Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hahaha kwa kiduku nasikia hata maigizo hayaruhusiwi.celebrity na star ni yeye peke ake.
Juzi katika kusoma soma kuna sehemu nilikuta eti ukikamatwa unaangalia tamthilia za mataifa mengne kifo kinakuhusu.sijui ni kweli ama anachafuliwa tu
Umagharibi ndiyo sumu kwao, lakini mambo mengine toka Asia hasa Asia ya mashariki wanafuatilia sababu wote wale(East Asian People) jamii zao zimeshapiwa na mafunzo ya U- Confucianism. Hayo mengine ni Ukweli uliochanganywa na Uongo mwingi.
 
Habari wakuu naomba msaada wa list za Drama zenye maadhi ya thriller,law,crime and action napenda Drama za aina hiyo mfano criminal minds,innocent deffendant ,iris 2 n.k ambazo huwa zinatumika akili nyingi na kiintelligensia ila kwa bahati mbaya si mtaalamu sana wa kujua source ipj naweza nikawa napata updates ya hizi vitu hivo basi naamini kuna manguli wanaweza nipa msaada humu.Ahsanteh

aminas
Daemusin

Na wengineo🙏
 
  1. voice drama season 1
  2. voice drama season 2
  3. voice drama season 3 (inaendelea)
  4. the fiery priest drama
  5. signal drama
  6. secret forest drama
  7. tunnel drama
  8. kill it drama
  9. bad guys drama
  10. bad guys vile city drama
  11. black drama
  12. save me drama season 1
  13. save me drama season 2
  14. partner for justice season 1 drama
  15. partner for justice season 2 drama (inaendelea)
  16. life on mars drama
  17. the player drama
  18. priest drama
  19. duel drama
  20. cheo yong: the paranormal detective drama
unywaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako, ila usisahau serikali inawapenda sana wanywaji ndio maana mwaka huu wameamua kuwaongezea kodi wale wanaosababisha wanaume wapunguze kunywa (wapenda nywele bandia).
 
Bogoshipseyo Gi-Seok

Baba Yake Kaniumizaa Yaani
 
😂😂Dah Blessed sana Boss wangu 🙏
 
Yaani hapa sijaangalia hata moja
 
Bogoshipseyo Gi-Seok

Baba Yake Kaniumizaa Yaani
one spring night drama:
Mungu ametupa uwezo wa kuweza kutambua hisia tulizonazo na hata zile hisia za wenzetu wanazokumbana nazo kila siku, kadiri ninapoiangalia hii drama mawazo mengi hunijia kichwani mwangu (mawazo hasi na chanya).

hisia za kimapenzi zimebeba maajabu makubwa sana, unaweza kuwa na uhusiano wa muda mrefu na mwenza wako lakini akashindwa kukupa furaha ndani ya nafsi yako na ukamuona si chochote kwako, ajabu zaidi kwa muda mchache unaweza kuanzisha urafiki na mr/ mrs x lakini akakufanya uwe na amani ya nafsi ulioikosa kwa bwana/ bibi yule kwa muda mfupi muliofahamiana.

sitoshangaa tena kuwaona wadau humu ndani wanaanzisha mahusiano ya kimapenzi japokuwa wanafahamiana kwa njia ya keyboard, hisia za mapenzi ni zaidi ya biashara ya utumwa (zinapumbaza na kulemaza)
namuonea huruma sana bwana gi seok.
daemusin na han ji min ni marafiki kuanzia leo, utakapomuona daemusin ndio umemuona han ji min.
wanaojipendekeza kwa daemusin/han ji min wakome na wachakae.
nataka niachane na imani ya buddha kumbe mapenzi yana raha na utamu kuliko pilau la iddi
1129011
 
View attachment 1129011
Umu ndani kiukweli Kuna Madini Flani Ivyi Yamejificha Kwenye Hisia Za Mahusiano

Hujuti Kuiangalia Hii Drama Iko Kiclasic Zaidii

Ila Naona Gi-Seok Hataki Kukubali..

Mimi Apa Nitaingilia 🤗
 
uingilie ili iweje?
sijaelewa ahjummaaa
unataka kumtoroshea ndege wake bwana pharmacia

au unataka kunitoroshea my ndege han ji min
 
Back
Top Bottom