Tony-stark
JF-Expert Member
- Jul 20, 2019
- 1,020
- 1,326
Cap marvel ilishatoka torrent
Kama September waona mbali sie tunaosubiri Marvel Movies Phase 4 tusemeje?? Mfano
Muvi ambayo inapikwa sasa itakayoanza kutoka ni Black Widow itatoka may 2020. Kwa umaskini wangu mpaka marvel waiachie tuweze kuipakua itakua si chini ya miez 6-7 Hivyo nitasubiri mpaka November au January 2021 ili niweze kuipakua,Otherwise niandae buku 15 niende Am Mall. Ikumbukwe Captain Marvel imetoka Marc ila mpaka Leo haijaachiliwa iweze kupakuliwa Kwenye Torrent. Vumilia miss September sio mbali.