Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 817
- 1,772
Haswa, yule Joeng Jo(정 조) alitaka kuonyesha kuwa ni mzalendo kuwa yeyote anaweza kupitiwa na sheria. Kifo cha Sado{사도) inasemekana chanzo chake ni tata sana wengine wanadai kuwa waliframia kesi na wengine wanadai kuwa alikuwa na matatizo ya akili hivyo alikuwa anawabaka M-Cort lady na Ma-Maid(both are female servants) Ingawa mfalme alifanya maamuzi magumu sana. Katika utawala wake Joeng Jo(정조) suala la kuwawa Mwanae Prince Sado(사도) ndiyo doa .kiupande fulani ulikuwa ni uamuizi wa ovyo aliyouchukua na maamuzi yale kwa kiasi kikubwa yalikuwa ni faida kubwa kwa wapinzani wa crown prince sado.
ndio maana wakati bwana mdogo yi san anakabidhiwa madaraka viongozi wote waliohusika katika mpango wa kumuangamiza prince sado walijawa na khofu ya kulipiziwa kisasi.
siasa ni mchezo usiotabirika kuliko mchezo wowote ule duniani.