Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hostorical drma
Nani huyu
1dc1f9ff18a2e97cee551d62f2695ab2.0.jpeg
 
Yaani mimi siwapendi hata chembe, nimejitahidi ila wapi
Inachangiwa Pia Na Mapenzi Ya Mtu! Kuna Mwingine Humwambii Kitu Kwenye Drama Za Kifilipino. Ukimletea Za Korean Ama Chinese Mtagombana. Kuna Mwingine Anapendelea Spanish Dramas Kama Zile Za Telemundo Na Huyu Pia Ukimleta Kwenye Ulimwengu Mwingine Huku Wa Sageuks Mtaishia Kupigana. Kuna Mwingine Yeye Ni Mnazi Wa Tamthilia Za South Africa Na Ukienda Kwa Mwingine Atakwambia "Japanese Dramas Are The Best!" Mwingine Unakuta Anafurahia Sana Akitazama Series Za Hollywood, Kihindi, n.k. Kwahiyo Ni Mitizamo Tu!
 
Did I say otherwise?
 
kama yupo msulihishi wa migogoro tunaomba ajitokeze na mapemaa kabla ya hawa watu wawili hawajatoana roho, mimi kazi yangu itakuwa ni kurithi kizuka haijalishi ameachwa na spika wa bunge au professor Assad.
bado sijaoa mwanamke hata mmoja, nataka niache harakati za kuwa baba mchungaji.
View attachment 1088950
Umenikumbusha Kitu. Ngoja Nishee (Share) Kitu Kidogo Kuhusiana Na Huyo Mzee Wa Kushoto!

>> Sijui Ni Wangapi Wamepata Kuiona Project Moja Hivi Ya Mwaka 2014/2015 Via KBS (Picha Hapo Chini) Inaitwa; What Happens To My Family? Humo Ndani Huyo Mzee Amecheza Kama Baba Mwenye Familia (Single Parent) Ambaye Watoto Wake Watatu Wamekuwa Wakimsumbua Kila Kukicha. Wa Kiume Wawili Na Huyo Wa Kike (Picha Ya Kwanza) Ndiye Big Sister Wao Au Noona Wao!

Hiyo Drama Mpaka Mwisho Imejaa Ucheshi Wa Hali Ya Juu Na Pia Kuna Baadhi Ya Vipande Vya Kusikitisha Na Kuhuzunisha Sana Kiasi Cha Kukufanya Ulie Si Kidogo Hasa Mwishoni Pale Ambapo Watoto Wanapokuja Kugundua Ni Jinsi Gani Utukutu Wao Umeweza Kumletea Mzee Wao Matatizo Makubwa Sana, Wahenga Husema "Majuto Ni Mjukuu!" Kwakweli Ni Project Yenye Mafundisho Mazuri Sana Ya Kifamilia. Kama Hujawahi Kuitazama Itafute And You'll Thank Me Later!

1092257

1092259

1092247

1092216
 
EMPEROR WANG GUHN DRAMA
imenichukua miaka takribani mitatu kuiangalia hii drama and finally usiku wa jana nimeimaliza, drama kama hizi zinaangaliwa zaidi na wale binadamu wabishi, watemi na vichwa maji kama damushin ambao kwa kiasi kikubwa muda wao mkubwa huutumia kwa ajili ya kuangalia televisheni kuliko kufanya kazi mpaka anayaletea athari macho yake aliyopewa na muweza wa yote ulimwenguni.

jumla ya episode 200 na kila episode inachukua wastani wa dakika 48- 53, kilichonivutia ni kwamba 85% ya matukio yalioigizwa humu ndani yamerikodiwa kwenye vitabu vya historia na kwa kuwa washindi walikuwa ni goryeo basi kivyovyote maandishi ya kihistoria yaliorekodiwa yatakuwa upande wa kuisifu Goryeo.
Neno goryeo(koryeo) ndio msingi wa neno korea.
  1. wang gun amezaliwa na kufariki (31 January 877 – 4 July 943)
  2. ni mzaliwa wa shilla lakini chimbuko la ukoo wao ni watu kutoka goguryeo ya zamani, ukoo wao ulikuwa na heshima kubwa sana na utajiri uliotokana zaidi na biashara walizokuwa wakizifanya kwa njia ya bahari.
  3. kwa mujibu wa drama na maandishi ya kihistoria aliwahi kuwepo muhadhiri wa imani ya buddhism aliyeitwa dosun ambaye aliwahi kutabiri ya kwamba wang guhn atakuja kuwa mtawala mwenye nguvu kwenye hizi nchi tatu za baadae (laer goryeo+ later baekje +shilla)
  4. wang guhn alitawala goryeo kwa miaka 25,ndipo madaraka yake yakarithiwa na mtoto wake wa kwanza ambaye ni wang mu lakini alifariki baada ya miaka miwili ya kuwa madarakani
  5. wang guhn alioa wanawake takribani 30, kwa kiasi kikubwa alifunga ndoa zaidi za kisiasa kwa dhumuni la kuunganisha damu dhidi ya koo tofauti ambazo ziliamua kujisalimisha kwa wang guhn.
  6. upande wa pili alikuwepo jamaa anayeitwa gong ye ambaye alizaliwa na mfalme wa shilla lakini kupitia kwa mwanamama amabye ni concubine, huyu jamaa alikutana na mitihani mingi sana uddogoni mwake alipokuwa shilla ikiwemo kupoteza jicho lake na alishuhudia kifo cha mama yake jambo lililopelekea aikimbie nchi yake na kuwa MONK.
  7. Gong yae baadae alipata nguvu kubwa sana na kufanikiwa kuanzisha taifa lake ni kulipa jina la Taebong, ukoo wa wang guhn waliamua kujisalimisha kwa gong yae na hatimaye akapewa cheo cha general, mfalme gong yae alivutiwa sana na wang guhn kiasi ambacho alifikia hatua ya kumtangaza wang guhn kama ni mdogo wake.
  8. miaka ilizidi kusogea huyu jamaa akawa na chembe chembe za kidikteta, miongoni mwa vitendo vyake vya ovyo ni kuisambaratisha familia yake mbele ya hadhara, baadae gong yae akamua kulibadilisha jina la taifa lake kutoka Taebong kuelekea Majin.
  9. mwaka 918 takribani wanajeshi wanne wenye nguvu nchini Taebong waliamua kumfuata wang guhn nyumbani kwake kwa dhumuni la kumshauri ashiriki kwenye kampeni yao ya kutaka kumpindua mfalme gong yae ambaye alikwisha vuka mipaka kwa matendo yake maovu, wang guhn alikataa mpango huo lakini baadae baada ya kubembelezwa na mke wake hatimaye akaongoza kampeni ya kumuondoa madarakani mfalme gong yae kwa njia ya mapinduzi.
  10. mfalme gong yae aliuawa pamoja na wafuasi wake na hatimaye wang guhn akabeba ufalme na kutangaza rasmi utawala wa goryeo(goguryeo mpya).
  11. alikuwepo general aliyeitwa kyu hwon kutoka shilla, huyu general nayeye alifanya mapinduzi kwa kuivamia shilla maeneo ya mujinju na hatimaye baadae akaanzisha taifa lake ambalo ni HUBAEKJE ( baekje mpya)
  12. wenye lugha yao wanadai ya kwamba kama utashindwa kuiongoza familia yako haijalishi wewe ni shujaa unayeogopeka basi pia utashindwa kuiongoza tawala yako kwa amani na ndicho kilichomkuta huyu mfalme.
  13. alitokezea kumpenda sana sana mtoto wake wa mwisho huku akimchukia mnoo mtoto wake wa mwanzoni kupitia kwa mke wa mwanzoni, jamaa aliipa mafanikio makubwa sana hubaekje ikiwemo kampeni yake ya kuivamia shilla na kumuua mfalme wa shilla huku akimweka mfalme mwengine aliyekuwa akiendana na maamuzi yake lakini vita ya familia ilipelekea anguko la nchi yake.
  14. mtoto wake wa kwanza aliitwa shin guhm ambaye aliamua kufanya mapinduzi kwa kumuondoa madarakani baba yake na pia aliamua kumuua ndugu yake wa kambo aliyeitwa keum gang na hatimaye akawa mfalme wa pili baekje.
  15. kyu hwon hatimaye akaamua kukimbilia goryeo ili apate hifadhi kutoka kwa wang guhn ambaye ni adui wake wa muda mfrefu ambaye wameshakutana mara kwa mara vitani, mzee aliona ni bora ajisalimishe kwa wang guhn kuliko kumuunga mtoto wake wa kumzaa awe mfalme.
  16. vita ya mwisho hatimaye hubaekje wakajisalimisha kwa goryeo na baadae shilla pia wakajisalimisha kwa goryeo, bila ya kusahau taifa la balhae ambalo lilianzishwa na general daejoyong kutoka goguryeo nao pia walijisalimisha kwa goryeo.
  17. hawa balhae utawala wao uliangushwa na wahuni wanaoitwa KHITAN, hatimaye goryeo wakafanikiwa kuziunganisha kingdom tatu na wang guhn kupewa heshima ya emperor.
  18. shilla waliziunganisha tawala tatu kwa kutumia msaada zaidi kutoka nchi za kigeni hususani Tang.
  19. wang guhn hakutegemea nguvu za nchi za kigeni kuziunganisha three kingdom za baadae.
maisha ya emperor wang guhn na baadhi ya watoto wake pia yameelezewa kupitia drama zifuatazo
scarlet heart ryeo
shin or go crazy

huyu wang guhn kwa vipindi tofauti alizungukwa na wanadamu wenye akili zaidi kuliko binadamu wengineo kama mimi.

choi ung= aliingia madarakani akiwa na miaka 14 nyakati za utawala wa gong yae, alikuwa ni zaidi ya genius na alifariki akiwa na miaka 35
choi jimong = huyu jamaa alibobea mnoo kwenye elimu ya nyota
1098969

View attachment 1098969
Mkuu hongera sana kwa uchambuzi wako mm mwenyewe nimetoka kuimaliza wiki chache zilizopita hakika ni mojawapo ya historical drama bomba
 
Hakika Goryeo na Jeosun ni mataifa ambayo yalibahatika kuwa na watu wenye akii nyingi, kwa bahati mbaya walishindwa kujiondoa katika utumwa wa Wachina. Wao waliamini kuwa njia ya diplomasia ingekuwa suluhisho zaidi, lakini wachina na wajapani waliendelea kuwaonea sababu walijua ni Watu dhaifu.
 
Back
Top Bottom