Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

kwenye TV unamiliki watatu
mtaani unamiliki watatu
JF unamiliki watatu
ofisini unamiliki watatu
sokoni unamiliki watatu
ibadani unamiliki watatu
unapoenda kuchota maji unamiliki watatu

takwimu hizi ni kwa mujibu wa aminas
sihusiki na takwimu hizi za IMF

na log out muda huu
replay yako nitakuja kuisoma baadae, nahofia itakusanya upepo wa kimbunga muda huu.
daah hao wa ibadani , sokoni, kazini sijui bombani wapenyeze hapo kwenye TV na Jf. Usimuuzie kesi aminas hizo takwimu umeingia jikoni mwenyewe
 
Back
Top Bottom