Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Cap marvel ilishatoka torrent
Kama September waona mbali sie tunaosubiri Marvel Movies Phase 4 tusemeje?? Mfano
Muvi ambayo inapikwa sasa itakayoanza kutoka ni Black Widow itatoka may 2020. Kwa umaskini wangu mpaka marvel waiachie tuweze kuipakua itakua si chini ya miez 6-7 Hivyo nitasubiri mpaka November au January 2021 ili niweze kuipakua,Otherwise niandae buku 15 niende Am Mall. Ikumbukwe Captain Marvel imetoka Marc ila mpaka Leo haijaachiliwa iweze kupakuliwa Kwenye Torrent. Vumilia miss September sio mbali.
 
Tafuta site nzuri download mzigo mzima ufaidi
IMG_20190725_210903.jpg

Fuatilia "IRIS" kituo cha ITV saa 4:15 usiku,jtatu hadi Jtano!
 
Fuatilia "IRIS" kituo cha ITV saa 4:15 usiku,jtatu hadi Jtano!
ina maana zile CD za iris 1 zinazomilikiwa na kituo cha ITV bado hazijachunika?
daebak.
huu ni mwaka wa 10 tokea tamthilia ya iris 1 itengenezwe
hii itakuwa ni mara ya 50 tokea ITV waionyeshe drama ya iris 1.
dah kama kuna mtu bado hajaifahamu iris 1 hadithi yake basi anapaswa ahudhurie darasa la ras kilomoni wa simba
 
Kang Ji Hwan’s Former Agency Addresses Issue Of Returning Pay From “Joseon Survival” After Sexual Assault Case
ebwana weeee bwana kibakaji amekamatwa na vyombo vya sheria muda wowote kuanzia sasa atakwenda haja kubwa kupitia ndoo ya samli au siagi.

ishu iko hivi: kang ji hwan alikuwa anashiriki kwenye drama inayoitwa joseon survival kabla ya scandal yake kuibuka jambo lililopelekea uhusika wake uondoshwe ndani ya ile project.
watengenezaji wa hii project walikwishamlipa bwana kang ji hwan kupitia agent wake wa mwanzo hela yote ya ushiriki wake ndani ya drama hiyo ambayo ilitegemewa ashiriki episode 20, dau lake inasemekana alilipwa won billion 1.4 (approximately billioni 2.7 na ujinga mwingi ndani yake kwa pesa ya januari makamba).

kwa kuwa bwana kang ameshiriki nusu ya drama atapaswa kurudisha hela ya watu(nusu).
full stop bora niishie hapa, najua watanzania munapenda ubuyu wa bibi fatuma kijasho cha kwapa.
1564088159502.png
 
Ile Tear Of The Dragon ikiwa subtitled utaitazama?!
kwako mwalimu Daemusin
nimeshachoshwa na hadithi za lee seung gye, lee bang won, lee do, jung do jeon na jeong mong jo.
hata kama wataiweka subtitle sidhani kama itaniongezea ushawishi wa kuifuatilia.

ni sawa sawa na kupikiwa biryani zuriii lililotiwa kitoweo cha sokwe ndani yake, kwangu mimi halitonivutia lakini kwa wengine watavutiwa na chakula hicho.
 
Hahaha Drama ya Jeong Do Jeon na Great King Sejong
zilikuwa zinaendana na maandiko ya kihistoria.

Mh! Wacha niendelee na Wang Guhn.
 
ina maana zile CD za iris 1 zinazomilikiwa na kituo cha ITV bado hazijachunika?
daebak.
huu ni mwaka wa 10 tokea tamthilia ya iris 1 itengenezwe
hii itakuwa ni mara ya 50 tokea ITV waionyeshe drama ya iris 1.
dah kama kuna mtu bado hajaifahamu iris 1 hadithi yake basi anapaswa ahudhurie darasa la ras kilomoni wa simba
ITV wameanza kuonyesha karibuni.Kabla ya hapo kuna tamthilia walikuwa wakionyesha inaitwa Destino.Baada ya kwisha ndio wakaanza kuonyesha IRIS.
 
Back
Top Bottom