Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kuchukua actor wengi walio shiriki katika Drama ya King Gwangaetto sio tatizo. Hapa tunaongelea ubora wa wa drama husika. Unaweza fanya vibaya kwenye King Gwangaetto ila baadae ukapewa nafasi kwenye King Dae Jo Young na ukafanya vizuri zaidi. Kwahiyo hapa hatuangalii kwamba wahusika wa King Gwangaetto ndio wale wale walio kwenye Drama ya King Dae Jo Young.

Binafsi nimeitizama King Gwangaetto mwanzo mpaka mwisho ilinichukua mwezi mmoja kuimaliza, Drama ni nzuri sana lakini King Dae Jo Young Hahahahaaa huo ni moto mwingine aisee.

Mkuu umekwisha tizama Drama ya Admiral Yi Soon Shin?

MGC
Dae Jo Young naujua moto wake vizuri ila King Gwanggaetto the Great ni ya Kibabe zaidi.
Yi soon shin sijaiona ngoja niifanyie utaratibu
 
Frozen flower ni movie
Wale wenye uhitaji wa Korean drama zenye high quality with english subtitle

HISTORICAL DRAMA (hizi ni kali panga mwanzo mwisho)
1.empress chunchu
2.jumong
3.kingdom of wind
4.dae Jo young
5.gwangaeto
6.emperor of the sea
7.chuno
8.emperor wanggun
9.king guen chogo
10.princess jamyung go
11.great kings dream
12.tree with deep roots
13.six flying dragons
14.yi San
15.dong yi
16.empress K
17.frozen flower
18.hwarang
19.great queen sendeok
20.gye baek
21.daemang
22.Kim soo ro
23.master's sun
24.shine or go crazy
25.jackpot
.
.
.
.
Na nyingine nyingi

Drama episodes 30 kwa shilling elfu 5
(Punguzo babkubwa)

Au unaweza ukaweka order kwa series yoyote ile napatikana dar

Pia za town zinapatikana mpya na za zamani

PM kupo wazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Jing Bi Rock (A memoir of Imjin war)

Hii ni historical drama inayoelezea vita kubwa kuwahi kutokea karne ya 16 huko Asia kati ya Nchi tatu Joseon (Korea) Ming (China) na Wae (Japan)

Historia hii iliandikwa na msomi, mzalendo wa kupigiwa mfano Ryu Seongryong.
Aliandika kitabu hiki kama fundisho kwa vizazi vijavyo vipate kujifunza kutokana na makosa yao yaliyopelekea vita kubwa iliyowagharimu.
Ndio maana hasili ya Jing Birock (Book of corrections)

Nilichojifunza
Niseme ukweli sijawahi kuangalia drama yoyote ya kikorea yenye absolutely 0 romance kama hii! Huku ni serious politics mwanzo mwisho!
Na ajabu nimeipenda mnoooo!

Nimevutiwa, nimehamasika niwe mzalendo kwa nchi yangu ila kuna tofauti kubwa kati ya nchi yangu na Joseon ile ya takribani miaka 500 iliyopita!
Demokrasia, uhuru wa kutoa maoni ni vitu vilivyonivutia zaidi.

Sasa najiuliza kama wenzetu walikuwa mbali hivyo kidemokrasia karne hizo kibao zilizopita vipi sasa hali ikoje? Ndio maana wameweza hata kumtoa madarakani na kumfunga Rais wao! Haki I love Korea

Walionivutia
Ryu
Huyu ndiye muandishi mwenyewe wa Jing Birock hivyo ameweza kutendea haki na nimehasika sana na ujasiri wake wa kumkosoa mfalme bila kujali mfalme atachukua hatua gani dhidi yake!

Mfalme alikuwa mdogo mbele ya Ryu kiasi muda mwingi analia tu maana nyakati zote Ryu aliibuka mshindi wa mijadala na matokeo baada ya mijadala.

Admiral Yi Soon Sin
Huyu mtu sijui nimuelezee vipi! Ndiye character aliyenivutia kuliko wote. Nimependa weledi wake wa vita na msimamo wake ktk kile alichokiamini hata kama ingepelekea tishio la uhai wake kwa kukiuka maagizo ya kipuuzi ya mfalme Seonjo.

Huyu mtu amenifanya mpaka nikajiuliza hivi ktk nchi yetu ile ya kisiwa cha Madagascar kweli tuna mtu kama Yi Soon Shin?

Wengineo
Prince Gwanghae
Huyu mwanzoni alinivutua sana kwa kusimamia usawa na kutokuwa na tamaa ya madaraka ila baadae alitekwa na wanasiasa wakamvuruga.
Kanikera vile he is too easy to manipulate.

King Seonjo
Huyu mfalme amenifanya nitamani kuingia ktk drama mara nyingi nimtandike vibao! Ni mfalme mpuuzi na muoga ambaye sijawahi kuona drama yenye mfalme dhaifu kama yeye.
Nimeshangaa tuzo aliyopewa na MBC mwaka 2015 ya Best Actor... Au ni vile kaweza kuigiza kama mfalme goigoi? Lol

Toyotomi Hideyoshi
Baba yake na Tsurumatsu hahaaaaa.
Majina ya Kijapani yamenichekesha sana. Kiasi watu nyumbani kwangu wamepata taabu kila mmoja na jina lake. Lol

Huyu jamaa kajua kuuvaa uhusika vilivyo! Mwanzoni alikuwa ananiogopesha hata mimi ila baadae nikamzoea na hakika kajua kunivunja mbavu hasa anavyowaita wasaidizi wake akina Maeda, Ishida n.k

Konishi Yukinaga & Kato Kiyomosa
Unawezaje kuacha kufurahia ‘ligi’ ya majemedari hawa wawili wa vita? Mmoja akiwa msomi na mtoto wa familia ya wafanyabiashara mashuhuri (Konishi) huku mwenzie Kato asiye na elimu,jasiri,na mtiifu kwa kiongozi wake.

Mara zote Konishi aliibuka mshindi wa ligi zao kwakuwa alikuwa na matumizi makubwa ya akili kuliko mwenzie Kato aliyeamini ktk matumizi ya nguvu.

Mabishano yao ni moja kati ya burudani kubwa nilizozipata ktk drama hii.
Nilikuwa nacheka kama mwehu.

Wasaidizi wa Ryu & Yi Soon shin
Hawa vijana nimewapenda sana, (Hasa Cheon Ri) walikuwa loyal na wenye kuwaamini kwelikweli viongozi wao.
Waliwaamini na kufuata maagizo yao bila shaka.

Hitimisho
Best drama ever if you like political/war drama I’ll highly recommend you this

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuchukua actor wengi walio shiriki katika Drama ya King Gwangaetto sio tatizo. Hapa tunaongelea ubora wa wa drama husika. Unaweza fanya vibaya kwenye King Gwangaetto ila baadae ukapewa nafasi kwenye King Dae Jo Young na ukafanya vizuri zaidi. Kwahiyo hapa hatuangalii kwamba wahusika wa King Gwangaetto ndio wale wale walio kwenye Drama ya King Dae Jo Young.

Binafsi nimeitizama King Gwangaetto mwanzo mpaka mwisho ilinichukua mwezi mmoja kuimaliza, Drama ni nzuri sana lakini King Dae Jo Young Hahahahaaa huo ni moto mwingine aisee.

Mkuu umekwisha tizama Drama ya Admiral Yi Soon Shin?

MGC

Huyu nimekwisha kumuona kwenye Jing Birock sasa najiuliza hiyo drama yake itakuwa na jipya kweli?

Of course niliwahi kuisoma kiasi inaelezea maisha yake yote tokea kuzaliwa ila nimekosa hamasa kabisa ya kuiangalia.

Vipi ikoje Mkuu? Naona ina ep 104!
Hatari sana

Kama hutojali nipe list ya drama za kibabe za historical ukiachana na
Jumong
Dae Jo Young (Niliangalia hadi episode ya 30/40 hivi mwaka 2013 nikaiacha)
King Geunchoggo
Chunno

Napenda drama za kibabe zenye kutumia akili nyingi, thanks.

King Gwaengtogo
Chunno

Napenda drama za kibabe zenye kutumia akili nyingi, thanks.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwangu Historical drama za kibabe ambazo nimekwisha shuhudia ni: Grade A 6
King Gwanggaetto the Great Conqueror
Empress Chunchu( Princess Iron)
King Dae Jo Young
King Geuchoggo
Jumong
Kings dream Chunchu
Grade B 6
Bridal Mask
the Grear Queen Seon Doek
Six flying dragon
Chuno
The return of Il jimae
Tamthilia zangu 6 bora ambazo nimeshakuziona
Dong Yi
King Gwanggaetto
Jumong
the Great Queen Seon deok
Bridal Mask
Kim soo ro

Katika Peninsula ile Hakuna mwanaume aliyekuwa anatisha zaidi ya Dam doek 담 ㄷ억(King Gwanggaetto the Great)
 
Hizo nilizozibold zote nimeziona Chief, na kweli ni moto kwelikweli.
Drama ambazo zilinipa uchizi hapo sikuwa natamani kula wala kulala ni Jumong, Dong Yi na Queen Seondeok.

Hiyo King Gwanggaetto nitaipataje wajameni? Kwenye site yangu pendwa KissAsian hakuna!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hizo nilizozibold zote nimeziona Chief, na kweli ni moto kwelikweli.
Drama ambazo zilinipa uchizi hapo sikuwa natamani kula wala kulala ni Jumong, Dong Yi na Queen Seondeok.

Hiyo King Gwanggaetto nitaipataje
wajameni? Kwenye site yangu pendwa KissAsian hakuna!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hizo nilizozibold zote nimeziona Chief, na kweli ni moto kwelikweli.
Drama ambazo zilinipa uchizi hapo sikuwa natamani kula wala kulala ni Jumong, Dong Yi na Queen Seondeok.

Hiyo King Gwanggaetto nitaipataje wajameni? Kwenye site yangu pendwa KissAsian hakuna!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Asian Drama, Movies and Shows English Sub Full HD | Dramacool Ni tamthilia Inayomuelezea mfalme wa 19 Gogryeo Dam Doek the North Ghost, Kifupi Wafalme waliotawala era moja na yeye walitaabika. Ni wafalme wa 2 ktk historia ya Korea waliopewa heshima ya Great King 1ni Sejong the Great mfalme wa 4 wa Joseon kikubwa alichofanya Uvumbuzi wa Korean Alphabet. na King Gwanggaetto the Great mfalme wa 19 Gogryeo yeye alifanya mengi sana kubwa ni Kuifanya Gogryeo strongest na iliogopeka sana katika utawala wake.
 
Kwanini Jumong hakupewa heshima hiyo? Pamoja na kazi nzito aliyoifanya as Gogreyo founder, alifeli wapi?

Mimi mpaka leo sijaona drama/series kali kama ya Jumong. Natamani kumuona tena my forever Oppa Song Il Gook akicheza series ya kibabe kama hiyo.

Hapa tu nimefikiria hivi najipanga niiangalie tena kwa mara nyingine maana nahisi kuna vitu vingi nimeshasahau.

Baada ya kifo cha Jumong Gogryeo ilipoteza ushupavu wake hasa kwa Bakje ambayo ilianzishwa na Sosono. Bakje ilijipatia heshima nyingi sana na ilikiwa strongest kwenye peninsula hasa ktk utawala waKing Geuchoggo, huku Gogryeo wakizidi kuonyong'onyea walipigwa sana.Sasa Gwanggaetto(Dam doem) the Great alipochukua nchi aliifanya Gogryeo kuwa Strongest kuliko hata ile ya King Dongmyeong(Jumong). Gwanggaetto ndiye First Emperor wa Gogryeo na 19th King wa Gogryeo. Walikuwa Emperor sababu Nchi kama Bakje,Hoyan,Kitan,Mohe,Beiwei,Shilla,Manchuria na Baadhi ya Visiwa vya Japani ilikuwa sehemu ya Gogryeo. Ramani ya Gogryeo wakati wa utawala wa Gwanggaetto(Dam Doek)ilikuwa inafika S.Korea,N.Korea,China,Mongolia na Urusi.Wananchi wa wake walimpa Jina la Tae wang yaani Mfalme wa wafalme.Link iko hapo juu ya Drama cool
 
Alijiita General Mzimu toka Kaskazini
👉Asian Drama, Movies and Shows English Sub Full HD | Dramacool utaipata kwa uzuri
images.jpeg
Screenshot_2019-01-10-14-32-13.png
 
Baada ya kifo cha Jumong Gogryeo ilipoteza ushupavu wake hasa kwa Bakje ambayo ilianzishwa na Sosono. Bakje ilijipatia heshima nyingi sana na ilikiwa strongest kwenye peninsula hasa ktk utawala waKing Geuchoggo, huku Gogryeo wakizidi kuonyong'onyea walipigwa sana.Sasa Gwanggaetto(Dam doem) the Great alipochukua nchi aliifanya Gogryeo kuwa Strongest kuliko hata ile ya King Dongmyeong(Jumong). Gwanggaetto ndiye First Emperor wa Gogryeo na 19th King wa Gogryeo. Walikuwa Emperor sababu Nchi kama Bakje,Hoyan,Kitan,Mohe,Beiwei,Shilla,Manchuria na Baadhi ya Visiwa vya Japani ilikuwa sehemu ya Gogryeo. Ramani ya Gogryeo wakati wa utawala wa Gwanggaetto(Dam Doek)ilikuwa inafika S.Korea,N.Korea,China,Mongolia na Urusi.Wananchi wa wake walimpa Jina la Tae wang yaani Mfalme wa wafalme.Link iko hapo juu ya Drama cool

Eeeh bwana eeeh...
Ngoja niicheki hii nione je ndio konki drama kuliko zote kama mnavyosema?
Kama itaweza kuizidi Jumong basi nitanyanyua mikono juu.

Kwa maana hiyo basi Jumong alikuwa emperor bora ila aliangushwa na waliomfuata, sad!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom