Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

23 November hadi 04 December ni takribani siku 13 sijaiona sura yako ya maandishi ndani ya familia hii ya JF rafiki:
Nitajilazimisha niamini ya kwamba upo hai na afya yako ni njema huko ulipo kwa sababu sitaki kusikia taarifa za huzuni zitakazotuvunja tuwe na huzuni sote humu ndani.
Tafadhali kama utauona ujumbe huu nijibu ye nae chingu (예 내 친구) ili khofu na mawazo yangu ya kijinga yaniondoke kwa sababu si kawaida yako kukaa muda mrefu bila ya kuona ujumbe wako humu ndani ndio maana nimejawa na woga fikra zisizokwisha.
  1. kama kuna tatizo basi Mungu ajaalie mipango yako yote ya kimaisha yafanikiwe na uondokane na matatizo yote yalio mbele yako na yajayo.na uendelee kutabasamu kama unavyosherehekea ushindi wa simba, manchester united au zaidi ya unapotabasamu pindi unapoangalia couple ya hye kyo na bo gum
  2. usiogope kusonga mbele rafiki, yajayo yanafurahisha, nimezowea neno hili unalitamka wewe kila mara ila leo nalazimika kutamka mimi bogoshipda
  3. kazi maalum hufanywa na watu maalum na wewe ni mmoja wapo, pia naamini Mungu ataendelea kutibu majeraha yako yote ya kila siku, tafadhali karibu tufunge mwaka baadae twenzetu songdo, busan au jeju japo kwa njia ya ndotoni.
  4. pindi unaposali kutoka ndani ya moyo wako basi Mungu huikubalia sala yako, kwa muda huu nasali nikimuomba Mungu ajaalie niione tena comment yako humu ndani.
  5. wewe ni shujaa ambaye hujawahi kupoteza pambano lolote lile, naamini utarudi tena muda mfupi ujao kwa nguvu ile ile niliyoizoea.
  6. nyakati kila siku zinabadilika na sisi tunabadilika, lakini jambo moja halibadiliki kiupande wangu nalo ni kukuheshimu.

aminas
 
imenilazimu niweke nyimbo mbili ili kuonyesha msisitizo, ni matumaini yangu hazitaleta athari yoyote ya fikra ovu humu ndani.
baek ji young a.k.a The Queen of o.s.t = see you again : mr sunshine drama
kim bum soo a.k.a the king of o.s.t = you leave me : emperor of the sea drama​

aminas

Sarangeho

Umenitoa Chozi Ma Lovely Chinguya Kweli Yaani.
 
Dah Ivi Unawazaga Nini Damushin
 
Nipo Dear!

Sema Mambo Tuh! Yananipa Wakati Mgumu, Yaani Mpka Najihisi Kuna Kitu Kinapungua!

Ila InshaAllah Mola Analeta Wepesi Mdogo Mdogo..
 
Sarangeho

Umenitoa Chozi Ma Lovely Chinguya Kweli Yaani.
nafahamu hilo hata kama usingeli respond neno chozi
unajua kwa sababu gani?
wenye maneno yao wanadai ya kwamba unaweza ukadanganya tabasamu ili uonekane umejawa na furaha haliyakuwa unasumbuliwa na maumivu makali ndani ya kiwiliwili chako kilicho hai, lakini ni vigumu kudanganya machozi yako ambayo ndiyo msingi wa hisia zako.
nimefurahi kukuona tena japo kwa njia ya keyboard.
 
Back
Top Bottom