Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

nafahamu hilo hata kama usingeli respond neno chozi
unajua kwa sababu gani?
wenye maneno yao wanadai ya kwamba unaweza ukadanganya tabasamu ili uonekane umejawa na furaha haliyakuwa unasumbuliwa na maumivu makali ndani ya kiwiliwili chako kilicho hai, lakini ni vigumu kudanganya machozi yako ambayo ndiyo msingi wa hisia zako.
nimefurahi kukuona tena japo kwa njia ya keyboard.
Mi Bahati Mbaya Huwaga Sina Ile Nalia Ndani Then Nje Nacheka Siwezii Yaani.

Kama Nafuraha ndani Nje Itaonekana.
Kama Ndani Nalia Nje Itaonekana.
 
HYMN OF DEATH OR PRAISE OF DEATH
1544013706467.png
Nilitaka niendelee kula likizo ya kutokuzungumzia korean drama kwa muda usiojulikana humu ndani lakini imenibidi muda huu nivunje kiapo changu kisichokuwa na ushahidi wowote wa sheria za kilimwengu.
hivi nikisema nchini korea lee jong suk ndiye muigizaji anayejua kuzifanyia tafiti project zake anazotaka kushiriki nitakuwa nakosea?
kama yupo mwengine ambaye project zake zote ni nzuri naomba wadau mumtaje na drama zake alizoshiriki kwa faida yetu sote na si mnajua lile zoezi bado linaendelea?
teh teh teh teh munajifanya mumesahau ila kiupande wangu bado nakumbuka (masikini uchwara akisifiwa).

  1. hymn of death ulikuwa ni wimbo maarufu ulioimbwa na mwanadada yum sim deok mnamo mwaka 1926. Kihistoria huyu bidada maisha yake yalianzia maeneo ya Pyong yang 25 July 1897 hadi 4 August 1926, ina maana aliishi miaka 29 tu hapa duniani.
  2. huyu bidada ndiye mkorea wa kwanza anayetambulika kuimba muziki wa soprano nyakati hizo joseon ipo chini ya himaya ya Japan. Baada ya kumaliza elimu yake ya ukufunzi alisafiri hadi Japan kwa dhumuni la kujiendeleza kupitia fani yake ya uimbaji ndani ya chuo cha Tokyo Music School.
  3. alipofika japan alifanikiwa kukutana na kijana aliyeitwa Kim Woo-Jin ambaye alikuwa ni mwanafunzi anayesomea fani ya fasihi ya kiingereza, ndipo mahusiano yao ya kimapenzi yalipoanzia lakini wakati huo huo kim woo jin alishafunga ndoa nchini korea kabla hajaenda Japan, kwa lugha rahisi ina maana walikuwa wanachepuka.
  4. baadae yun akarudi nchini korea kwa ajili ya kufanya matamasha mbali mbali ya kimuziki aina ya soprano na alifanikiwa kuwateka mashabiki wengi sana nchini kwao.
  5. mnamo mwaka 1926 wawili hao kwa pamoja waliamua kumaliza safari yao ya maisha baada ya kuchupa kwenye meli walipokuwa wanatoka Japan. taarifa za kifo cha muimbaji huyo kilipelekea wimbo wake unaoitwa In Praise of Death kuuzwa copy 100000, ndio wimbo wa kwanza wa kpop nchini korea kama ulikuwa hufahamu.
  6. kupitia short drama hii muigizaji lee jong suk ambaye ameigiza uhusika wa kim woo jin ameamua kushiriki bila ya kutaka kulipwa kiasi chochote cha fedha kwa sababu ya ukaribu wake na director park soo jin ambaye walifanya kazi pamoja kupitia drama ya while you were sleeping.
  7. nusu ya waigizaji walioshiriki humu ndani utawaona kupitia drama ya while you were sleeping. Je kipi kilichosababisha wawili hao wajiue jibu lipo ndani ya drama, Ina episode 3 kwa 6 ma imemaliza jana.
1544013050866.png
  1. Hymn of Death – QuickDrama – Watch Full Episodes Free HD on QuickDrama
  2. Praise of Death (2018) at Dramanice

SOHYANG = Only My Heart Knows
 
HYMN OF DEATH OR PRAISE OF DEATH
View attachment 956976

Asante.....nitaicheki
 
The third charm inaboa balaa
third charm ni moja kati ya poor romantic comedy project niliowahi kuiangalia ndio maana sikuendelea nayo mbele baada ya kufika episode 4.
lakini niliwahi kusoma comment yako hapo nyuma ukisema ya kwamba unavutiwa sana na drama zenye kiss scene?
third charm ni full kiss scene sielewi Numbisa kwa nini haijakuvutia?
mwanadada esom kwake yeye kumbusu mwanamme inaonekana ni jambo la kawaida, inawezekana anapiga mswaki mara 10 kwa siku.
hahahahahahahaaaaaaaa
1544108260306.png
 
Aaah kuna aina za kiss bana zinakera mno,kiss tamu ni ile ngumu kuipata yaan jamaa anasota weee mpaka unajiuliza scene ya kukiss itakuwaje,kiss kama za whats wrong with secretary kim,100days my prince,heirs etc zipo amazing,yummy,awesome hahahahahaa

Bora uliishia hapo,mie niliivuta yote bila kuiangalia mwanzon khaa hasara iliyoje,story mbovu

View attachment 958172
 
SKY CASTLE DRAMA
kuna wimbo mmoja umeimbwa na muimbaji fulani anajisifia ya kwamba mchumba wake nyumbani kwao ni mboga saba,basi kama yeye ni mboga saba kwenye ulimwengu huu kuna watu maisha yao ni mboga trillion 5.
kumalizika kwa third charm kituo cha JTBC wamekuja na project hii ambayo ndani yake inajaribu kuzungumzia maisha ya familia takribani 5 ambazo zina rekodi nzuri za kimafaanikio kuanzia elimu hadi fedha ambao kwa pamoja wanaishi kwenye ngome ambazo damushin anaziona kwenye internet.
  1. hizi familia kama kawaida yao wanawake ni washindani sana licha ya kuwa ni marafiki wa karibu lakini hakuna hata mmoja anayekubali kuwa chini ya mwenziwe.
  2. kuhusu watoto wao ndio usiseme maisha yao ni kama watoto wa royal family.
  3. ni washindani sana kwenye maswala ya elimu, kama mtoto ni kilaza atalazimika asome kwa lazima ili mradi familia ionekane imejaa heshima mbele ya jamii. Kibaya zaidi baadhi ya wazee wanawalazimisha watoto wasome fani wanazozitaka wao husuani fani ya udaktari eti kwa sababu babu, baba wote ni maprofessa wakubwa sana kwenye sekta ya afya.
  4. kwa upande wangu naiona ipo vizuri kwa sababu waigizaji wote wamebeba uhusika wao kwa kiwango cha PHD ya ngano. hamuna mambo ya kitoto
 
Aaah kuna aina za kiss bana zinakera mno,kiss tamu ni ile ngumu kuipata yaan jamaa anasota weee mpaka unajiuliza scene ya kukiss itakuwaje,kiss kama za whats wrong with secretary kim,100days my prince,heirs etc zipo amazing,yummy,awesome hahahahahaa

Bora uliishia hapo,mie niliivuta yote bila kuiangalia mwanzon khaa hasara iliyoje,story mbovu
hahahahhahaaaaaaaa
unataka kiss scene iwe tabu kupatikana kama timu pinzani inavyotafuta mpira pindi inapokutana na barcelona ya guardiola.
kibaya zaidi unakutana na muandishi aina ya kim eun sook ambaye anakutaminisha weee mara empty kama ilivyokuwa MR SUNSHINE.
inaonekana hasira zako zilikuwa zaidi ya hasira za meok goo pindi anapokosa bakuli la wali na supu ulipokuwa unaiangalia mr sunshine.
teh teh teh teh
 
Hahahahahhaha muandishi wa mr sunshine shwainii zake kwa kweli alinikomoa vibaya mno.

Nshammiss meok goo na vituko vyake
hahahahhahaaaaaaaa
unataka kiss scene iwe tabu kupatikana kama timu pinzani inavyotafuta mpira pindi inapokutana na barcelona ya guardiola.
kibaya zaidi unakutana na muandishi aina ya kim eun sook ambaye anakutaminisha weee mara empty kama ilivyokuwa MR SUNSHINE.
inaonekana hasira zako zilikuwa zaidi ya hasira za meok goo pindi anapokosa bakuli la wali na supu ulipokuwa unaiangalia mr sunshine.
teh teh teh teh
 
Ooooopppssss finally nimeimaliza Dong Yi!
Jamani nimeliaje pale alipokuja kujengewa na wale masikini? (Final episode)
Hii drama ina mafunzo mengi sana kuliko nyingine zote nilizowahi kuziangalia.
Mali sio kitu bali utu

Tuko sawasawa ktk list,nimeinjoi sana couple ya King na Dong Yi. Na naweza kusema huyu ndiye mfalme bora kabisa ktk drama zote nilizoangalia. Jumong nilimkubali ila muandishi alinikera kwa kutokuwapa nafasi Jumong na Ye Soya.
Bora hii imekuwa na happy ending.
Nipe basi suggestion ya drama nyingine kali ya historical kama hii?
mi pia jumong ilinikera mwishoni haikua na happy ending
 
Aisee mkuu hiyo kitu naitafuta kwa hamu sana bila mafanikio yoyote yale. Damushin mzigo huu hapa.
Huu mzigo hauchok kuutazama maana yan kuna martial arts na panga za hatari
Kuna siku nilianza mida ya saa 4 iv usiku napiga next tu nashangaa mbona nje kweupe nan anamulika tochi natoka naona kote kweupe nachek muda saa 12 ilibd nicheke tu

Hii series naipa %150 ata ukiniambia ntaje playlists yangu
1.dae Jo young
2.dae Jo young
3.gwangaeto
4.jumong
5.emperor wang gun
 
third charm ni moja kati ya poor romantic comedy project niliowahi kuiangalia ndio maana sikuendelea nayo mbele baada ya kufika episode 4.
lakini niliwahi kusoma comment yako hapo nyuma ukisema ya kwamba unavutiwa sana na drama zenye kiss scene?
third charm ni full kiss scene sielewi Numbisa kwa nini haijakuvutia?
mwanadada esom kwake yeye kumbusu mwanamme inaonekana ni jambo la kawaida, inawezekana anapiga mswaki mara 10 kwa siku.
hahahahahahahaaaaaaaa
View attachment 958172
Mi ndomana Sikujishughurisha Kuiangalia.

Encounter Damushin Yaani Encounter Hii Drama Ni Ya Kufungia Huu Mwaka Yaani.

Kusema Ukweli Sijawahi Ona Drama Ya Hye Kyo Before Descendants Na Sijaona Drama Nyengine Ya Hye Kyo Kabla Ya Hii Encounter.

Kuna Mahala Ulishawahi Andika Kuwa Joong Ki Alipandishwa Kutoka Kivuli Cha Mke Wake Sikuwa Nimeelewa Ila Baada Ya Encounter Ndo Naelewa.

Hye Kyo Ni Level Za Ji Woon Hili Nalo Sikuwa Najua Ila Baada Ya Encounter Nimejua.

Umu Ndani Bo Gum Kafunikwa Hatari, Japo Uhusika Unamueleza Aigize Anavyoigiza Ila Anaelewa Ukubwa Wa Hye Kyo Ndomna Naona Ata heshima Ndani Ya Maigizo Yao Kwa Macho Yangu Lakini.

Asoiona Aitafute Naona Inakimbizana Na Last Empress kwa Ratings.

Inastahili Heshima Kiukweli.
 
49 Reactions
Reply
Back
Top Bottom