
 
Hahahaha aiseee wakorea wana matatizo sana yaani wanagombania paka!!?miaka yote ndoani hawajapata hata katoto kamoja mfyuuu zao.

Mwanakuyataka mwana kuyapata huyo Handsome lips zake bomba sana ila ana tatizo kisa kamchoka mkewe kakurupuka kuomba talaka.

Mke kamwambia asubiri mama ake apone(mama hye sun) au kama vipi jamaa akaongee na mama mkwe ili wafahamu tatizo,mume kagoma anachotaka ni talaka tu
kuna uwezekano kati ya hawa wajinga wawili mmoja wao amesha changanyikiwa, binafsi nimeshachoshwa na utoto wao.
hivi ni nani aliyewalazimisha wajinga hawa waingie kwenye ulimwengu wa ndoa haliyakuwa ndio kwanza hawajapevuka kifikra, nina miaka 99 ya kuzaliwa lakini ndoa naiogopa kuliko kuikamata ndege ya raisi iliopakia abiria walala hoi, cha ajabu wao waliuvamia ulimwengu wa ndoa haliyakuwa hawajatimiza hata miaka 30 ya kuzaliwa.

sijui huyu mwanamke ku hye sun ndiye mgonjwa?
sijui huyu mwanamme ahn jae hyun ndiye mgonjwa?
ngoja niende kwa babu wa loliondo natumaini hakosi majibu kama alivyotupa majibu siku zile kuhusu raisi ajaye lazima anywe kikombe chake

kama tatizo ni paka basi wanifuate nyumbani niwape hata kama wanawahitaji paka 50, ninao teleeee na kazi yao kubwa ni kufyatuwa watoto kama kiwanda cha nguo, kwa jinsi nisivyokuwa na uwezo wa kuwalisha baadhi yao wanakula mpaka ubuyu uliokwisha pikwa.
pumbavu zao

Ku Hye Sun Says She Cannot Divorce Ahn Jae Hyun Due To Cat Custody Issues
ku hye sun
has now spoken out against Ahn Jae Hyun in regards to the cat Anju
Originally Ahn Jae Hyun’s cat since 2014, Anju became one of the couple’s several family pets after their marriage in 2016.
On September 3, Ku Hye Sun posted the following caption on Instagram with a photo:

Anju. [The cat] has spent a longer time with me and is my pet. He didn’t properly feed or clean up after the cat’s poop a single time but announced our divorce and took the cat, so we cannot get divorced.
View attachment 1196571

aminas
Numbisa
Prishaz dada mkubwa
Nifah dada mkubwa

zungumzeni na huyu mwanamke mwenzenu japo kule instagram huenda akawaelewa, na mimi nitazungumza na mwanamme mwenzangu japo kwa yes na no za kikorea naamini tutafahamiana kwa uwezo wa ras magufulinho bin simbaa
hili sakata lao kwa kiasi kikubwa tokea lianze anayepoteza zaidi ni mwanammme, takribani kampuni mbili zimeshavunja mkataba naye ila bidada yupo bize kukipigia promo kitabu chake cha riwaya na anafanikiwa kweli kweli.
 
Kuna ulevi mwingine mbaya sana. Kuna viapo sio vya kuapa kisha ukavivunja vinatesa sana

Saiv nateswa na ongoing tatu
At eighteen
Doctor detective
Rookie historian
 
woyoooooo im happy like aeroplane from district chatooo
wakati wengine munaelekea kusherehekea kuachiwa kwa kunguru mweupe kule kwa wazee wa xenophobia mimi nasherehekea ujio wa season 2 ya secret forest drama a.k.a stranger drama.

nitoe pole kwa wale wote walioshindwa kuangalia season 1 ya hii drama
kuna mdau wa kike humu ndani nilimtambulisha kwa huyu ahjussi cho seung woo akamkataa eti ana mapengo
hmmmmm! kashikwa na baba daehan.

inakuwaje wanawake wa korea wanaandika script za kibabe kama hizi, je wajua aliyeandika drama hii mwanamama
Lee Soo-Yeon ndiye huyu huyu aliyeandika medical drama iliyokwenda shule inayoitwa life?

je unajua wanawake nchini korea wanabeba takribani asilimia 90 ya screen writers tu ukilinganisha na asilimia 27 ya screen writer, directors, editors, photographers na wengineo nchini marekani na hii ni kwa mujibu wa Center for the Study of Women in Television and Film ?

Update: Cho Seung Woo, Lee Joon Hyuk, And Yoon Se Ah Confirmed To Return For “Forest Of Secrets” Season 2 + Bae Doona In Talks

More information has been revealed regarding the cast for tvN’s “Forest of Secrets” season two.
On September 3, a source from Cho Seung Woo’s agency Good Man Story Entertainment relayed to Sports Donga, “It is true that Cho Seung Woo will star in ‘Forest of Secrets’ season two,” and a source from Yoon Se Ah and Lee Joon Hyuk’s agency Ace Factory also confirmed that the two actors will be appearing in the drama’s second season.

However, a source from Bae Doona’s agency SBD Entertainment shared, “She has received an offer for ‘Forest of Secrets’ season two and is positively reviewing it.”

The first season of “Forest of Secrets,” which first aired in June 2017, had an incredibly successful run with its story about an emotionless, loner prosecutor named Hwang Si Mok (played by Cho Seung Woo) and a warm detective with a strong sense of justice named Han Yeo Jin (Bae Doona) who work together to catch a serial killer and expose corruption within the prosecutor’s office.

Awards
View attachment 1196616

TvN idumu milele kwetu sisi wakorea weusi kama pombe na mlevi
kama ccm na mjinga
kama chadema, cuf na vyenginevyo kwa makamanda waoga wanaojifcha uvunguni mwa vitanda vyao vilivyojaa kunguni huki wakiimba wimbo wa mapinduzi and peopleeeesssss
Umewahi kuiona series ya the empress ki?
 
Hahahaha aiseee wakorea wana matatizo sana yaani wanagombania paka!!?miaka yote ndoani hawajapata hata katoto kamoja mfyuuu zao.

Mwanakuyataka mwana kuyapata huyo Handsome lips zake bomba sana ila ana tatizo kisa kamchoka mkewe kakurupuka kuomba talaka.

Mke kamwambia asubiri mama ake apone(mama hye sun) au kama vipi jamaa akaongee na mama mkwe ili wafahamu tatizo,mume kagoma anachotaka ni talaka tu
taarifa zao niliwahi kuzisoma mara chache then nikawa nazipotezea hivyo basi sifahamu kiundani kinachopelekea waendelee kurushiana madongo ya kitoto hadharani.

  • wote wawili wanasimamiwa kazi zao na kampuni moja, kinachoonekana either kampuni inampendelea zaidi mwanamme kwenye huu mgogoro ndio maana bidada anaamua kutumia social media kwa ajili ya kuweka wazi maovu yote yanayofanywa na mwenza wake.
  • au inawezekana bidada anatumia zaidi social media ili kutafuta huruma kwenye huu mgogoro kupitia kwa wadau mbali mbali.
kupitia account yake ya instagram leo amepost tena, hahahahahahaaaa hatari sana

Ku Hye Sun Shares List Of Rules She Asked Ahn Jae Hyun To Follow During Their Marriage
On September 3, around 8 p.m. KST, Ku Hye Sun shared two photos on Instagram. Later, she added the caption, “Become a human,” which she then changed to, “All I really want is an apology.”

The first photo contains two pieces of paper, one titled “Things that Ahn Jae Hyun should be careful not to do (until March)” and one titled “Things Ku Hye Sun should be careful not to do.”

The list of rules for Ahn Jae Hyun reads:
  1. If drinking outside, drink only until 11 p.m.
  2. Don’t drink to the point of losing consciousness (be moderate).
  3. Don’t be stubborn.
  4. Don’t cause harm to others.
  5. Put away your clothes when you take them off.
  6. Clean up your food and dishes after eating (don’t pile them in the sink).
  7. Put laundry in the laundry room.
  8. Even if you’re feeling good because you’re drunk, don’t yell or slap or use other forms of violence.
  9. Come home by midnight (apart from filming).
  10. Clean up after the cat once every seven days.
  11. Be careful what you say (especially what you say about others).
  12. Put away your shoes.
The list with Ku Hye Sun’s name contains only the word, “Nothing.” The second photo in the Instagram post shows Ku Hye Sun and Ahn Jae Hyun’s signatures on the back of the paper, suggesting that both of them agreed to this list of rules.

Back
Top Bottom