Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

jamani nilikuwa nje ya ulimwengu wa korean entertainment kwa takribani siku nne, nilipoingia soompi muda huu nimekutana na habari zinazoendelea kutrend tokea jana.

sijui hata nimlaumu nani

Breaking: Song Joong Ki Files For Divorce From Song Hye Kyo
Song Joong Ki has officially filed for divorce from Song Hye Kyo.
On June 27, Song Joong Ki’s attorney Park Jae Hyun officially announced, “Our law firm filed for divorce on behalf of Song Joong Ki at the Seoul Family Court on June 26. Additionally, we would like to convey Song Joong Ki’s official statement.”
In his statement, Song Joong Ki apologized to his fans and explained that he hoped for an amicable divorce.

The actor’s full statement is as follows:

hii habari inawahusu wadau wote wa korean drama haijalishi wamekuwa bize humu ndani kwa sababu ya majukumu.
aminas
Nifah
Khantwe
Prishaz
talnam
scalethat
Numbisa
Great Conqueror

View attachment 1139959
Aiseee, what is this?
 
Song Hye K
yo Explains Reasons For Divorce From Song Joong Ki In New Statement

Song Hye Kyo
’s agency United Artists Agency (UAA) Korea responded to the news on behalf of the actress.
A representative of the agency stated, “We find it unfortunate that we are greeting you with unhappy news. After careful consideration, actress Song Hye Kyo and her husband are taking the first steps toward divorce.”
“The reason [for the divorce] is differences in personality,” continued the agency, “and because the two were unable to overcome their differences, they were forced to come to this decision. We respectfully ask for your understanding in regards to the fact that we cannot confirm any further details out of respect for the two actors’ personal lives. Additionally, we urge you to refrain from making scandalous posts and speculative comments.”
View attachment 1139963
Ila huyu mjamaa anajisikia kichiz hasa akiigiza movie ya mapenzi.
 
My favourite actor
Ji Chang Wook
Ameigiza drama nyingi na nzuri mno za genre tofauti tofauti
Drama
Empress Ki
Worrior Baek Dong Su
Whirlind girl 2
The k2
Suspicious Patner
Ipi drama unayoikubali mimi ni The k2 na Suspicious partner
Tupo pamoja mkuu nami namkubali sana 지창욱(Ji chang uk)

Drama ni Healer na The K2,na movie ni Fabricated city.
 
jamani nilikuwa nje ya ulimwengu wa korean entertainment kwa takribani siku nne, nilipoingia soompi muda huu nimekutana na habari zinazoendelea kutrend tokea jana.

sijui hata nimlaumu nani

Breaking: Song Joong Ki Files For Divorce From Song Hye Kyo
Song Joong Ki has officially filed for divorce from Song Hye Kyo.
On June 27, Song Joong Ki’s attorney Park Jae Hyun officially announced, “Our law firm filed for divorce on behalf of Song Joong Ki at the Seoul Family Court on June 26. Additionally, we would like to convey Song Joong Ki’s official statement.”
In his statement, Song Joong Ki apologized to his fans and explained that he hoped for an amicable divorce.

The actor’s full statement is as follows:

hii habari inawahusu wadau wote wa korean drama haijalishi wamekuwa bize humu ndani kwa sababu ya majukumu.
aminas
Nifah
Khantwe
Prishaz
talnam
scalethat
Numbisa
Great Conqueror

View attachment 1139959

Huhuuuuuu Alhamdulillah jamani wameachana. Hii ndoa sikuipenda kabisa
Finally our very own Oppa is available
 
images.jpeg
sejong-kbs.jpg
images.jpeg
sejong-kbs.jpg
images.jpeg sejong-kbs.jpg
Hatimaye nimemaliza safari niliyoianza mwishoni mwa mwezi March, Jeong Do-Jeon & Great King Sejong ..
Nimejifunza mengi kwenye Safari hii iliyokuwa na jumla mile( episode) 136.
50 zikiwa za Jeong Do-Jeon na 86 za Sejong the Great.
Bado nawaza tu Vipi kama Sejong the Great angeishi nyakati sawa na Sambong?!, Yote kwa yote Shukuru ziende kwa Taejong maana kiuno chake kilikuwa kimemtunza mtu muhimu sana.
Nimeona mitandao mbalimbali wakiisifu Drama ya Jeong Do-Jeon kuwa ni Drama pekee iliyochezwa kwa miaka ya karibuni ambayo imetawaliwa na uhalisia wa História isemavyo.
Yule mzee aliyecheza kama Lee songgye kanikosha kweli, pia amecheza kwenye Tear of the Dragon, inayoeleza kisa kuanzishwa kwa Joseon mpaka kwa Sejong the Great.
kwenye Great King Sejong aliyenikosha ni Joe manliseng na Cho manli. Hawa walikuwa wapinzani wakubwa wa mfalme Sejong the Great, lakini mwisho wa siku Mfalme aliishinda mioyo yao.
Drama zote zilikuwa na Marafiki walikuwa muunganiko kwenye kazi:
Jeong Do-Jeon Drama -
Urafiki kati ya Yi Songgye na Jeong Do-Jeon ( Sambong) ulikuwa bora sana na walifanikiwa katika kazi na malengo yao. 👈Hao ni marafiki waliokutana ukubwani. Kwangu Urafiki kati ya Mfalme Taejo ( Lee Songgye) na Sambong ( Jeong Do-Jeon), ulikuwa bora kuliko wale marafiki wa utotoni mpaka ukubwani ( Sambong & Jeong Mong-Ju a.k.a Poeun ).

kwenye Great King Sejong drama:-
urafiki kati ya Mfalme Sejong the Great na Jang Yeong sil, hawa wawili waliifanya Joseon Nchi ya Technology na ilipiga sana hatua kimaendeleo na kisayansi.

Main Character wamevaa uhusika kwa %100.
Pongezi kwao na wengine.
 
Actress Jeon Mi Sun Passes Away
kwa mujibu wa repoti mwili wake umeonakana akiwa kwenye bathroom ndani ya chumba cha hoteli maeneo ya Jeonju, North Jeolla province.
kwa mujibu wa idara ya uzimaji moto ni kwamba walipokea taarifa nyakati za saa 5:43 usiku kwa saa za korea na hatimaye wakaelekea sehemu husika na walipofika walimuona marehemu akiwa hajitambui na moyo wake haufanyi tena kazi.

mwili wake umepelekwa kituo cha polisi kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi zaidi na inasemekana marehemu amejitoa uhai wake (suicide).

he is psychometric kwa upande wa drama ndio project yake ya mwisho kushiriki.
kama kuna mdau hajawahi kuziona angalau project tatu za huyu mwanamama basi anapaswa aripiti mwaka wa masomo, hatuwezi kuwa na darasa la wanafunzi vilaza wa kuangalia korean drama.

basi hata C tatu zinakushinda kwenye project takribani 30 alizoigiza,ngoja niweke za kwangu mzee wa division 4.
six flying dragons
the moon that embrace the sun
moonlight drawn
chicago type writer
king of baking
emperor wang gun
pumzika kwa amani ahjummaa uliyezaliwa miaka 48 iliopita, nilidhani huu mwaka utamaliza kwa amani kumbe nilikuwa najidanganya.
1141708

aminas amonike
Nifah amonike
Khantwe amonike
Prishaz amonike
Numbisa amonike
Great Conqueror pyongyang

steven nyerere amonike
 
Ulizotaja hapo ni 2 tu ambazo nimeziona, najua unazijua.
Daah! Haya mambo ya kujiua sio kabisa.
 
Afadhali nimepata C tatu kupitia The Moon that embrace the sun. Hii drama niliicheki mwaka 2016 nakumbuka iliniliza sana... Ila siukumbuki uhusika wake kule kusema ukweli.

Haijajulikana sababu iliyopelekea yeye kuamua kujitoa roho? Na alitumia njia gani? Alijiova dose madawa ya kulevya au? Nimejikuta najiuliza maswali mengi...
Apumzike kwa amani
 
Screenshot_2019-06-29-09-27-27.png

Kwa bahati mbaya sikumbuki uhusika wake kwenye six Flying Dragon.
Emperor wang ndo kwanza nipo sehemu ya 6/200
 
View attachment 1141740

Kwa bahati mbaya sikumbuki uhusika wake kwenye six Flying Dragon.
Emperor wang ndo kwanza nipo sehemu ya 6/200

Mwenzenu nimechukua likizo ya haya mambo yetu tokea May mwanzoni, nimehamia kwenye games
Ndio maana nashindwa kuukumbuka uhusika wake kwa urahisi... nikirudi nina viporo vingi nikimaliza nitakucheki unipe list mpya.
 
Magemu nayo ni ugonjwa, bahati nzuri nimepona sasa hivi.
List zipo za roho mbaya, ambazo Daemushin alinipa kuanzia Episode 150-200 zipo kama 3
Upo!,😀😀
Assignment zingine ni kukomoana tu.
 
Upo!,
Assignment zingine ni kukomoana tu.

Sasa utanifanya nichelewe kurudi namna hii
Wewe wakati uliponipa ya King Gwanggaeto ulidhani Mungu hakukuona? Malipo ni hapahapa JF
Sio kwa episode hizo
Inabidi uwe committed kabisa
 
So sad. Moja kati ya my favourite ahjumma. Anajua kuigiza uhusika. Jamani sijui nini kilimpata mpaka kufikia maamuzi makubwa hivyo.

Rest In Peace Ahjummaa
Actress Jeon Mi Sun Passes Away
kwa mujibu wa repoti mwili wake umeonakana akiwa kwenye bathroom ndani ya chumba cha hoteli maeneo ya Jeonju, North Jeolla province.
kwa mujibu wa idara ya uzimaji moto ni kwamba walipokea taarifa nyakati za saa 5:43 usiku kwa saa za korea na hatimaye wakaelekea sehemu husika na walipofika walimuona marehemu akiwa hajitambui na moyo wake haufanyi tena kazi.

mwili wake umepelekwa kituo cha polisi kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi zaidi na inasemekana marehemu amejitoa uhai wake (suicide).

he is psychometric kwa upande wa drama ndio project yake ya mwisho kushiriki.
kama kuna mdau hajawahi kuziona angalau project tatu za huyu mwanamama basi anapaswa aripiti mwaka wa masomo, hatuwezi kuwa na darasa la wanafunzi vilaza wa kuangalia korean drama.

basi hata C tatu zinakushinda kwenye project takribani 30 alizoigiza,ngoja niweke za kwangu mzee wa division 4.
six flying dragons
the moon that embrace the sun
moonlight drawn
chicago type writer
king of baking
emperor wang gun
pumzika kwa amani ahjummaa uliyezaliwa miaka 48 iliopita, nilidhani huu mwaka utamaliza kwa amani kumbe nilikuwa najidanganya.

aminas amonike
Nifah amonike
Khantwe amonike
Prishaz amonike
Numbisa amonike
Great Conqueror pyongyang

steven nyerere amonike
 
Actress Jeon Mi Sun Passes Away
kwa mujibu wa repoti mwili wake umeonakana akiwa kwenye bathroom ndani ya chumba cha hoteli maeneo ya Jeonju, North Jeolla province.
kwa mujibu wa idara ya uzimaji moto ni kwamba walipokea taarifa nyakati za saa 5:43 usiku kwa saa za korea na hatimaye wakaelekea sehemu husika na walipofika walimuona marehemu akiwa hajitambui na moyo wake haufanyi tena kazi.

mwili wake umepelekwa kituo cha polisi kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi zaidi na inasemekana marehemu amejitoa uhai wake (suicide).

he is psychometric kwa upande wa drama ndio project yake ya mwisho kushiriki.
kama kuna mdau hajawahi kuziona angalau project tatu za huyu mwanamama basi anapaswa aripiti mwaka wa masomo, hatuwezi kuwa na darasa la wanafunzi vilaza wa kuangalia korean drama.

basi hata C tatu zinakushinda kwenye project takribani 30 alizoigiza,ngoja niweke za kwangu mzee wa division 4.
six flying dragons
the moon that embrace the sun
moonlight drawn
chicago type writer
king of baking
emperor wang gun
pumzika kwa amani ahjummaa uliyezaliwa miaka 48 iliopita, nilidhani huu mwaka utamaliza kwa amani kumbe nilikuwa najidanganya.

aminas amonike
Nifah amonike
Khantwe amonike
Prishaz amonike
Numbisa amonike
Great Conqueror pyongyang

steven nyerere amonike
Vifo Vya Wasanii Wa Korea Dooh!
 
jamani nilikuwa nje ya ulimwengu wa korean entertainment kwa takribani siku nne, nilipoingia soompi muda huu nimekutana na habari zinazoendelea kutrend tokea jana.

sijui hata nimlaumu nani

Breaking: Song Joong Ki Files For Divorce From Song Hye Kyo
Song Joong Ki has officially filed for divorce from Song Hye Kyo.
On June 27, Song Joong Ki’s attorney Park Jae Hyun officially announced, “Our law firm filed for divorce on behalf of Song Joong Ki at the Seoul Family Court on June 26. Additionally, we would like to convey Song Joong Ki’s official statement.”
In his statement, Song Joong Ki apologized to his fans and explained that he hoped for an amicable divorce.

The actor’s full statement is as follows:

hii habari inawahusu wadau wote wa korean drama haijalishi wamekuwa bize humu ndani kwa sababu ya majukumu.
aminas
Nifah
Khantwe
Prishaz
talnam
scalethat
Numbisa
Great Conqueror

View attachment 1139959
Nakujibu Leo Baaada Ya Maumivu Kupoa!

Mahusiano Hayatabiriki! Mahusiano Yanhitaji Kujitoa Sana, Mahusiano yanahitaji Ya Mmoja Wenu Kua Chini Bila Kujari Ni Nani Nje Ya Mahusiano Hayo, Mahusiano Yanhitaji Uvumilivu Wa Hali Ya Juu Sana.

Sijui Kimewakuta Kipi! Walikua na Furaha Siku ya Harusi Yao! Yaani!

Hili Ni Zaidi Ya Somo Kwangu!

Pole Zao..
 
Back
Top Bottom