Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Baada ya kifo cha Jumong Gogryeo ilipoteza ushupavu wake hasa kwa Bakje ambayo ilianzishwa na Sosono.
kuondoka kwa mtakatifu jumong kuliifanya kwanza Goguryeo ipoteze nguvu kwa Buyeo ambayo bado mfalme Daeso alikuwa ndio mtawala, tokea mwanzoni Buyeo haikupendelea kuona taifa changa la Goguryeo linakuwa na nguvu kubwa zaidi yao, hivyo basi kugawanyika kwa Goguryeo pia ulikuwa ni mwiba kwa ustawi wa Goguryeo mbele ya Buyeo, Han dynasty na makabila mengineo ukiiondoa Baekje ambayo isingelikuwa na nguvu ya kuivamia Gogoryeo kwa miaka ya mwanzoni.

Lakini baada ya mfalme Yuri kumkabidhi madaraka mtoto wake wa kiume aliyeitwa Muhyool taifa la goguryeo lilirudisha tena nguvu zake za mwanzoni, huyu muhyool alikuwa ni mjukuu wa nne wa jumong na alitunukiwa cheo cha crown prince akiwa na umri mdogo na hii ilitokana zaidi na kifo cha kaka yake Dojeol, pia alikuwa na kaka yake anaitwa hamyeong ambaye alivuliwa cheo cha crown prince na baba yake.

huyu muhyool ndiye aliongoza kampeni ya kuivamia buyeo ambayo ilikuwa onfire nyakati hizo chini utawala wa babu yake wa pili ambaye ni Daeso na kufanikiwa kumuua mfalme daeso, tukumbuke mama yake jumong aliolewa na baba yake daeso ambaye ni geumwa hivyo basi muhyool alimchukulia daeso kama ni babu yake.
huyu muhuni hakuishia hapo tu bali mataifa mengi ya jirani aliyabeba na kuitanua tawala ya goguryeo mpaka kufikia kubeba maeneno ya han china pamoja na naklang.
muhyool
kama walivyo baadhi ya wafalme wengineo alipewa heshima ya DAEMUSIN (damushin = mungu wa vita).
mpaka hapa utaona ya kwamba baekje hawakuwa na nguvu ya kusimama na Goguryeo nyakati za mwanzoni.
kutoka jumong wa goguryeo hadi geunchogo wa baekje ni miaka takribani 300 imepita.

1547252083362.png
 
Babu
Sasa mimi nimeacha kuangalia Yi San nilishafika episode 5 ndio naangalia Gwanggaeto nipo episode 5! Lol

Ila nashukuru kwa haya maelezo yako maana sikuwa nikijua kama Yi San ni mtoto wa kipenzi changu Dong Yi.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Babu yake na Yi san yule mfalme mzee(JoengJo) ndo mtoto wa Dong Yi hivyo Yi san ni kituu cha Dong Yi.
 
kuondoka kwa mtakatifu jumong kuliifanya kwanza Goguryeo ipoteze nguvu kwa Buyeo ambayo bado mfalme Daeso alikuwa ndio mtawala, tokea mwanzoni Buyeo haikupendelea kuona taifa changa la Goguryeo linakuwa na nguvu kubwa zaidi yao, hivyo basi kugawanyika kwa Goguryeo pia ulikuwa ni mwiba kwa ustawi wa Goguryeo mbele ya Buyeo, Han dynasty na makabila mengineo ukiiondoa Baekje ambayo isingelikuwa na nguvu ya kuivamia Gogoryeo kwa miaka ya mwanzoni.

Lakini baada ya mfalme Yuri kumkabidhi madaraka mtoto wake wa kiume aliyeitwa Muhyool taifa la goguryeo lilirudisha tena nguvu zake za mwanzoni, huyu muhyool alikuwa ni mjukuu wa nne wa jumong na alitunukiwa cheo cha crown prince akiwa na umri mdogo na hii ilitokana zaidi na kifo cha kaka yake Dojeol, pia alikuwa na kaka yake anaitwa hamyeong ambaye alivuliwa cheo cha crown prince na baba yake.

huyu muhyool ndiye aliongoza kampeni ya kuivamia buyeo ambayo ilikuwa onfire nyakati hizo chini utawala wa babu yake wa pili ambaye ni Daeso na kufanikiwa kumuua mfalme daeso, tukumbuke mama yake jumong aliolewa na baba yake daeso ambaye ni geumwa hivyo basi muhyool alimchukulia daeso kama ni babu yake.
huyu muhuni hakuishia hapo tu bali mataifa mengi ya jirani aliyabeba na kuitanua tawala ya goguryeo mpaka kufikia kubeba maeneno ya han china pamoja na naklang.
muhyool
kama walivyo baadhi ya wafalme wengineo alipewa heshima ya DAEMUSIN (damushin = mungu wa vita).
mpaka hapa utaona ya kwamba baekje hawakuwa na nguvu ya kusimama na Goguryeo nyakati za mwanzoni.
kutoka jumong wa goguryeo hadi geunchogo wa baekje ni miaka takribani 300 imepita.

Kumbuka baada ya Kifo cha Muyul hapa Gogryeo ilikuwa na matatizo mengi sana ndani ya Nchi na ndiyo yalipelekea kupigwa kirahisi hata kabla ya Geuchoggo kuitawala Bakje
 
kuondoka kwa mtakatifu jumong kuliifanya kwanza Goguryeo ipoteze nguvu kwa Buyeo ambayo bado mfalme Daeso alikuwa ndio mtawala, tokea mwanzoni Buyeo haikupendelea kuona taifa changa la Goguryeo linakuwa na nguvu kubwa zaidi yao, hivyo basi kugawanyika kwa Goguryeo pia ulikuwa ni mwiba kwa ustawi wa Goguryeo mbele ya Buyeo, Han dynasty na makabila mengineo ukiiondoa Baekje ambayo isingelikuwa na nguvu ya kuivamia Gogoryeo kwa miaka ya mwanzoni.

Lakini baada ya mfalme Yuri kumkabidhi madaraka mtoto wake wa kiume aliyeitwa Muhyool taifa la goguryeo lilirudisha tena nguvu zake za mwanzoni, huyu muhyool alikuwa ni mjukuu wa nne wa jumong na alitunukiwa cheo cha crown prince akiwa na umri mdogo na hii ilitokana zaidi na kifo cha kaka yake Dojeol, pia alikuwa na kaka yake anaitwa hamyeong ambaye alivuliwa cheo cha crown prince na baba yake.

huyu muhyool ndiye aliongoza kampeni ya kuivamia buyeo ambayo ilikuwa onfire nyakati hizo chini utawala wa babu yake wa pili ambaye ni Daeso na kufanikiwa kumuua mfalme daeso, tukumbuke mama yake jumong aliolewa na baba yake daeso ambaye ni geumwa hivyo basi muhyool alimchukulia daeso kama ni babu yake.
huyu muhuni hakuishia hapo tu bali mataifa mengi ya jirani aliyabeba na kuitanua tawala ya goguryeo mpaka kufikia kubeba maeneno ya han china pamoja na naklang.
muhyool
kama walivyo baadhi ya wafalme wengineo alipewa heshima ya DAEMUSIN (damushin = mungu wa vita).
mpaka hapa utaona ya kwamba baekje hawakuwa na nguvu ya kusimama na Goguryeo nyakati za mwanzoni.
kutoka jumong wa goguryeo hadi geunchogo wa baekje ni miaka takribani 300 imepita.

Hivi kumbe Mzee Geumwa alimuoa mamake Jumong? Mbona kwenye Jumong sijaona hii? Sitaki kuamini kama nimesahau...

Ila nilitamani kama Lady Yuhwa angekuwa na Geumwa tokea mwanzo na sio Haemosou ila hata couple yao na Haemosou pia niliipenda.
Muandishi ya Jumong alijua kuniliza jamani, ajabu ndio series yangu kipenzi ya muda wote!

Umenifurahisha kwa picha na avatar ya Oppa wangu Song Il Gook.
Hivi hana/hayupo ktk project yoyote itakayotoka hivi karibuni? Nimemmiss mnoooo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
nimeyapenda maamuzi yako kwa sababu kwa hali inavyokwenda hapa nyumbani kwetu naiogopa siku nitakayotembelea humu nikakutana na taarifa ya kuhuzunisha, ni bora uendelee kuwa mwanaharakati kwa njia ya televisheni drama.
:p:p:p

umenipa heshima kubwa sana isiyoendana na uwezo wangu
Kila Leo Huwa Nakuambia Una Kitu flani Ivyi.

Unastahili Ichi, Uko Vizuri Sana My Lovely Chinguya Sana Tena Sana..
Mola Azidi Bariki Hii Tunu InshaAllah.
 
ahsante ahjumma wangu mtarajiwa na nikupe hongera kwa ushindi wa leo.

hivi wale waarabu wazembe muliwalisha mashelisheli ya pemba na viazi majimbi?
ovyo ovyo kabisa pumbavuuu.
 
Lile libabu silipendi lina roho mbaya sana. Ila ni genius.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Sasa huyo mzee ndo mtoto wa Dong Yi, Ni moja kati ya wafalme bora wa Josoen lakini pia Watu wa tabaka la chini alikuwa anawajali kama Mama yake(Dong yi) alivyokuwa anamuhusia kama unakumbuka alikuwa Genius tangu utotoni ndiyo maana Baba yake Mfalme SukJong alikuwa anampenda sababu dogo alichukua u-Genius kwa Mama yake.Mpaka msimamo kachukua toka mamaye kama unakumbuka Alimuhukumu mwanae(Crown Prince Sado Lee san's father) kifo baada ya kusemekana katenda uhalifu. Ukimtazama Lee san na yeye ni kama huyo mzee hivyohivyo mpaka ukali lkn anawajali sana watu wanyonge. Kifupi Both were best .
 
ahsante ahjumma wangu mtarajiwa na nikupe hongera kwa ushindi wa leo.

hivi wale waarabu wazembe muliwalisha mashelisheli ya pemba na viazi majimbi?
ovyo ovyo kabisa pumbavuuu.
Hahahaha! Wamekua Wapumbavu Tena

Sidhani Kama Wangeingia Hiyo Atua Kama Umbumbu Wao Ungekua wa Kiwango Icho!

Bad Thing Sikuangalia Hii Mechi Nimekuja Kupata Matokeo Baada Ya Mpira Kuisha.

Ni juhudi na Jithda Za Wachezaji Wetu Na Benchi Loote La Makamuzi.

SIMBA OYEEE
 
kuna mshabiki mmoja ameandika kwenye bango lake:
jana simba
leo simba
kesho simba

vyura wako wapi?
vyura shida yao ni ubingwa wa ligi kuu na watu wote wanajuwa fika simba ni baskeli ya mbao.
 
Bogoshipseyo My Chingu
me too - ‎나도 (nado)
park bo gum na song hye kyo wanasemaje?
naona jamaa anataka kurudisha mapenzi upya lakini ndio hivyo its too late.
poor our jang boo cheon wa money flower drama.
alifanya makosa makubwa kumruhusu mama yake ampangie mpaka nguo ya ndani ya kuvaa.
amekumbuka shuka wakati ambao wachawi wote washazishusha ndege zao.
amebaki kuumiza moyo wake pindi anapomuona young boy anatembea na ahjumma mtarajiwa.
 
Hahahaha! As usual Na Maneno yako!

We Ukisema Kikavuu Wenzio Wanatengenezea Na Maji Ya Ndimu Kinalika!

Ivyi Hii Inakaaje!? Unamuona Mzuri Na Wa Maana Akishaondoka Kwako Eti Ahjussi Niambie Kwanza Inakuaje Hii?

Nimekuwa EMPTY Sasa Episode Za Wiki ilopita Naona Nimekua Mzito kuzimalizia!
 
Mpaka msimamo kachukua toka mamaye kama unakumbuka Alimuhukumu mwanae(Crown Prince Sado Lee san's father) kifo baada ya kusemekana katenda uhalifu.
kiupande fulani ulikuwa ni uamuizi wa ovyo aliyouchukua na maamuzi yale kwa kiasi kikubwa yalikuwa ni faida kubwa kwa wapinzani wa crown prince sado.

ndio maana wakati bwana mdogo yi san anakabidhiwa madaraka viongozi wote waliohusika katika mpango wa kumuangamiza prince sado walijawa na khofu ya kulipiziwa kisasi.

siasa ni mchezo usiotabirika kuliko mchezo wowote ule duniani.
 
Back
Top Bottom