Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Armorfly Ni browser unayoweza kuitumia kudownload vidoe za online, kama site inaruhusu ku watch free online basi kwa kutumia browser hii utaweza kuidownload pia
Android cafe download free Apks files
024f1eee2381e9f74fd560193a0b5195.jpg

26ff937dac41abab5c547da79af7d5f4.jpg
 
Aigooooo, mbona like nilikupa?

Sikuweza kujibu wakati ule maana ningejibu nini? Umenipa suggestions ilibidi niangalie kwanza ndio nije na feedback kama hivi.

Nilianza kuangalia ile ya yule Dr kupitia link ya drama cool uliyoiweka mwishoni mwa ile post ila ilikuwa balaa, nimekutana na matangazo ya ajabu sipati kusema.
Nikaachia kwenye ep ya 3.

Baadae nikaanza Yi San na Jing Bi Rock kwa pamoja, Jing Bi Rock ikanivutia zaidi ndio naimalizia kisha nikaendelee na Yi San ambayo ni ndefuuuu! Uwiiiiiiii ep 70 sijui nitamaliza nini.

Kilichonifurahisha kwa Yi San imekuwa directed na director ninayemkubali aliyedirect drama zangu pendwa The Great Jang Geum na Dong Yi.

Site za kuangalia hizi mambo zetu kwangu zinamata sana, kama sio Kiss Assian siwezi kabisa, napata taabu mnooo.
Hurray KissAsian

Hivi huyu King Seonjo ambaye nimemsoma kama the best king huko Korea mbona kwenye hii drama naona tofauti? King gani hapambani yuko busy kuflee kila uchwao?
Seriously ananikera mnooo!
Au atabadilika baadae nini? Maana niko ep ya 29


Sent from my iPhone using Tapatalk
Mfalme bora wa Joseon(조선) ni Sejong(세종) thw Great mtoto wa king Taejong Ingawa hata king Sukjong alikuwa mwanasiasa makini
Dong yi ni moja ya historical drama bora sana
 
Consort sook choe(Dong Yi) alikuwa mwanamke bright kuliko hata Lady Ki wa Empress Ki Consort sook naweza kumuweka Chungu Kimoja na Daek Man(Queen Seon deok) Consort Hui(Jang ook Jang) aliambiwa atakuwa Kivuli hakuamini Mwisho wa siku akaomba poo si kwa Consort Hui alikuwa hajiwezi bali alikutana na mtu wa kutisha
 
daah! brid mask ni shegerei. namkubal sana leka ntu& mkidan pamoja na chief kimura ukimtupia apo na sunji. penda sana iyo drama sijaona mfano wake
Moja kati drama zilifanya nikalia japo kuwa miye ni mgumu ni: Queen Seon Deok pale alipokufa Bidam na Queen, Gybaek pale alipokufa, Bridal Mask alipokufa kaka yake Lee Kanto lkn hizi ni zilifanya nisikitike san Dong Yi hii nilisikitishwa na ilipoisha, Kind Gwanggetto alipokufa Sagal,Princess, Hamuj,Yeon salta na Komu Dam mang
 
Mnatumia bando gani nyie anyway siye tigo gb 2 zinachukua muda mfupi
Mie natumia halotel night park, sh 1500 kwa 10gb hapa kwangu halotel anaspeed nzuri sana, nikiamka saa kumi alfajiri hadi saa 12 asubuhi inakuwa tayari nimesha shusha mzigo wa wa kutumia hata wiki mbili. Nazani umeona speed hiyo hapo ni jioni tu, alfajiri hiyo inafikia hadi 2.7mb/ps.
80141aed4733ddd593d05424a728e8d2.jpg
 
Mie natumia halotel night park, sh 1500 kwa 10gb hapa kwangu halotel anaspeed nzuri sana, nikiamka saa kumi alfajiri hadi saa 12 asubuhi inakuwa tayari nimesha shusha mzigo wa wa kutumia hata wiki mbili. Nazani umeona speed hiyo hapo ni jioni tu, alfajiri hiyo inafikia hadi 2.7mb/ps.
80141aed4733ddd593d05424a728e8d2.jpg
Basi street kwetu Halotel ndo mtandao wa Kinyonge Haushiki Vizuri ila hiyo mitandao mingine ipo vizuri sana
 
Wale wenye uhitaji wa Korean drama zenye high quality with english subtitle

HISTORICAL DRAMA (hizi ni kali panga mwanzo mwisho)
1.empress chunchu
2.jumong
3.kingdom of wind
4.dae Jo young
5.gwangaeto
6.emperor of the sea
7.chuno
8.emperor wanggun
9.king guen chogo
10.princess jamyung go
11.great kings dream
12.tree with deep roots
13.six flying dragons
14.yi San
15.dong yi
16.empress K
17.frozen flower
18.hwarang
19.great queen sendeok
20.gye baek
21.daemang
22.Kim soo ro
23.master's sun
24.shine or go crazy
25.jackpot
.
.
.
.
Na nyingine nyingi


Drama episodes 30 kwa shilling elfu 5
(Punguzo babkubwa)

Au unaweza ukaweka order kwa series yoyote ile napatikana dar

Pia za town zinapatikana mpya na za zamani

PM kupo wazi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza King Dae Jo Young imechukua washiriki wengi toka kwenye the Great King Gwanggaetto . labda kidogo ungeniambia Empress Chunchu(Iron Princess) hii moto wake pia si wakitoto
Kuchukua actor wengi walio shiriki katika Drama ya King Gwangaetto sio tatizo. Hapa tunaongelea ubora wa wa drama husika. Unaweza fanya vibaya kwenye King Gwangaetto ila baadae ukapewa nafasi kwenye King Dae Jo Young na ukafanya vizuri zaidi. Kwahiyo hapa hatuangalii kwamba wahusika wa King Gwangaetto ndio wale wale walio kwenye Drama ya King Dae Jo Young.

Binafsi nimeitizama King Gwangaetto mwanzo mpaka mwisho ilinichukua mwezi mmoja kuimaliza, Drama ni nzuri sana lakini King Dae Jo Young Hahahahaaa huo ni moto mwingine aisee.

Mkuu umekwisha tizama Drama ya Admiral Yi Soon Shin?

MGC
 
49 Reactions
Reply
Back
Top Bottom