Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

THE LAST EMPRESS
kuna yeyote humu ndani aliyebahatika kuiangalia hii drama ambayo imeanza jumatano kupitia shirika la SBS?
jang nara pamoja na choi jin hyuk sunbaenim wamekutana tena kwa mara nyengine baada ya fated to love you drama.

kwa kiswahili changu ni kwamba hii drama inajaribu kuonesha maisha ya kisasa nchini korea lakini mfumo wa uongozi wa nchi hiyo ni wa kifalme kama ilivyokuwa nyakati za joseon (constitutional monarchy)
kuna musical actress ambaye jina lake ni min yoo ra ambaye baadae anakuwa ni mke wa mfalme lee hyuk. Maisha yake ndani ya familia ya kifalme yanakuja kuwa ndivyo sivyo baada ya kushutumiwa kuhusika na mauaji ya queen dowager.
je ni kipi kitatokezea ndani a familia hiyo kiukweli binafsi sifahamu ila nimeanza kuona dalili ya love triangle na mapemaaaa.

wang shik (choi jin hyuk) anaelekea kupokonywa tonge mdomoni na mfalme lee hyuk episode mbili za mwanzoni na huko mbeleni baada ya wang shik kufanyiwa mabadiliko ya sura nimeota atakuja kumchukua mke wa mfalme ambaye atakuwa ni jang nara.

mfalme atachukua maamuzi gani atakapogundua mke wake anatembea na mlinzi wake?
wang shik atalipiza kisasi baada ya kuuliwa mama yake mzazi na mfalme kwa ajali ya gari?

je yule binti aliyeamua kuvunja mahusiano na wang shik atajisikiaje pindi atakapogundua jamaa kabadilisha sura na amekuja kulipa kisasi kisiri ndani ya royal family
wenyewe wanadai anayechinja kwa upanga basi na yeye atakufa kwa upanga.
View attachment 944105
  1. Watch The Last Empress Episode 1 online at Dramanice
  2. Watch The Last Empress Episode 2 online at Dramanice
Sipati Picha Joseon Ingekuwepo Mpaka Leo!
 
wahudumu wa humu ndani naomba munitayarishie chupa 50 za soju tafadhali, nataka nilewe mpaka nitapike korosho za bwana amunike wa lesotho.
halafu pia naomba mara hii munichagulie nyinyi wadau drama za kuangalia hata kama ziwe zimeshapita na wakati, ni matumaini yangu sitakutana na balaa nililolishuhudia kwenye thread ya wapenzi wa series.
heheheheheeeeee niliomba websites ya kuangalia series mpaka leo ni mwezi wa pili sijapatiwa mpaka nikaingia mzigoni mwenyewe.
mhhhhhhhh kweli binadamu tunatofautiana.
wala musiogope jamani hakuna mtu aliyeangalia drama nzuri zote za wakorea.
acha leo nifunguke kabla ulevi haujatoka, niwe mkweli sijawahi kuziangalia drama zifuatazo japokuwa zinasifiwa na kila mdau
  • dong yi : hahahahahahaaaa munajuwa kwa nini sikuchangia comment zilizokuwa zinaisifia hii drama zikiongozwa na huyu ahjumma mtarajiwa miaka 30 ijayo XYZ,ni kwa sababu sikumbuki hata kama nilifika episode ya 5 ndio maana nikaufyata kimya.
  • jewel in the palace : hii hata siifahamu hata inavyoanza, kwani hizi drama tunajibia mtihani?
  • drama zote za ji sung ukiondoa the innocent defendant.
  • drama zote za ji chang wook ukiondoa K2.
kama mutashindwa ni bora niende kwa mchungaji au shekhe aniombee nipumzike kuangalia drama japo kwa wiki mbili (shetani wangu wa likizo amerudi tena).
namimi nahitaji kuona raha ya kujisikia kama anavyojisikia bibi yenu mtarajiwa.
  1. terius behind me drama = imeshamaliza
  2. the beauty inside drama = imeshamaliza
  3. room no 9 = itamaliza jumapili.
  4. where star land = huenda ikamaliza jumatatu
  5. bad papa = huenda ikamaliza jumanne.
kama mutashindwa kuniwekea japo drama 15 kwa kila mtu ili nichague nitahama mtaa wenu.
povu naruhusu siku ya leo.
ujumbe wa leo
Damushin hajawahi kuwa serious
Hiyo Dong Yi Iko Poa Sana Story Yake. Ila Usiiangalie Kama Hupendi Drama Ndefu Zenye Slow Story!

Duh! Kwa Ji Chang Wook Umecheki K2 Tu. Sishangai Sababu Drama Zipo Chungu Mbovu, Si Rahisi Kuangalia Zote Ilhali Kila Day Zinachomoka Mpya.

Ji Chang Wook Zipo Nyingine Nzuri Tu Alizo Feature Ukiacha Hiyo K2. Kama Vile;

Healer
Empress Ki
Suspicius Partner
Warrior Baek Dong Soo

Drama Nyingine Kali Na Sio Mbaya Kurudia Kama Tayari Umeshaiona!

Let's Fight Ghost
Kill Me Heal Me
Doctor Stranger
Shine Or Go Crazy
W Two Worlds
Come Back Mister
What Happens To My Family
Queen In Hyun's Man
Suspicius Housemaid
Cruel Palace
Night Watchman's Journal
 
Asante, nitaanza kufuatilia moja baada ya nyingine kati ya hizo.
 
Weekend nipo na:-

Time

Where stars land

Your house helper

Heart surgeons

Weekend ijayo

The beauty inside

Familiar wife

The third charm

The player

Oooh nikimaliza hizi ntaongeza list ila najua ushamaliza zote hizi. Nishtue ipi hapo haifai nisije unguza MB bure
The Player ipo vizuri nilishuka nayo jumla jumla kila katikati ya week iki updatiwa tu mpaka ikaisha
 
Let's Fight Ghost bonge la drama story nzuri sana.
Hiyo Dong Yi Iko Poa Sana Story Yake. Ila Usiiangalie Kama Hupendi Drama Ndefu Zenye Slow Story!

Duh! Kwa Ji Chang Wook Umecheki K2 Tu. Sishangai Sababu Drama Zipo Chungu Mbovu, Si Rahisi Kuangalia Zote Ilhali Kila Day Zinachomoka Mpya.

Ji Chang Wook Zipo Nyingine Nzuri Tu Alizo Feature Ukiacha Hiyo K2. Kama Vile;

Healer
Empress Ki
Suspicius Partner
Warrior Baek Dong Soo

Drama Nyingine Kali Na Sio Mbaya Kurudia Kama Tayari Umeshaiona!

Let's Fight Ghost
Kill Me Heal Me
Doctor Stranger
Shine Or Go Crazy
W Two Worlds
Come Back Mister
What Happens To My Family
Queen In Hyun's Man
Suspicius Housemaid
Cruel Palace
Night Watchman's Journal
 
Kheri ya mwezi mpya wa December chingus, Mungu atujaalie uwe ni mwezi uliojaa baraka na neema zinazozidi uzito wa vijisenti trillioni 1.5 kwa kila mdau humu ndani.
kwa nini December kiupande wangu?
  1. ndio mwezi wa mwisho wa mwaka huu 2018.
  2. waumini wa imani ya ukristo duniani husherehekea kuzaliwa kwa mtakatifu wao aliyetakasika kuliko kiumbe yeyote aliyezaliwa na mwanamke.
  3. huyu lofa aliyeandika ujumbe huu atatimiza mwaka wa 3 tokea awe mwanachama wa JF ifikapo 15/12/2018 endapo atakuwa na uhai.
  4. na kama mambo yataendelea kuwa mazuri basi inshaalllah kama ilivyokuwa mwaka jana tutapeana updates za tunzo zitakazo fanyika mwishoni mwa mwezi huu kupitia mashirika ya KBS, SBS na MBC drama awards .Hili litawezekana kama mtandao wa soompi watakuwa live.
natumai bado tunakumbuka kilichotokezea mwaka 2017.
  • SBS drama awards: muigizaji bora wa mwaka alikuwa ni JI SUNG kupitia drama ya INNOCENT DEFENDENT.
  • MBC drama awards: muigizaji bora alikuwa ni mzee Kim Sang Joong kupitia drama ya the rebel thief who stole the people.
  • KBS drama awards:washindi walikuwa ni mzee cheon ho jin kupitia family drama inayoitwa my golden life na mzee kim young chul kupitia family drama inayoitwa father is strange.
nimalizie kwa kumtakia kheri ya kuzaliwa Khantwe, nilitaka niwe mtu wa mwisho kumtumia ujumbe utakaomjaza furaha lakini cha ajabu kila ninapotembelea jukwaa la chit chat nakuta bado watu wanaendelea kumtumia jumbe za pongezi huyu ahjumma mtarajiwa.
nimebaki najiuliza maswali yasio na majibu kama uchumi wa Afrika.

hivi huyu mwanamke ni mtakatifu sana anayemkaribia bikira maria aliyemzaa yesu kristo?

hivi huyu mwanamke utakatifu wake anamkaribia khadija yule mke wa mtume wa waislamu?

sidhani kama anawafikia hao japo kwa 40% bali silaha yake kubwa ni kuishi na watu wote humu ndani kwa upendo na hekima zinazoendana na lugha inayopendeza kutumika kwa rika lolote lile.
kumbe mwanzoni nilikuwa nafanya makosa nilipokuwa naogopa kunukuu hata comment yake pindi alipokuwa anatoa mchango wake humu ndani kwa kudhani ni goi goi.
naomba unisamehe noona kwa ujinga wangu.​
naamini kupitia thread hii nitatimiza ndoto yangu ya kuwa wa mwisho kumtakia kheri ya kuzaliwa.

sitaki stori za wakorea siku ya leo kwa sababu bado nina hasira na jose mourinho na watoto wake wazembe.
 
Wakuu mimi napenda sana series za action kama 24hrs ya jack bawa, na na zile iris 1 na 2........kiufupi Napenda action zenye kuonyesha system ya uongozi kama maraisi nk na ulinzi wao na changamoto pia........ So nataka kurudi koreans kwa mwenye kujua series zenye hayo mambo tafadhali
 
Kheri ya mwezi mpya wa December chingus, Mungu atujaalie uwe ni mwezi uliojaa baraka na neema zinazozidi uzito wa vijisenti trillioni 1.5 kwa kila mdau humu ndani.
kwa nini December kiupande wangu?
  1. ndio mwezi wa mwisho wa mwaka huu 2018.
  2. waumini wa imani ya ukristo duniani husherehekea kuzaliwa kwa mtakatifu wao aliyetakasika kuliko kiumbe yeyote aliyezaliwa na mwanamke.
  3. huyu lofa aliyeandika ujumbe huu atatimiza mwaka wa 3 tokea awe mwanachama wa JF ifikapo 15/12/2018 endapo atakuwa na uhai.
  4. na kama mambo yataendelea kuwa mazuri basi inshaalllah kama ilivyokuwa mwaka jana tutapeana updates za tunzo zitakazo fanyika mwishoni mwa mwezi huu kupitia mashirika ya KBS, SBS na MBC drama awards .Hili litawezekana kama mtandao wa soompi watakuwa live.
natumai bado tunakumbuka kilichotokezea mwaka 2017.
  • SBS drama awards: muigizaji bora wa mwaka alikuwa ni JI SUNG kupitia drama ya INNOCENT DEFENDENT.
  • MBC drama awards: muigizaji bora alikuwa ni mzee Kim Sang Joong kupitia drama ya the rebel thief who stole the people.
  • KBS drama awards:washindi walikuwa ni mzee cheon ho jin kupitia family drama inayoitwa my golden life na mzee kim young chul kupitia family drama inayoitwa father is strange.
nimalizie kwa kumtakia kheri ya kuzaliwa Khantwe, nilitaka niwe mtu wa mwisho kumtumia ujumbe utakaomjaza furaha lakini cha ajabu kila ninapotembelea jukwaa la chit chat nakuta bado watu wanaendelea kumtumia jumbe za pongezi huyu ahjumma mtarajiwa.
nimebaki najiuliza maswali yasio na majibu kama uchumi wa Afrika.

hivi huyu mwanamke ni mtakatifu sana anayemkaribia bikira maria aliyemzaa yesu kristo?

hivi huyu mwanamke utakatifu wake anamkaribia khadija yule mke wa mtume wa waislamu?

sidhani kama anawafikia hao japo kwa 40% bali silaha yake kubwa ni kuishi na watu wote humu ndani kwa upendo na hekima zinazoendana na lugha inayopendeza kutumika kwa rika lolote lile.
kumbe mwanzoni nilikuwa nafanya makosa nilipokuwa naogopa kunukuu hata comment yake pindi alipokuwa anatoa mchango wake humu ndani kwa kudhani ni goi goi.
naomba unisamehe noona kwa ujinga wangu.​
naamini kupitia thread hii nitatimiza ndoto yangu ya kuwa wa mwisho kumtakia kheri ya kuzaliwa.

sitaki stori za wakorea siku ya leo kwa sababu bado nina hasira na jose mourinho na watoto wake wazembe.
Daah ilikuwaje sikuona hii jamani..asante sana sunbae sio kwa maneno haya mazito yaliyoniacha mdomo wazi. Nimekuwa mvivu wa kupita jukwaa hili kwa kuwa sina access ya kdrama kwa sasa kwa hiyo yanayoongelewa mitaa hii yote mapya kwangu naishia tu kuumia roho... Mungu akubariki na akuongezee siku tuendelee kufaidi hekima zako maana kwa hekima hata sisi wahenga umetuacha mbali sana
 
49 Reactions
Reply
Back
Top Bottom