Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nimekuwa mpenzi mkubwa sana wa Korean Historical Drama...
Kwakweli huwa navutiwa sana nikiziangalia...
Historical Drama ambazo nimefanikiwa kuzitazama mpaka sasa ni;

  • Jumong
  • Land of wind
  • Emperor of the sea
  • Dream of the emperor
  • God of war
  • Kim Soo Ro
  • Gye Baek
  • Dae Jo Yeong
  • Gu Family Book
  • Warrior Baek Dong Soo
  • Slave Hunter
  • King Gwanggaeto
Kama kuna Korean Historical Drama kali ambayo umeshaitazama na sijaitaja hapo juu itaje tafadhali ili niitafute..!
Empress ki,legend of the blue sea,dong yi
 
siku kama ya jana ya tarehe 15/03/2008 song il kook mmoja kati ya waigizaji walionifanya nipende kufuatilia maisha ya korean hallyu star alifunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu anayejulikana kwa jina la Jung seong yeon ambapo ndoa yao ilikuwa ya kitamaduni ilikuwa ni miezi michache kabla ya song il kook hajaelekea China kwa ajili ya kushoot drama ya kingdom of the wind ambapo alicheza uhusika wa prince muhyool (king damushin muhyool), uhusiano wao ulianza 2006 wakati song il kook akiendelea kushoot drama ya jumong ambayo ilikuwa ni maarufu kipindi hicho na mwanadada jung seong yeon ambaye kitaaluma ni mwanasheria ambaye kwa mujibu wa kituo cha television ya Tvn "the list 2015" alishika nafasi ya pili ya wanawake wenye mafanikio ambao waliofunga ndoa na celebrities wa kiume nchini korea. rekodi zake zinaonesha alikuwa ni miongoni mwa wanafunzi wenye matokeo bora sana katika kitivo cha sheria kwenye chuo kikuu cha Seol National university ambapo alisoma Master na kutunukiwa heshima ya udaktari akiwa na miaka 33. kwa sasa ni jaji wa Incheon District Court.
View attachment 481892View attachment 481893
images

siku kama ya leo 16/03/2012 wakati akiwa katika majukumu yake ya kazi ya uigizaji wa drama ya Fermentation family (kimchi family) alipata taarifa ya kwamba mke wake amejifungua watoto 3 wa kiume na kuamua kufuata ushauri wa mama yake Kim eul dong akawaita majina ya :
daehan = jamhuri (republic) : ndie wa kwanza kuzaliwa na ni mwajibikaji,ana aibu kama baba yake,ni handsome kama baba yake na ana matatizo ya macho kama baba yake.anapenda kupiga picha kama baba yake
minguk = korea : ni mcheshi sana (cute), ana akili sana kama mama yake na ana penda sana kuimba
manse = long life (hurray) idumu milele : msumbufu sana na ni free spirit,anapenda kula kama baba yake.
images
images
daehan-minguk-manse1.png
images


leo wametimiza miaka 5 ya kuzaliwa sina budi kuwatakia heri ya kuzaliwa;
pia sina budi kuwatakia wazee wao heri ya kutimiza miaka 9 ya ndoa yao siku ya jana.
View attachment 482007
images

images
View attachment 482008
hii ni moja kati ya familia bora kuwahi kuishuhudia.kila siku namuomba Mungu anijaalie nije niwe baba bora kama Song Il Kook na pia nipate mke bora kama Jung Seong Yeon.
images
images
images
Bxzaie7CEAAuuHS.jpg
201510140925322510_1.jpg
images
images

nilitamani muendelee kuwepo kwenye show ya return of superman ila nitaendelea kuheshimu maamuzi yenu. nilijifunza mambo mengi sana.

54a6cff942eed3563b0716efd44e2c87.jpg

mwishoni mwa mwaka 2014 song il kook aliamua kutengeneza calendar za 2015 kwa kutumia picha za watoto wake kwa jinsi walivyokuwa maarufu ndani ya masaa 24 aliuza copy 100000 ambazo ilikuwa ni sawa na (687 million won, au $625,000 USD.) ila aliamua pesa zote kuzipeleka kwenye charity

pia kwa mujibu wa apple daily mnamo mwaka 2015 song triplets waliingia kwenye top 5 ya celebrities wanaotengeneza hela nyingi nchini korea kupitia matangazo ambapo walilipwa takribani (usd$ 4.26million) wakiwa na miaka 3 tu.

Saengil chukahamnida -happy birthday to you
Saengil chukahamnida -happy birthday to you
Saranghaneun (daehan, minguk,manse) happy birthday dear (daehan,minguk,manse)
Saengil chukahamnida
Mkuu upo vizuri sana
 
Nimetoka kuangalia The legend of the blue sea... Ya Lee Min Ho! Yaani ni love story na kucheka juu! Kwa wapenzi wa mysteries za mermaids!
 
----The accidental couple... Yaani hawa walikosea kabisaaa kuoana
----Fashion king... Mwisho wake sijaupenda ila ni nzuri
----Boys over flowers... Baba lao la love stories
----My girlfriend is a guminho... Mysteries! Mkaka kapendana na eight tailed fox anaejigeuza kua human with supernatural powers
----Full house... I love it. Mdada kasafiri kakuta nyumba yao imeuzwa kwa star ikagoma kuondoka so wakaanza ishi pamoja... Its nice! Ishu za contract marriage
----Bridal mask... Its nice ila sio mjini kivilee! Ishu za vigilante
----I am sam... Setting yake ni shuleni... Kuna mwalimu mjinga sana
----Dream High... Struggles in a music school
----To the beautiful you... Its cute
----Stairway to heaven... Ishu za mama wa kambo! Itakuliza
----Secret garden... Love story between a rich guy and a poor girl. A girl hakujua kwamba the guy is rich.
----Roof top prince... Imechanganyika na uzamani kidogo sana.

TO BE CONTINUED
 
Naomba mwenye link ya series moja inaitwa secret mission nimetafuta Google mpaka YouTube haipo
 
Back
Top Bottom