Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Happy Maulid Day.

Sijawai Kua Excited Na Kiss Scenes Kwenye Drama Tangu Nianze Kufatilia KDrama Kama Nilivyokua Kwenye Hii Lost Drama.

Mara Nyingi Nakuaga Shabiki Wa Couples Hasa Kwenye Dong Yi Ndo Nilikua Shabiki Hasa Wa Wale Main Lead Kama Nilivyo Shabiki Kindaki Ndaki Wa (Simba).

Ila Kwenye Hii Drama Nilitamni Sana Kuona Hawa Main Lead Wakiingia Kwenye Mahusiano Na Ata Kuona Kiss Scene, Baada Ya Episode 13 Hatimaye Ya 14 Tena Dakika Za Mwisho Ndo Natazama Kiss Scene Nilivyoruka Na Kushangilia Mpaka Nikajiona Ndezi Lol!

Wokorea acknowledgment Wanayopata Sasa Wanahaki Nayo Tena Zaidi Ya Hii Wanastahili, Na Kitu Ambacho Mara Nyingi Tunaandika Umu Na Ni Kitu Walichokitengeza Kwa Muda Mrefu Sana Acheni Kiwalipe.

Natamni Nchi Yangu Ingekua Ata Robo Ya Hivi Ila Hmm! Lakini Labda Vitukuu Vyetu Vitashuhudia Japo Sioni Dalili Hiyo.

Wameichagua Sanaa Na Sasa Inawapaisha Kimataifa Wakachagua tena Kwa Lugha Yao Na Kwa Stahili yao Na Wengi Wakibeza Namna Ya Sanaa Na Utamaduni Wao Ulivyo Ama Wanavyofanya Ila Hawakubadirika Kuendana Na Watu Ila Watu Wamebadirika Kuendana Nao Leo Ukiingia Netflix Kdrama Zimejaa Kwa Lugha Yao Sasa Watu Wengi Wanajifunza Kikorea Ili Kuendana Nao.

Inawezekana Kumbe Bila Ata Kuiga Vya Watu Au Kuiga Kama Wanavyofanya Mataifa Mengine.

Tanzania Yangu Hii Sector Inaajiri Watu Wengi Sana Mngetazama Na Huku Jamni. Wekeni Mkono Wenu Uku Rahisisheni Upatikanaji Wa Wawekezaji Msaidie Tatizo La Ajira Hii Sector Ina Ela Jamni Itasaidia Vijana Wengi Hasa Wenye Vipaji.
Itapunguza Ata Izi Tozo Mnazotuwekee Kila Leo Kila Kona Mnatuumiza Kwa Matozo Na Bila Ata Kuangalia Namna Bora Ya Kufanya Wananchi Wenu Kutengeneza Vipato.
Mnamuangalia Uyu Mtu Mmoja tu Muajiriwa Makodi Kibao Unampaa Na Bado Tozo Kibao Unamuwekea Na Bado Vitu Bei Unampandishia Anaenda Wapi Na Apa Bado Hospitalini Kila Kitu Ela Hii Nchi Mhhh!
 
Nani ameshaianza series ya Joseon Exorcist? Ni ongoing na nimeangalia synopsis yake inashawishi, nataka niivute nikamalizana na THE KINGDOM. Wazoefu naombeni mtie neno.

Currently watching:-

THE VEIL
KINGDOM

Mnaziangaliaga wapi jamani

Nimezitafuta sana wapi..... youtube hamna kitu

wapi naeza watch drama pls
 
kim seon ho a.k.a chief hong ana wakati mgumu sana muda huu
kuna binti anadai ya kwamba huyo bwana chief hana wema wala utakatifu bali ni tapeli tu,
amempa mimba halafu akamwambia atoe mimba huku akimdanganya ya kwamba atamuoa, yote hayo lengo kuu ni kuilinda career yake ya sanaa ambayo imeanza kumletea matunda kwa miaka ya karibuni (mahela ya matangazo kama yote yaniii)
bwana chief akamwambia binti kama atazaa kwa sasa itamlazimu alipe fidia ya won millioni 900, bwana chief unaambiwa kamtumia binti won millioni 2 kwa ajili ya kufanyia abortion

ebwana weee tiririkeni wenyewe na kiingilishi chenu.
mimi nina hasira baada ya kupigwa ngumi nzito na halotel
nafikiria kujiuzulu hapaaa lakini ndio hivyo shetani kashanionyesha mwili wake wote, sijui kama nitaweza kumuacha binti huyu
===============

A netizen claiming to be actor K's ex-girlfriend claims K forced her to have an abortion​

The writer of the post, referred to as A, stated that she had dated the actor until they broke up over four months ago and called him a “piece of trash without the slightest conscience or sense of guilt.” She claimed that when she became pregnant with K’s child, he forced her into having an abortion.

“He made me abort my precious baby on the false promise of marriage, and he forced me to make the sacrifice because he was sensitive when working on a project and because he was a star. I am going through severe psychological and physical trauma due to this,” A explained.

She continued, “Because of his difficult upbringing, he has a tremendous obsession with money. He is always obsessing over success and took the sacrifices of those around him for granted. I thought he would treat me differently, but even after we broke up, he was just busy filming commercials and had no apology or remorse.”

A said, “K told me, ‘If I have a child now, I have to pay 900 million won (approximately $760,135) in damages. But I don’t have 900 million won right now.’ It turned out that he didn’t have to pay a penalty of 900 million won, but he was coercing me to get an abortion with a lie.” She also shared, “He promised to marry me after two years. He proposed that we live together starting next year.”

A ended up having the abortion, and according to her, K had sent her only 2 million won (approximately $1,690) for the surgery and hospital fees. She shared, “I didn’t threaten, complain, or resent him for that. I was just scared that there would be a rupture between us as he’s very sensitive.”

A explained that an entertainment news outlet then found out about their relationship, and K broke up with her through a phone call. She wrote, “He had promised to marry me and even coerced me to have the abortion. I told him to remember what kind of relationship we had and asked how he could break up with me on the phone like this, crying, and he got all worked up and said to me that he may have paparazzis on him and meeting up for the last time could harm him in terms of money and fame.”

“I moved houses without anyone knowing despite having to pay the real estate expenses and a penalty for breach of contract, I changed my license plate, and matched everything to him. I hope that he’s at least feeling regretful about irresponsibly throwing me and his dog away.”

A explained that she had not uploaded photos or evidence to back up her claims due to legal concerns but was contemplating doing so.

After the post gained traction, people began to speculate that the actor in question could be Kim Seon Ho.
20211019000318_0.jpg
 
Kim Seon Ho’s agency released the following statement.

Hello.

This is Kim Seon Ho’s agency Salt Entertainment.

We sincerely apologize for not having been able to issue a quicker response.

We are currently checking the factual grounds of the anonymous post.

As the facts have not been cleared up yet, we earnestly ask you to wait a bit longer.

We apologize for worrying you with an unpleasant issue.
====================

hii ngoma ni nzito mnooo, kwa mujibu wa responding yao

nimeikumbuka ile kauli, wanaume wote mbwaaaaaa
akaulizwa na baba yako pia?
hivi alijibu???????
 
waliofunga naye mikataba ya kibiashara wameanza kumkimbia
=============

Actor Kim Seon-ho ads taken down amid controversy​

While Kim and his agency, Salt Entertainment, stayed mum on the issue, advertisers quickly began taking down ads starring Kim.

Domino’s Pizza Korea took down ads and commercials starring Kim. Kim has also been removed from Domino‘s Pizza Korea’s official social media channels.

Canon Korea and food company Food Bucket have also taken down images and posts featuring Kim from their SNS accounts.

Meanwhile a statement was post online Monday by a group claiming to be Kim’s fans, asking the public to refrain from raising and spreading reckless speculation.

The statement also threatened legal action against spreading falsehoods and defamation.

On Tuesday morning, Salt Entertainment, in an email sent to reporters, said that the company was checking the facts surrounding the post uploaded Sunday.

Later Tuesday morning, the agency announced the cancellation of Kim‘s interviews with the press. Kim was scheduled to hold a press conference on Wednesday following the conclusion of the tvN‘s hit Saturday-Sunday drama “Hometown Cha-Cha-Cha” on Sunday.

Kim was scheduled to hold a press conference on Wednesday following the conclusion of the tvN‘s hit Saturday-Sunday drama “Hometown Cha-Cha-Cha” on Sunday.

The 35-year-old starred as Hong Du-sik in the drama series that ranked at seventh place among TV shows on Netflix worldwide as of Monday.
 
kim seon ho a.k.a chief hong ana wakati mgumu sana muda huu
kuna binti anadai ya kwamba huyo bwana chief hana wema wala utakatifu bali ni tapeli tu,
amempa mimba halafu akamwambia atoe mimba huku akimdanganya ya kwamba atamuoa, yote hayo lengo kuu ni kuilinda career yake ya sanaa ambayo imeanza kumletea matunda kwa miaka ya karibuni (mahela ya matangazo kama yote yaniii)
bwana chief akamwambia binti kama atazaa kwa sasa itamlazimu alipe fidia ya won millioni 900, bwana chief unaambiwa kamtumia binti won millioni 2 kwa ajili ya kufanyia abortion

ebwana weee tiririkeni wenyewe na kiingilishi chenu.
mimi nina hasira baada ya kupigwa ngumi nzito na halotel
nafikiria kujiuzulu hapaaa lakini ndio hivyo shetani kashanionyesha mwili wake wote, sijui kama nitaweza kumuacha binti huyu
===============

A netizen claiming to be actor K's ex-girlfriend claims K forced her to have an abortion​

The writer of the post, referred to as A, stated that she had dated the actor until they broke up over four months ago and called him a “piece of trash without the slightest conscience or sense of guilt.” She claimed that when she became pregnant with K’s child, he forced her into having an abortion.

“He made me abort my precious baby on the false promise of marriage, and he forced me to make the sacrifice because he was sensitive when working on a project and because he was a star. I am going through severe psychological and physical trauma due to this,” A explained.

She continued, “Because of his difficult upbringing, he has a tremendous obsession with money. He is always obsessing over success and took the sacrifices of those around him for granted. I thought he would treat me differently, but even after we broke up, he was just busy filming commercials and had no apology or remorse.”

A said, “K told me, ‘If I have a child now, I have to pay 900 million won (approximately $760,135) in damages. But I don’t have 900 million won right now.’ It turned out that he didn’t have to pay a penalty of 900 million won, but he was coercing me to get an abortion with a lie.” She also shared, “He promised to marry me after two years. He proposed that we live together starting next year.”

A ended up having the abortion, and according to her, K had sent her only 2 million won (approximately $1,690) for the surgery and hospital fees. She shared, “I didn’t threaten, complain, or resent him for that. I was just scared that there would be a rupture between us as he’s very sensitive.”

A explained that an entertainment news outlet then found out about their relationship, and K broke up with her through a phone call. She wrote, “He had promised to marry me and even coerced me to have the abortion. I told him to remember what kind of relationship we had and asked how he could break up with me on the phone like this, crying, and he got all worked up and said to me that he may have paparazzis on him and meeting up for the last time could harm him in terms of money and fame.”

“I moved houses without anyone knowing despite having to pay the real estate expenses and a penalty for breach of contract, I changed my license plate, and matched everything to him. I hope that he’s at least feeling regretful about irresponsibly throwing me and his dog away.”

A explained that she had not uploaded photos or evidence to back up her claims due to legal concerns but was contemplating doing so.

After the post gained traction, people began to speculate that the actor in question could be Kim Seon Ho.
20211019000318_0.jpg
Kwahiyo huyu dogo ana miaka 35? Kweli tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa wenzetu.
 
Back
Top Bottom