UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,239
- 7,603
Watch Voice (Korean Drama) Episode 9 online at Dramanicewana jamvi naombeni msaada namna ya kudownload muvi za kikorea

mkuu nataka namna ya kupakua {kudownload} sio kuangalia online ,, site ipi naweza download
Mkuu hiyo site unaweza kudownload pia.mkuu nataka namna ya kupakua {kudownload} sio kuangalia online ,, site ipi naweza download
Tumia dramanice au dramacool,pia kama unatumia pc integrate idm,au tumia torch browser una download bila kutumia idmmkuu nataka namna ya kupakua {kudownload} sio kuangalia online ,, site ipi naweza download
Kuna two weeks, athena, 3 days, missing nor m, terius behind me,
Ingia my asian tv oi ila uwe na google chrome ni rahisi zaidiwana jamvi naombeni msaada namna ya kudownload muvi za kikorea
Last empress nzuriNataka nidownload The last empress na Devilish joy,aliyeziona vp ni nzuri?
Ngoja niipakue.Last empress nzuri
23 November hadi 04 December ni takribani siku 13 sijaiona sura yako ya maandishi ndani ya familia hii ya JF rafiki:
Nitajilazimisha niamini ya kwamba upo hai na afya yako ni njema huko ulipo kwa sababu sitaki kusikia taarifa za huzuni zitakazotuvunja tuwe na huzuni sote humu ndani.
Tafadhali kama utauona ujumbe huu nijibu ye nae chingu (예 내 친구) ili khofu na mawazo yangu ya kijinga yaniondoke kwa sababu si kawaida yako kukaa muda mrefu bila ya kuona ujumbe wako humu ndani ndio maana nimejawa na woga fikra zisizokwisha.
imenilazimu niweke nyimbo mbili ili kuonyesha msisitizo, ni matumaini yangu hazitaleta athari yoyote ya fikra ovu humu ndani.
- kama kuna tatizo basi Mungu ajaalie mipango yako yote ya kimaisha yafanikiwe na uondokane na matatizo yote yalio mbele yako na yajayo.na uendelee kutabasamu kama unavyosherehekea ushindi wa simba, manchester united au zaidi ya unapotabasamu pindi unapoangalia couple ya hye kyo na bo gum
- usiogope kusonga mbele rafiki, yajayo yanafurahisha, nimezowea neno hili unalitamka wewe kila mara ila leo nalazimika kutamka mimi bogoshipda
- kazi maalum hufanywa na watu maalum na wewe ni mmoja wapo, pia naamini Mungu ataendelea kutibu majeraha yako yote ya kila siku, tafadhali karibu tufunge mwaka baadae twenzetu songdo, busan au jeju japo kwa njia ya ndotoni.
- pindi unaposali kutoka ndani ya moyo wako basi Mungu huikubalia sala yako, kwa muda huu nasali nikimuomba Mungu ajaalie niione tena comment yako humu ndani.
- wewe ni shujaa ambaye hujawahi kupoteza pambano lolote lile, naamini utarudi tena muda mfupi ujao kwa nguvu ile ile niliyoizoea.
- nyakati kila siku zinabadilika na sisi tunabadilika, lakini jambo moja halibadiliki kiupande wangu nalo ni kukuheshimu.
baek ji young a.k.a The Queen of o.s.t = see you again : mr sunshine drama
kim bum soo a.k.a the king of o.s.t = you leave me : emperor of the sea drama
aminas

Nataka nidownload The last empress na Devilish joy,aliyeziona vp ni nzuri?
Bora ulivyoniambia nitaenda kudownload Telegram.Devilishi joy nzuri kiasi ila nilidownloadia dramania sijui wamerekodia simu ile ubora hafifu.
nafahamu hilo hata kama usingeli respond neno choziSarangeho
Umenitoa Chozi Ma Lovely Chinguya Kweli Yaani.