Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

“Arthdal Chronicles” Responds To Questions About How Song Joong Ki’s Divorce Will Affect Programming

“We have already completed filming for ‘Arthdal Chronicles,’ and Part 2 has just begun airing. [The drama] will continue airing according to schedule. There are still two weeks of episodes left for Part 2.”

“We have not yet completely confirmed the broadcast schedule for Part 3,” continued the spokesperson. “However, there will be no changes to the broadcast schedule caused by the leading actor’s personal life.”

Earlier that day, Song Joong Ki announced that he had filed for a divorce from Song Hye Kyo after a year and a half of marriage
View attachment 1139969
Huyu Kijana Alimpenda Sana Yule Ahjumma.

Ahjumma Anaonekana Ana Mambo Mengi.
 
View attachment 1141703View attachment 1141704View attachment 1141703View attachment 1141704View attachment 1141703View attachment 1141704
Hatimaye nimemaliza safari niliyoianza mwishoni mwa mwezi March, Jeong Do-Jeon & Great King Sejong ..
Nimejifunza mengi kwenye Safari hii iliyokuwa na jumla mile( episode) 136.
50 zikiwa za Jeong Do-Jeon na 86 za Sejong the Great.
Bado nawaza tu Vipi kama Sejong the Great angeishi nyakati sawa na Sambong?!, Yote kwa yote Shukuru ziende kwa Taejong maana kiuno chake kilikuwa kimemtunza mtu muhimu sana.
Nimeona mitandao mbalimbali wakiisifu Drama ya Jeong Do-Jeon kuwa ni Drama pekee iliyochezwa kwa miaka ya karibuni ambayo imetawaliwa na uhalisia wa História isemavyo.
Yule mzee aliyecheza kama Lee songgye kanikosha kweli, pia amecheza kwenye Tear of the Dragon, inayoeleza kisa kuanzishwa kwa Joseon mpaka kwa Sejong the Great.
kwenye Great King Sejong aliyenikosha ni Joe manliseng na Cho manli. Hawa walikuwa wapinzani wakubwa wa mfalme Sejong the Great, lakini mwisho wa siku Mfalme aliishinda mioyo yao.
Drama zote zilikuwa na Marafiki walikuwa muunganiko kwenye kazi:
Jeong Do-Jeon Drama -
Urafiki kati ya Yi Songgye na Jeong Do-Jeon ( Sambong) ulikuwa bora sana na walifanikiwa katika kazi na malengo yao. Hao ni marafiki waliokutana ukubwani. Kwangu Urafiki kati ya Mfalme Taejo ( Lee Songgye) na Sambong ( Jeong Do-Jeon), ulikuwa bora kuliko wale marafiki wa utotoni mpaka ukubwani ( Sambong & Jeong Mong-Ju a.k.a Poeun ).

kwenye Great King Sejong drama:-
urafiki kati ya Mfalme Sejong the Great na Jang Yeong sil, hawa wawili waliifanya Joseon Nchi ya Technology na ilipiga sana hatua kimaendeleo na kisayansi.

Main Character wamevaa uhusika kwa %100.
Pongezi kwao na wengine.
wewe naona tupo pamoja maana na mimi napenda drama za historia ya Korea kupitiliza
 
Historical drama nimeshaziona nyingi sana, nilianza na:-
*Legend of the Prince Jumong(2007/08)
*Queen Seondoek ( 2011/12)
*King Gwanggaeto the Great Conqueror(2012)
* Kim Suro(2012)
* The Gybaek(2012)
Hizo ndo Historical drama zangu 5 za awali kabisa.
😀😀 Nakumbuka kipindi hicho nasoma kipaimara.
 
wewe bwege kutoka pyongyang hivi kipaimara ndio wapi?
 
Actress Jeon Mi Sun Passes Away
kwa mujibu wa repoti mwili wake umeonakana akiwa kwenye bathroom ndani ya chumba cha hoteli maeneo ya Jeonju, North Jeolla province.
kwa mujibu wa idara ya uzimaji moto ni kwamba walipokea taarifa nyakati za saa 5:43 usiku kwa saa za korea na hatimaye wakaelekea sehemu husika na walipofika walimuona marehemu akiwa hajitambui na moyo wake haufanyi tena kazi.

mwili wake umepelekwa kituo cha polisi kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi zaidi na inasemekana marehemu amejitoa uhai wake (suicide).

he is psychometric kwa upande wa drama ndio project yake ya mwisho kushiriki.
kama kuna mdau hajawahi kuziona angalau project tatu za huyu mwanamama basi anapaswa aripiti mwaka wa masomo, hatuwezi kuwa na darasa la wanafunzi vilaza wa kuangalia korean drama.

basi hata C tatu zinakushinda kwenye project takribani 30 alizoigiza,ngoja niweke za kwangu mzee wa division 4.
six flying dragons
the moon that embrace the sun
moonlight drawn
chicago type writer
king of baking
emperor wang gun
pumzika kwa amani ahjummaa uliyezaliwa miaka 48 iliopita, nilidhani huu mwaka utamaliza kwa amani kumbe nilikuwa najidanganya.

aminas amonike
Nifah amonike
Khantwe amonike
Prishaz amonike
Numbisa amonike
Great Conqueror pyongyang

steven nyerere amonike
Jeon Mi-Sun

Nitamkumbuka Zaidi Katika SIX FLYING DRAGONS Alipocheza Kama Mama Yao Ddang-Se (Lee Bang-Ji) Na Boon-Yi Ambaye Ilimlazimu Awe Kiongozi Wa Taasisi 'Tata' Ya Moomyung Na Hivyo Kupelekea Kutengana Na Watoto Wake Wazuri. Ni Pigo Kubwa Sana Kwa Familia, Tasnia Ya Burudani Nchini Korea Kusini Pamoja Na Wapenzi Wa Filamu Za Kikorea Duniani Kote. My Deepest Condolences!
 
aminas kuja hapa mara moja kwa amri ya mkuu wa mkoa.
laiti kama ningelikuwa ni muigizaji basi kuna nafasi nisingelikubali kushiriki ikiwemo nafasi aliyocheza mzee song seung hwan ndani ya one spring night drama.

yule mzee ni kichaa sana na kuwa na baba mwenye fikra kama zile ni laana kubwa sana na si kharamu kumtoa uhai wake.
mzee ameamua kuifunga akili yake kwa sababu ya ahadi aliyopewa na baba yake gi seok pindi atakapostaafu kazi yake ya ualimu.

si hivyo tu mtoto wake ameshafanyiwa vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia zaidi ya mara moja na mume wake cha ajabu kwake yeye anachukulia ni jambo la kawaida litakaloweza kutatuliwa kwa kurudisha tena upendo usiokuwepo na si kupeana talaka.

sipendi ninapomuona jung in anamwita gi seok oppa, kuendelea kumpa kwake heshima hiyo kunazidi kumfanya bwana yule awe mwehu haliyakuwa wamesha achana japokuwa jamaa analazimisha mahusiano.

natabiri:
one spring night drama inakwenda kubeba tunzo ya MBC daesang drama awards 2019.
hizi fashion za mwanadada han ji min zinanimaliza, mhhhhhh mwanamke wa kolomijee umletee zawadi ya nguo kama hizi mbona pataruka kivumbi kuliko shuti aliyopiga msenegali ndiatte.
1141854
 
upcoming drama
Designated Survivor: 60 Days
siku: jumatatu na jumanne
Release Date: July 1, 2019 --
kituo :TvN

Nina muda mrefu sana sijafuatilia drama zinaonyeshwa mwanzoni mwa wiki kupitia kituo cha tvn, nakumbuka mara ya mwisho niliangalia 100 days my prince na ilikuwa ni mwaka 2018.

Designated Survivor: 60 Days ni remake series ya kimarekani inayojaribu kuzungumzia hadithi ya aliyekuwa professor wa chemistry ambaye baadae anateuliwa nafasi ya waziri wa mazingira,

ebwana weee huyu fala alikula bonge la zari baada ya kutokea mripuko uliopelekea kifo cha rais wa nchi na warithi wake wanaofuata hivyo basi jamaa akapata nafasi ya kuwa raisi kwa siku 60.

jamani mbona hii hadithi inafanana na hali iliopo kwetu?
si nilisikia jamaaa wa lichadema alisukumiwa uwenyekiti kwa lazima?
si nilisikia siku ya harusi yake alikunywa soda ya fanta na mirinda?
ji jin hee amerudi tena
1141879
 
Actress Jeon Mi Sun Passes Away
kwa mujibu wa repoti mwili wake umeonakana akiwa kwenye bathroom ndani ya chumba cha hoteli maeneo ya Jeonju, North Jeolla province.
kwa mujibu wa idara ya uzimaji moto ni kwamba walipokea taarifa nyakati za saa 5:43 usiku kwa saa za korea na hatimaye wakaelekea sehemu husika na walipofika walimuona marehemu akiwa hajitambui na moyo wake haufanyi tena kazi.

mwili wake umepelekwa kituo cha polisi kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi zaidi na inasemekana marehemu amejitoa uhai wake (suicide).

he is psychometric kwa upande wa drama ndio project yake ya mwisho kushiriki.
kama kuna mdau hajawahi kuziona angalau project tatu za huyu mwanamama basi anapaswa aripiti mwaka wa masomo, hatuwezi kuwa na darasa la wanafunzi vilaza wa kuangalia korean drama.

basi hata C tatu zinakushinda kwenye project takribani 30 alizoigiza,ngoja niweke za kwangu mzee wa division 4.
six flying dragons
the moon that embrace the sun
moonlight drawn
chicago type writer
king of baking
emperor wang gun
pumzika kwa amani ahjummaa uliyezaliwa miaka 48 iliopita, nilidhani huu mwaka utamaliza kwa amani kumbe nilikuwa najidanganya.

aminas amonike
Nifah amonike
Khantwe amonike
Prishaz amonike
Numbisa amonike
Great Conqueror pyongyang

steven nyerere amonike
Zote nimeziona ila Kuna baadhi sikumbuki uhusika wake.
 
teh teh teh
bwana Great Conqueror amegeuka nyani, alipokuletea chuma chenye episode 92 alichukulia ni jambo la kawaida sana.

cha ajabu baada ya kumletea assignment za kitemi zenye episode 130 hadi 200 ameamua kwenda kwa mkuu wa cairo kupeleka malalamiko ya kijinga wakati nilikwisha mwambia hizi assignment nilizozituma is not compulsory.

lakini tu asije akageuka punda yule wa bwana juha aliyerudi kwenye mtihani huku akiwa hajafanya suali lolote.
hizi assignment nilizomtumia atazikuta kwenye mtihani na kila swali litakuwa na alama 20.
akifanya masihara yake atapata carry ya kubebea mizigo.​
Huo ukatili una mwisho wake.

Nataka niendelee na Deep root je story yake inaukweli?! Au imefiksiwa!.
 
dah wakorea wameshaniathiri maisha yao nifanye utaratibu wa kuepukana na hili jinamizi.
nilisema nafsini mwangu huyu mama itakuwa anasumbuliwa na depression.
inaonekana korea ni sehemu ngumu sana kuishi.
inaonekana korea ni sehemu ngumu sana kuwa celebrities.
serikali ya korea wasipokuwa makini raia wote watajitoa uhai kwa msongo wa mawazo, na watakapofanya hivyo mimi fala kutoka kolomijee nitapata nafasi ya kutimiza ndoto yangu ya kuishi maeneo ya busan na jeju.

Update: Jeon Mi Sun’s Agency Releases Official Statement Regarding Her Passing
Boas Entertainment has released an official statement regarding the passing of actress Jeon Mi Sun.
Their statement reads as follows:

Hello, this is Jeon Mi Sun’s agency Boas Entertainment.

We come with bad news. Actress Jeon Mi Sun has passed away at the age of 50 (by Korean reckoning).

She has been receiving treatment for depression. However, we are here with sad news today. We ask for your condolences, and we ask the media to refrain from reporting on unconfirmed rumors and speculations out of respect for her family, who are in shock and grief-stricken.

We will share more information once plans for her funeral parlor are set.
South Koreans wanaishi maisha ya kiushindani na kiupinzani kupita kiasi: Elimu, Ajira pamoja na maswala mengine mbalimbali ya kijamii. Katika mazingira kama hayo, ili uwe na mafanikio ya kuridhisha na kufanikisha maisha yako, inakubidi na wewe uwe ngangari kwelikweli la sivyo ukibaki nyuma, msongo ya mawazo utaanza kukuandama.
 
aminas kuja hapa mara moja kwa amri ya mkuu wa mkoa.
laiti kama ningelikuwa ni muigizaji basi kuna nafasi nisingelikubali kushiriki ikiwemo nafasi aliyocheza mzee song seung hwan ndani ya one spring night drama.

yule mzee ni kichaa sana na kuwa na baba mwenye fikra kama zile ni laana kubwa sana na si kharamu kumtoa uhai wake.
mzee ameamua kuifunga akili yake kwa sababu ya ahadi aliyopewa na baba yake gi seok pindi atakapostaafu kazi yake ya ualimu.

si hivyo tu mtoto wake ameshafanyiwa vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia zaidi ya mara moja na mume wake cha ajabu kwake yeye anachukulia ni jambo la kawaida litakaloweza kutatuliwa kwa kurudisha tena upendo usiokuwepo na si kupeana talaka.

sipendi ninapomuona jung in anamwita gi seok oppa, kuendelea kumpa kwake heshima hiyo kunazidi kumfanya bwana yule awe mwehu haliyakuwa wamesha achana japokuwa jamaa analazimisha mahusiano.

natabiri:
one spring night drama inakwenda kubeba tunzo ya MBC daesang drama awards 2019.
hizi fashion za mwanadada han ji min zinanimaliza, mhhhhhh mwanamke wa kolomijee umletee zawadi ya nguo kama hizi mbona pataruka kivumbi kuliko shuti aliyopiga msenegali ndiatte.
Mi Ukinipa Izo Navaa! Sema Hio ya Chini Ndo Itakua Na Ugumu..

Yule Babu ni Ndezii Wa Kiwango Cha Chini Sana, Kiboko Yake Ni Ji Min Tu Ndo Anaemueza Kwa Watoto Wake!..

Ila Gi Seok Ni Ndezi Nae Ila Wa Kiwango Cha Kati! Maana
 
dakika 3 zilizopita nimeikuta soompi:

Channel A Reports Details Of Song Joong Ki And Song Hye Kyo’s Divorce

According to Channel A, Song Joong Ki filed for divorce without notifying Song Hye Kyo.

The report stated that Song Joong Ki submitted the divorce settlement to the Seoul Family Court on June 26 and informed Song Hye Kyo of the matter through a public press release delivered by his legal representative on July 27.

Song Joong Ki reportedly chose to file for divorce (after the two mutually agreed to get a divorce) in order to conclude the divorce process in a smooth and swift manner.

A source from Song Joong Ki’s side stated, “[Song Joong’s decision] was intended to warn Song Hye Kyo that he can reveal everything if she spreads lies about their marriage or the reason for their divorce.”

Channel A also revealed that Song Joong Ki is considering completing the divorce process in a speedy manner without asking Song Hye Kyo for alimony.

The Seoul Family Court is expected to begin the divorce mediation procedure for Song Joong Ki and Song Hye Kyo in about a month, and the divorce process is expected to be completed in August, given that there are no disagreements from the couple.

jamani ahjummaaa amechepuka?
jamani ahjumma hana nguvu za kike?
jamani ahjumma bado anampenda hyun bin na lee byung hun?
jamani ahjumma vipiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
au aliyekimbilia mahakamani ndio mwenye makosa?

View attachment 1141891
Bidada Nahisi Mambo Mengi!
 
49 Reactions
Reply
Back
Top Bottom