Prishaz
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 2,855
- 4,894
Unnie amesmile niko mkao nasubiria kwa hamu ila nahisi zitafika 10 Dec😎..Jamani si ndio kama hivi nimekukumbuka Unnie? Of course ninazo ktk PC, kwa sasa ninazo drama 5 na movie moja.
Ngoja nikifikisha walau 10 nikucheki nikupatie...
Hii strong woman ni nzuri comedy kibao na ina crime pia.
Make sure huangalii hizi ninazokuambia, nakuhifadhia...