M Z A N Z I B A R I
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 21,645
- 116,842
"tafadhali simama, ni mara ngapi nimekuomba uwe mwanamke wangu lakini hutaki, leo hii unasema upo tayari uwe mke wangu, labda unafikiri nitajisikia furaha, hali ya kuwa mimi sipo ndani ya moyo wako, si unasema utakuwa mke wangu basi sawa hata kama nitashindwa kuuteka moyo katu sitakubali kuupoteza mwili wako “
“laiti kama maneno hayo ningeliyasikia tulipokuwa Mujinju ningelijiona ni mwanamme mwenye bahati sana na ningeliachana na ukorofi wote nilionao, lakini wewe moyoni mwako yupo jang bogo tu,
mama yangu alikuwa mtumwa na alifariki kwenye jahazi ndipo master yi akaamua kunilea yeye ni kama baba yangu, mwanzo niliwahi kukwambia kuwa niliwahi kukuona ulipokuwa mdogo maeneo ya Chunghae, urembo wako, tabasamu lako niliamini vingeliniondolea upweke na huzuni nilionao kwa kukosa mapenzi na malezi ya mama ila nimeshindwa kumuondoa jang bogo ndani ya moyo wako kwa hivyo tafadhali nakuomba uondoke uwende kwa jang bogo kwani yeye ndie pekee unayemuona atakupa furaha”
jamani jamani jamani hivi wale madirector pamoja na waandishi waliokuwa wanasimamia project mfano wa jumong, emperor of the sea, emperor wang guhn, age of warriors, yeon gaesomun, tears of dragon n.k
wako wapi?
je wameshafariki?
kama wapo hai mbona hawatengenezi tena project za kibabe kama zile?
siku hizi ni mwendo wa stori za kijinga, mara paap do min joon katoka sayari ya masi au physics anakwenda duniani kukutana na binti karemmbo mwenye mapengo
mara paap general choi young mtemi aliyeshindwa na yi seong gye anatoka gaegyeong anaelekea seoul kumtafuta daktari akamtibu mfalme nguvu za kiume utafikiri miti aina ya ginseng imekwisha nchini goryeo au joseon.