Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kazz0

Kazz0

Member
Joined
Mar 15, 2015
Messages
48
Points
95
Kazz0

Kazz0

Member
Joined Mar 15, 2015
48 95
Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.

Tuambiane;

- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?

- Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')

-Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?

Pia:

- Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?

- Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?

- Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?

- Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)

*Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!

Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!

=========

Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;

Be Strong Geum Soon

Princess Ja Myung Go

THREE DAYS (2014)

Swallow the Sun

Jumong

King Guenchoggo

=====

Links za ku-download drama za Kikorea;

- Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
- GoodDrama.Net

======

Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread)
..

Kazi kwako.. Enjoy!
 
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
6,345
Points
2,000
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
6,345 2,000
Kwani Nawewe Baharia!?? Najua Huezi Fanya Ivyo Ingekua Ivyo Tungekua Kule PM.
naomba tupumzike kwanza mpaka baadae.
mbavu zangu zitavunjika kwa kucheka ovyo kibaya zaidi nipo mbele ya watu ninaowaheshimu muda huu.
 
aminas

aminas

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2015
Messages
3,132
Points
2,000
aminas

aminas

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2015
3,132 2,000
naomba tupumzike kwanza mpaka baadae.
mbavu zangu zitavunjika kwa kucheka ovyo kibaya zaidi nipo mbele ya watu ninaowaheshimu muda huu.
Kama Nawewe Baharia Usemee Maana Naona Ndo Chama Lenu Ilo Jipya!

Kama Yule Baharia Wanamuita 7800 Usifike Uku Pleeezz.
 
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
6,345
Points
2,000
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
6,345 2,000
Kama Nawewe Baharia Usemee Maana Naona Ndo Chama Lenu Ilo Jipya!

Kama Yule Baharia Wanamuita 7800 Usifike Uku Pleeezz.
ila yule mwanamke ndie aliyekosea, alipaswa atafute suluhu na baharia wake huko huko walikofahamiana mwanzo (PM)
 
daemusin huyu porojo unayemuona humu ndani hafanani kabisa na yule aliye nje ya JF.
hafanani kabisa.

hayo maneno (hafanani kabisa) yakumbuke kuanzia leo
 
aminas

aminas

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2015
Messages
3,132
Points
2,000
aminas

aminas

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2015
3,132 2,000
ila yule mwanamke ndie aliyekosea, alipaswa atafute suluhu na baharia wake huko huko walikofahamiana mwanzo (PM)
Hahahaha! Wote Itakua Nimabaharia!

Kumbe Unapitaga Uko, Kuna Siku nilikua Napitia Uzi Mmoja Ivyi Nikaona Comment Yako Nilibaki Kucheka Tu.
 
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
6,345
Points
2,000
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
6,345 2,000
Hahahaha! Wote Itakua Nimabaharia!

Kumbe Unapitaga Uko, Kuna Siku nilikua Napitia Uzi Mmoja Ivyi Nikaona Comment Yako Nilibaki Kucheka Tu.
teh teh teh. :( :(
kuna watu hii sehemu nilipo wanahisi nimeshanganyikiwa.
hapa nilipo hospitali ya mnazi mmoja ipo karibu huenda nikapekwa huko kupimwa akili

hahahahahahaaaa
tufunge mjadala mpaka muda mwengine.
nitakuletea stori za tagon, eunseom na wale wahuni waliopaka rangi usoni kama wacheza ngoma za uchawini.
 
aminas

aminas

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2015
Messages
3,132
Points
2,000
aminas

aminas

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2015
3,132 2,000
teh teh teh. :( :(
kuna watu hii sehemu nilipo wanahisi nimeshanganyikiwa.
hapa nilipo hospitali ya mnazi mmoja ipo karibu huenda nikapekwa huko kupimwa akili

hahahahahahaaaa
tufunge mjadala mpaka muda mwengine.
nitakuletea stori za tagon, eunseom na wale wahuni waliopaka rangi usoni kama wacheza ngoma za uchawini.
Hahahhahaa. Kama Yule Muhuni Aloongozana Na Eunseom Kwenda Kwa Hao Mabaharia Yaani Yule Ndo Baharia Kabisaa.
 
Nimependa Saya Anavyomuaangalia Tanya.. (Siri Yako Usiseme)
 
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
6,345
Points
2,000
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
6,345 2,000
Hahahhahaa. Kama Yule Muhuni Aloongozana Na Eunseom Kwenda Kwa Hao Mabaharia Yaani Yule Ndo Baharia Kabisaa.
yule amezidiiii
ndani ya dakika moja anaweza kukusaliti mara 10.
yule si baharia bali ni mzamia lulu
 
aminas

aminas

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2015
Messages
3,132
Points
2,000
aminas

aminas

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2015
3,132 2,000
teh teh teh. :( :(
kuna watu hii sehemu nilipo wanahisi nimeshanganyikiwa.
hapa nilipo hospitali ya mnazi mmoja ipo karibu huenda nikapekwa huko kupimwa akili

hahahahahahaaaa
tufunge mjadala mpaka muda mwengine.
nitakuletea stori za tagon, eunseom na wale wahuni waliopaka rangi usoni kama wacheza ngoma za uchawini.
Watakavyo Kubebe kukuingiza Umo Mnazi Nijulishe, Niweke Tangazo Umu.
 
Forum statistics

Threads 1,336,612
Members 512,670
Posts 32,545,204
Top