Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Daemusin : ttok ttok nugu eopso = Knock knock anyone there?
aminas : Knock knock i'm here, knock knock right there.

kuna yoyote aliye tayari kunishikilia (kuwa pamoja nami)
nahitaji kuwa na mtu, nahitaji kuondoa upweke
kila ninapoangazia kila pande za jf,
sioni mtu wote wamekimbia amebakia great conquer
nashindwa kuvumilia, tafadhali rudi (njoo) kwangu
sihitaji tena kuwa mpweke
kiukweli hata sifahamu mjinga wewe umekwenda wapi
idon't care about shit

where are you chingu?
ndio nini kwenda likizo bila ya kunipa taarifa ahjummaaa au nimegeuka maua ya msituni (wild flower)?

nimekuwa lonely kwa takribani wiki tatu lakini ok baada ya miaka mitatu my crown princess lee hi amekuja kuniondolea upweke siku ya leo.

Bogoshpseyo Zaidi Chingu!

Sorry Sijaaga! Mambo tu Yamekua Mengi!

Ila Nipo Nipo Nimekua Mpenzi Msomaji tu Siku Hizi!

Ila Pia Vitu Ivyi Vimenipa Ubizee

Abyss
One Spring Night
secret Of My Secretary

Izo ni Bidhaa Bora Sana Kwangu Kwa Wakati Huu.. Karibia
 
Daemusin : ttok ttok nugu eopso = Knock knock anyone there?
aminas : Knock knock i'm here, knock knock right there.

kuna yoyote aliye tayari kunishikilia (kuwa pamoja nami)
nahitaji kuwa na mtu, nahitaji kuondoa upweke
kila ninapoangazia kila pande za jf,
sioni mtu wote wamekimbia amebakia great conquer
nashindwa kuvumilia, tafadhali rudi (njoo) kwangu
sihitaji tena kuwa mpweke
kiukweli hata sifahamu mjinga wewe umekwenda wapi
idon't care about shit

where are you chingu?
ndio nini kwenda likizo bila ya kunipa taarifa ahjummaaa au nimegeuka maua ya msituni (wild flower)?

nimekuwa lonely kwa takribani wiki tatu lakini ok baada ya miaka mitatu my crown princess lee hi amekuja kuniondolea upweke siku ya leo.

daa! Mwenyewe huwa nakuwa mnyonge kweli yani.
jamani mbona mnaikimbia dynasty yenu?!
 
Havari zenu waungwana nipo na "DOCTOR PRISONER" inanifanya nikeshe asee maana hali si hali.....
Samahani Daemusin kuacha hii waweza nipa top 5 ya best dramas za mwaka huu? Ili niendelee kuziangalia nikiisubiri "THE ETERNAL MORNACH"
 
Daemusin : ttok ttok nugu eopso = Knock knock anyone there?
aminas : Knock knock i'm here, knock knock right there.

kuna yoyote aliye tayari kunishikilia (kuwa pamoja nami)
nahitaji kuwa na mtu, nahitaji kuondoa upweke
kila ninapoangazia kila pande za jf,
sioni mtu wote wamekimbia amebakia great conquer
nashindwa kuvumilia, tafadhali rudi (njoo) kwangu
sihitaji tena kuwa mpweke
kiukweli hata sifahamu mjinga wewe umekwenda wapi
idon't care about shit

where are you chingu?
ndio nini kwenda likizo bila ya kunipa taarifa ahjummaaa au nimegeuka maua ya msituni (wild flower)?

nimekuwa lonely kwa takribani wiki tatu lakini ok baada ya miaka mitatu my crown princess lee hi amekuja kuniondolea upweke siku ya leo.

Za siku mingi mkuu
Aiseeee nina hali tete sijui nianzie wapi niishie wapi,nna mda sijaangalia series na Nina kiu ya hatar .naomba mwongozo wa best top 5 series za mwaka huu au kuanzia mwaka Jana mwshoni niisuuze nafsi
 
Umu Ndanii Lol!

Daemusin Ushabadirisha Jina!?

Njoo Kwanza Tuongeee Izi Drama Zinazoendelea Sa Ivi Maana Nimerudi Kwenye Ule Ulevi Unaoupigaga Vita.

Nipo Na

1.One Spring Night - Bonge La Drama Stori Moja Ivi Tamuuu (Uhalisia Wa Maisha Ya Mahusiano Kwa Wakati Huu)

2.Angel’s Last Mission- Hii Nayo Ni Cheche

3.The Secrete Life of My Secretary - Hii Ni Zaidi Ya Cheche

4.Abyss. nzuri

5.My Absolutely Boyfriend- Robotiii Flani Ivi Ya Kushangaza

Hiii ndo List Kwa Wakati Huu
 
Za siku mingi mkuu
Aiseeee nina hali tete sijui nianzie wapi niishie wapi,nna mda sijaangalia series na Nina kiu ya hatar .naomba mwongozo wa best top 5 series za mwaka huu au kuanzia mwaka Jana mwshoni niisuuze nafsi

Havari zenu waungwana nipo na "DOCTOR PRISONER" inanifanya nikeshe asee maana hali si hali.....
Samahani Daemusin kuacha hii waweza nipa top 5 ya best dramas za mwaka huu? Ili niendelee kuziangalia nikiisubiri "THE ETERNAL MORNACH"

Great Conqueror tafadhali kuja hapa mara moja my rafiki, hivi ile barua yangu niliyoiwasilisha kwako ya kuchukua likizo ya muda usiojulikana kuanzia mwezi JUNE ndani ya hii thread umeisambaza kwa wanachama wa hiki kijiwe na kama hujaisambaza labda ulidhani nipo kwenye utani?

gwenchanah gwenchanah nitachukulia kama umesahau ombi langu mwenyekiti mpya wa hiki kijiwe kwa upande wa jinsia ya meeee.

my dongsaeng chuma96 ukweli ni kwamba mwaka 2019 nimejiwekea malengo ya kupunguza kuangalia korean drama kwa takribani 45% ukilinganisha na mwaka uliopita, hivyo basi unaponiambia nikuwekee list ya top 5 korean drama zilizofanya vizuri za mwaka huu utakuwa umenipa adhabu nzito sana, kwa drama zilizokuwa compeleted mpaka muda huu nimeangalia sita tu.

drama sita bora za kwangu mimi ambazo ndio nimeziangalia kwa mwaka huu ni hizi hapa:-
  1. doctor prisoner drama
  2. the fiery priest drama
  3. touch your heart drama
  4. romance is a bonus book drama
  5. haechi drama
  6. the banker drama
her private life drama sikubahatika kuiangalia lakini majorities ya walioiangalia wameisifia sana hususani love chemistry kati ya park min young noona pamoja na kim jae wook sunbaenim.

1121993

================================================================================================

scalethat noona hujaniambia wewe ni mpenzi wa drama za aina gani na nimeshasahau ladha uzipendazo. lakini jaribu kuchagua kati ya drama zifuatazo kwa kusoma kwanza drama details:-
  1. money flower drama + bad papa drama = kwa heshima ya bae wako jang hyuk
  2. secret forest (best drama kwa mwaka 2017) = criminal, law, investigation
  3. because this is my first life (best drama kwa mwaka 2017)
  4. signal (best drama kwa mwaka 2015) = criminal, investigation, time travel
  5. tunnel drama = criminal, investigation, time travel
  6. my mister (best drama kwa mwaka 2018)
  7. mr sunshine (best drama kwa mwaka 2018)
  8. incomplete life drama or misaeng drama (best drama kwa mwaka 2014) = inanihusu kwenye maisha ninayoishi
  9. replay 1988 (best drama kwa mwaka 2016)
  10. misty drama
  11. sky castle (best drama kwa mwaka 2018)
  12. whats wrong with secretary kim drama
  13. prison playbook drama
  14. encounter drama
  15. lawless lawyer drama
  16. life on mars = criminal, investigation, time travel
  17. hwayugi
  18. the last empress drama
  19. the smile has left your eyes drama
  20. come and hug me drama
95% ya list ya hapo juu ni drama zilizoonyeshwa na cable tv, nimepunguza sana kufuatilia drama zinazoonyeshwa na public broadcasting kama SBS, KBS na MBC
1121991
 
Great Conqueror tafadhali kuja hapa mara moja my rafiki, hivi ile barua yangu niliyoiwasilisha kwako ya kuchukua likizo ya muda usiojulikana kuanzia mwezi JUNE ndani ya hii thread umeisambaza kwa wanachama wa hiki kijiwe na kama hujaisambaza labda ulidhani nipo kwenye utani?

gwenchanah gwenchanah nitachukulia kama umesahau ombi langu mwenyekiti mpya wa hiki kijiwe kwa upande wa jinsia ya meeee.

my dongsaeng chuma96 ukweli ni kwamba mwaka 2019 nimejiwekea malengo ya kupunguza kuangalia korean drama kwa takribani 45% ukilinganisha na mwaka uliopita, hivyo basi unaponiambia nikuwekee list ya top 5 korean drama zilizofanya vizuri za mwaka huu utakuwa umenipa adhabu nzito sana, kwa drama zilizokuwa compeleted mpaka muda huu nimeangalia sita tu.

drama sita bora za kwangu mimi ambazo ndio nimeziangalia kwa mwaka huu ni hizi hapa:-
  1. doctor prisoner drama
  2. the fiery priest drama
  3. touch your heart drama
  4. romance is a bonus book drama
  5. haechi drama
  6. the banker drama
her private life drama sikubahatika kuiangalia lakini majorities ya walioiangalia wameisifia sana hususani love chemistry kati ya park min young noona pamoja na kim jae wook sunbaenim.
==================================================================================================

scalethat noona hujaniambia wewe ni mpenzi wa drama za aina gani kwa sababu nimeshasahau ladha uzipendazo. lakini jaribu kuchagua kati ya drama zifuatazo kwa kusoma kwanza drama details:-
  1. money flower drama + bad papa drama = kwa heshima ya bae wako jang hyuk
  2. secret forest (best drama kwa mwaka 2017) = criminal, law, investigation
  3. because this is my first life (best drama kwa mwaka 2017)
  4. signal (best drama kwa mwaka 2015) = criminal, investigation, time travel
  5. tunnel drama = criminal, investigation, time travel
  6. my mister (best drama kwa mwaka 2018)
  7. mr sunshine (best drama kwa mwaka 2018)
  8. incomplete life drama or misaeng drama (best drama kwa mwaka 2014) = inanihusu kwenye maisha ninayoishi
  9. replay 1988 (best drama kwa mwaka 2016)
  10. misty drama
  11. sky castle (best drama kwa mwaka 2018)
  12. whats wrong with secretary kim drama
  13. prison playbook drama
  14. encounter drama
  15. lawless lawyer drama
  16. life on mars = criminal, investigation, time travel
  17. hwayugi
  18. the last empress drama
  19. the smile has left your eyes drama
  20. come and hug me drama
View attachment 1121991
Hata kama nitakuwa mfalme mpya wa Hii Nchi lakini Serikali yake ni Constitutional Monarchy Waziri mkuu bado ana nguvu kuliko mfalme😂😂.
Wape taarifa waje huku.
 
Umu Ndanii Lol!

Daemusin Ushabadirisha Jina!?

Njoo Kwanza Tuongeee Izi Drama Zinazoendelea Sa Ivi Maana Nimerudi Kwenye Ule Ulevi Unaoupigaga Vita.

Nipo Na

1.One Spring Night - Bonge La Drama Stori Moja Ivi Tamuuu (Uhalisia Wa Maisha Ya Mahusiano Kwa Wakati Huu)

2.Angel’s Last Mission- Hii Nayo Ni Cheche

3.The Secret Life of My Secretary - Hii Ni Zaidi Ya Cheche

4.Abyss. nzuri

5.My Absolutely Boyfriend- Robotiii Flani Ivi Ya Kushangaza

Hiii ndo List Kwa Wakati Huu
nimekuja kwa ajili yako chingu japo kwa siku mbili (leo na kesho), umekuwa ni mshirika mkubwa kwangu ndani ya hii thread kwa miaka miwili mfululizo, bila ya comment yako ambayo nimeipuuzia tokea jana nisingeliwajibu hao wahuni uchwara wa bodi ya mapato hapo juu :D :D.

hongera kwa ubingwa wa bara la ulaya, ubingwa wa Tanzania na pia nikupe hongera kwa kuwasaidia watani zako wa jadi yanga wapate nafasi ya kucheza ligi ya mabingwa msimu ujao, rafiki wa kweli ni yule aliye tayari kumsaidia mwenzake pindi anapokuwa na matatizo, simba mumethubutu kufanya hivyo.
hongereni sana.​

  1. angels last mission drama: nimeipenda sana nimejikuta natamani niwe malaika muda huu, maisha ya ubinadamu yameshanichosha.​
  2. one spring night drama: hadithi yake inakwenda taratibu sanaaa lakini ipo vizuri, kila mmoja anaogopa mahusiano mapya ya kimapenzi, cha kushangaza wote wawili wameshaelezana siri za maisha yao wanayoyapitia na walioyapitia.​
  3. the nokdo flower drama: historical drama ya ukweli bado naendelea nayo, general Jeon Bongju alikuwa ni great thinker wa ukweli tuache utani kwa hii mikakati yake. dah jamaa maisha yake yaliishia mikononi mwa wajapani. cha ajabu Korea bado imeendelea kuwa ni nchi dhaifu sana licha ya kupata kwao uhuru.wakorea walikuwa dhaifu sana jambo lililopelekea nchi za kigeni ziigeuze ardhi ya korea kuwa ni uwanja wa kujaribu nguvu zao, kwa wapenzi wa historical drama hiki chuma kinawahusu imeshafika episode ya 14.​
  4. arthdal chronicles: wanasema wakorea wameiba idea nzima ya games of throne series, sifahamu kama kuna ukweli wowote au la kwa sababu si mfuatiliaji wa american series, kwa aliyeangalia hizi project mbili naomba atusaidie tafadhali. Nikipata muda nataka niziangalie tena episode mbili za mwanzo kwa umakini nipate kuielewa zaidi baadae kama nitapata muda nije niisifie au kuiponda humu ndani. tuache utani yule binti anayeitwa kim ji won ni mrembo wa ukweli, ni mimi pekee ninayeamini ya kwamba song jong ki ni overrated actor au mwenzenu itakuwa nina wivu naye?​
  5. different dreams: bado naendelea kujifunza harakati za kupigania uhuru wa korea, mgawanyiko wa korea ulikuwa hauepukiki kwa sababu ukiangalia haya makundi ya harakati za uhuru yalikuwa mengi kama zanzibar. hivi yule mwanadada lee yo won ni kweli ana miaka 38, hizi makeup zinaweza kumfanya Daemusin awe na sura ya magufuli.​

mwisho nimalizie my love chingu na wengineo naomba munipunguzie notifications ifikapo siku ya jumatatu, za leo na kesho nitajibu but ikianza wiki mpya sitojibu, nawaomba sana munisaidie kwa hili ombi nililoliwasilisha kwenu kwa wote jamani.
hii comment sitoifuta ili wadau wote waione humu ndani.

Oh bird, oh bird, oh roller
Do not sit in the Nokdu fields
For when the Nokdu flower falls
The jelly seller weeps.

Oh bird, oh bird, oh roller
Why did you come out
For the pine and bamboo leaves are green
We thought it was summer

But it is freezing with snow

roller = wanajeshi wa japani waliokuwa wanavalia fomu blue.
Nokdu fields = jeong bong jun mkuu wa mapinduzi ya donghak peasant
when the Nokdu flower falls = kunyongwa kwa jeong bong jun
jelly seller = wafanya biashara wadogo wa korea (joseon), au walalahoi wanaotegemea zaidi kilimo na biashara dhaifu
Why did you come out = malalamiko ya peasant wa korea dhidi ya uvamizi wa nchi za kigeni nchini kwao.

mashairi hayo yalikuwa maarufu sana nyakati hizo za donghak peasant revolution nchini joseon mnamo karne ya 19.

aminas huyu malaika wetu amepewa mpaka zawadi ya sauti nzuri

Pepa Lini Kwani!?

One Spring Night Mbona Mi Naona Kawaida au Mahaba Yamenizidi Labda...

Ahsante Kwa Ongeraa...

Ila Uje Uniambia Unakoenda.
 
Ila Angel Last Mission Nzuri Sana Kiukweli.. Stor Imetulia Sana Na Yule Mdada Yaani Ni Ful Hisia
upo sahihi shin hye sun yupo vizuri sana.
mwaka huu kidogo KBS wamerudisha ubora wao wa kutengeneza project zenye muelekeo mzuri.
arthdal chronicles unaifuatilia?
 
Back
Top Bottom