Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Arthdal chronicles ep 7

Tagon ni mwanadamu mwenye tabia na mipango ya kishetani ndio maana si ajabu kukuta baba yake alitamani kumuua ili jinamizi la kumzaa muhuni atakayeleta mtafaruku kwenye ardhi ya arthdal limuondokee, kinyume chake tagon kwa mara nyengine alimaliza uhai wa mzee wake mwengine baada ya kumuua mama yake hapo mwanzoni.

moja kati ya sifa kubwa ya igutu ni uwezo wao wa kujifunza kwa haraka sana pamoja na kuyazoea mazingira mageni kwa muda mfupi ndio maana si ajabu kumuona eunseom (song joong ki) anaweza kupigana kwa kutumia zana zilizotengenezwa kwa chuma eg panga, shoka haliyakuwa kwa miaka 20 ya kuzaliwa kwake hajawahi kuzishuhudia machoni mwake, si hivyo tu eunseom pia ana uwezo mkubwa wa kuendesha farasi haliyakuwa watu wa kabila la wahan kiupande wao wanamchukulia farasi kama ni kiumbe mfano wa kuku (hawamtumii kwa usafiri).
View attachment 1136289
ndio maana pia si ajabu kumshuhudia saya (song joong ki) na yeye akiwa na chembe chembe za ukatili ambazo amejifunzia kutoka kwa Tagon anayemchukulia kama ni baba yake pamoja na Tanya ambaye anamchukulia ni kama mlezi wake (mama)
wote wawili hawaoni tabia kutoa uhai wa mtu anayewaekea kikwazo kwenye njia zao za kuyatafuta mafanikio yao ya kuitawala ardhi ya arthdal.

ninachokiona ni kitendo cha sanya kutaka kumtumia mwanadada tanya ili atimize malengo yake kama ilivyo tagon anavyomtumia taelha, na wakati huo huo tanya atataka kumtumia sanya kwa sababu tanya anamfahamu sanya kupitia ndoto alizokuwa anaziota eunseom (sijajua kama sanya na yeye ana uwezo wa kuona matukio ya mbeleni kwa njia ya ndoto kama ilivyo kwa mdogo wake eunseom)

sanya ndio kikoo kilichotabiriwa so that sijui kioo hicho kitatumika vipi:
je atakuwa kioo kwa kumsaidia tagon atimize ndoto yake ya kuiendesha dunia atakavyo huku akimsubiria baba yake amrithishe madaraka pindi tagon atakapochoka au kioo hicho kitabeba sifa ya mapinduzi ya kumuondoa nguvuni tagon na hatimaye sanya kujimilikisha madaraka ya arthdal.
si tunafahamu karma is bitch,
kama ilivyo tagon alivyomtoa uhai baba yake je na sanya atamtoa uhai bwana tagon?
tusisahau tagon ndiye aliongoza kampeni ya kumuua ragaz ambaye ni baba mzazi wa eunseom na sanya pamoja na mauaji ya kizazi kizima cha neandthal species.

sifikirii kama mapacha eunseom na sanya wataungana kwa pamoja kwa sababu ni watu waliokuzwa mazingira tofauti ya kitabia, mmoja anawajali wananchi wanaonyanyaswa na mmoja amekulia nyumba ya shetani mwenye kupenda harufu ya damu ya wanaonyanyaswa.

kongole kwa song joong ki kwa kutuonyesha sura mbili zenye kutofautiana kimatendo kwenye kiwiliwili kimoja.
View attachment 1136291

  1. https://www2.ondramanice.tv/drama/the-chronicles-of-aseudal-detail
  2. https://kissasian.sh/Drama/Arthdal-Chronicles
Hivi kuna drama inayomuhusu Dangun Wanggeom?!, Nasikia alikuwa si Binadamu.
 
Kwahiyo hakuna taarifa rasmi kuhusu uwepo wake sio?!
taarifa zake zipo lakini ukisoma habari za chimbuko lake zinataka fikra pana kuzielewa,
mara mtoto wa mungu upepo
mara mama yake ni bibi mbweha

ukiangalia arthdal chronicles inafanana kwa asilimia fulani na mythical historia ya gojoseon.
mythical historia asadal ndio mji mkuu wa kwanza wa gojoseon.
drama inaitwa arthdal ambayo pia ni ardhi ya kusadikika kuwepo kwake.
 
taarifa zake zipo lakini ukisoma habari za chimbuko lake zinataka fikra pana kuzielewa,
mara mtoto wa mungu upepo
mara mama yake ni bibi mbweha

ukiangalia arthdal chronicles inafanana kwa asilimia fulani na mythical historia ya gojoseon.
mythical historia asadal ndio mji mkuu wa kwanza wa gojoseon.
drama inaitwa arthdal ambayo pia ni ardhi ya kusadikika kuwepo kwake.
Daah! Ipo dramanice?!
 
Wakuu habarini, samahani naomba kwa aliyewahi kuangalia series ya Love Lies anisaidie kunikumbusha ni Episode ya ngapi Jin Yuan alikutana na Uncle Kun kwa mara ya kwanza
 
Screenshot_2019-06-26-21-11-43.png
@Daemushin hiyo drama ni nzuri inaitwa Teas of the Dragon, ilitoka mwaka 1996. Inaelezea kuanzishwa kwa Joseon mpaka kwa mfalme Sejong.
 
jamani nilikuwa nje ya ulimwengu wa korean entertainment kwa takribani siku nne, nilipoingia soompi muda huu nimekutana na habari zinazoendelea kutrend tokea jana.

sijui hata nimlaumu nani


Breaking: Song Joong Ki Files For Divorce From Song Hye Kyo
Song Joong Ki has officially filed for divorce from Song Hye Kyo.
On June 27, Song Joong Ki’s attorney Park Jae Hyun officially announced, “Our law firm filed for divorce on behalf of Song Joong Ki at the Seoul Family Court on June 26. Additionally, we would like to convey Song Joong Ki’s official statement.”
In his statement, Song Joong Ki apologized to his fans and explained that he hoped for an amicable divorce.

The actor’s full statement is as follows:
Hello. This is Song Joong Ki.
First, I’d like to apologize for delivering this unfortunate news to the many fans who love and care for me.
I have begun the process of filing for divorce from Song Hye Kyo.
Rather than denouncing one another and arguing over who is to blame, I hope that the divorce process can be wrapped up amicably.
I ask for your understanding in regards to the fact that it is difficult to discuss the details of my personal life, and I will recover from my current wounds and do my utmost as an actor to repay you through great productions in the future.
Thank you.

hii habari inawahusu wadau wote wa korean drama haijalishi wamekuwa bize humu ndani kwa sababu ya majukumu.
aminas
Nifah
Khantwe
Prishaz
talnam
scalethat
Numbisa
Great Conqueror

1139959
 
Song Hye Kyo Explains Reasons For Divorce From Song Joong Ki In New Statement

Song Hye Kyo’s agency United Artists Agency (UAA) Korea responded to the news on behalf of the actress.
A representative of the agency stated,

“We find it unfortunate that we are greeting you with unhappy news. After careful consideration, actress Song Hye Kyo and her husband are taking the first steps toward divorce.”

“The reason [for the divorce] is differences in personality,” continued the agency, “and because the two were unable to overcome their differences, they were forced to come to this decision.

We respectfully ask for your understanding in regards to the fact that we cannot confirm any further details out of respect for the two actors’ personal lives.

Additionally, we urge you to refrain from making scandalous posts and speculative comments.”
1139963
 
My favourite actor

Ji Chang Wook
Ameigiza drama nyingi na nzuri mno za genre tofauti tofauti

Drama

Empress Ki
Worrior Baek Dong Su
Whirlind girl 2
The k2
Suspicious Patner
Ipi drama unayoikubali mimi ni The k2 na Suspicious partner
hello jennie
nifanyie mpango nipate namba ya simu ya mwanadada lisa, sina uwezo wa kumlisha kimchi na ramen kila siku ila uwezo wa kumlisha wali wa kuchemsha na supu ya mikia ya kenge ninao.

najua muda huu upo naye karibu basi mwambie kuna fala fulani anapatikana maeneneo ya kolomijee amekupenda.
 
“Arthdal Chronicles” Responds To Questions About How Song Joong Ki’s Divorce Will Affect Programming

“We have already completed filming for ‘Arthdal Chronicles,’ and Part 2 has just begun airing. [The drama] will continue airing according to schedule. There are still two weeks of episodes left for Part 2.”

“We have not yet completely confirmed the broadcast schedule for Part 3,” continued the spokesperson. “However, there will be no changes to the broadcast schedule caused by the leading actor’s personal life.”

Earlier that day, Song Joong Ki announced that he had filed for a divorce from Song Hye Kyo after a year and a half of marriage
1139969
 
Park Bo Gum denies involvement in Song-Song couple divorce

Korean actor Park Bo Gum on Thursday denied rumors linking him to the divorce of Song Joong Ki and Song Hye Kyo.
After Joong Ki's camp announced early Thursday that he has filed for divorce, speculation floated, suggesting that Park may be involved in the split as he recently starred in the drama "Encounter" with Hye Kyo.

"Park Bo-gum, who recently starred in the drama with Song Hye-kyo, is unexpectedly mentioned in the rumor. It is offensive that Park’s name is mentioned in the divorce," said an official from Park's agency, Blossom Entertainment, as reported by the Korea Herald.

"Rumors about Park Bo-gum and Song Hye-kyo are absolutely not true," the official said.
The official added that Blossom Entertainment would take legal action against the rumors linking Park to the divorce.
Joong Ki's lawyer Park Jae Hyun bared that the actor filed for divorce at the Seoul Family Court on Wednesday.
Hye Kyo's agency, United Artists Agency, also released early Thursday a statement, which cited "differences in personality" as the reason for the split.

"The two were unable to overcome their differences, they were forced to come to this decision," Hye Kyo's agency said.
Joong Ki and Hye Kyo worked together in the 2016 drama "Descendants of the Sun," which became a big hit not only in its native South Korea but also across Asia.

The couple — one of the biggest celebrity couples in South Korea — went on to tie the knot in October 2017.
1139974
 
Ila yale mabusu ya kwenye encounter ni balaa. Anyway ni ndoa chache mno za mastaa zinazodumu

Curious labda bibie alikataa kuleta mtoto mpaka pale atakapoona ni muda sahihi wakati jamaa anataka bibie aongeze familia
jamani nilikuwa nje ya ulimwengu wa korean entertainment kwa takribani siku nne, nilipoingia soompi muda huu nimekutana na habari zinazoendelea kutrend tokea jana.

sijui hata nimlaumu nani


Breaking: Song Joong Ki Files For Divorce From Song Hye Kyo
Song Joong Ki has officially filed for divorce from Song Hye Kyo.
On June 27, Song Joong Ki’s attorney Park Jae Hyun officially announced, “Our law firm filed for divorce on behalf of Song Joong Ki at the Seoul Family Court on June 26. Additionally, we would like to convey Song Joong Ki’s official statement.”
In his statement, Song Joong Ki apologized to his fans and explained that he hoped for an amicable divorce.

The actor’s full statement is as follows:


hii habari inawahusu wadau wote wa korean drama haijalishi wamekuwa bize humu ndani kwa sababu ya majukumu.
aminas
Nifah
Khantwe
Prishaz
talnam
scalethat
Numbisa
Great Conqueror

View attachment 1139959
 
Back
Top Bottom