Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kazz0

Kazz0

Member
Joined
Mar 15, 2015
Messages
48
Points
95
Kazz0

Kazz0

Member
Joined Mar 15, 2015
48 95
Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.

Tuambiane;

- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?

- Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')

-Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?

Pia:

- Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?

- Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?

- Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?

- Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)

*Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!

Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!

=========

Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;

Be Strong Geum Soon

Princess Ja Myung Go

THREE DAYS (2014)

Swallow the Sun

Jumong

King Guenchoggo

=====

Links za ku-download drama za Kikorea;

- Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
- GoodDrama.Net

======

Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread)
..

Kazi kwako.. Enjoy!
 
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
3,875
Points
2,000
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
3,875 2,000
Lee Min Ho Confirmed To Reunite With “Heirs” Writer Kim Eun Sook For New Drama
“The King: The Eternal Monarch” is a drama that tackles the subject of parallel worlds.
In one world, the emperor of the Korean empire seeks to keep the doors closed, while in the other, a detective of the Republic of Korea seeks to protect his life and the people he loves.

mwanamama Kim Eun Sook ametangaza kurudi tena na drama mpya ambayo inategemewa kuonyeshwa mwaka ujao(2020), hii itakuwa ni mara ya pili kwa lee min ho kufanya kazi kwa pamoja na muandishi kim eun sook, project ya kwanza ilikuwa ni the heirs ambayo ni ya mwaka 2013

drama nyengine zilizoandikwa na mwanamama kim eun sook ni pamoja na goblin, mr sunshine, descendent of the sun, the heirs, love in paris, secret garden, gentleman dignity drama.

sijajua hii drama itakuwaje kwa sababu ukiangalia mtiriko wa plot yake huenda ikawa inafanana na the legend of the blue sea drama (sageuk + modern)
1557248018260-png.1091023
 
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
3,875
Points
2,000
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
3,875 2,000
Kim Ji Won Shares Why She Chose To Star In “Arthdal Chronicles”
“Arthdal Chronicles” is a historical drama about the mythical city of Arth, the capital of the Gojoseon kingdom, and the heroes who become legends.

kim ji won ameigiza uhusika wa Tan Ya ambaye ni msichana atakayekuwa ni mrithi wa kabila la Wahan,
namnukuu kim ji won:

mwanzoni mwa drama yi tan ni msichana wa kawaida tu ambaye si muanzilishi wa kabila la wahan na vile vile si mlinzi wa kabila hilo, ni msichana ambaye hakuwa na uwezo wowote lakini kadri muda ulivyokuwa unasogea aliweza kujijengea uzoefu mkubwa ambao ulimfanya awe na lengo kubwa analopaswa kulifanikisha.

aigoo nimekuwa mvivu wa kutafsiri taarifa.
1557248690793-png.1091034
jang dong gun + song joong ki + kim ji won + cho seong ha ahjussi = can't wait
 
FRANC THE GREAT

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Messages
1,189
Points
2,000
FRANC THE GREAT

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
Joined May 27, 2016
1,189 2,000
kama yupo msulihishi wa migogoro tunaomba ajitokeze na mapemaa kabla ya hawa watu wawili hawajatoana roho, mimi kazi yangu itakuwa ni kurithi kizuka haijalishi ameachwa na spika wa bunge au professor Assad.
bado sijaoa mwanamke hata mmoja, nataka niache harakati za kuwa baba mchungaji.
View attachment 1088950
Umenikumbusha Kitu. Ngoja Nishee (Share) Kitu Kidogo Kuhusiana Na Huyo Mzee Wa Kushoto!

>> Sijui Ni Wangapi Wamepata Kuiona Project Moja Hivi Ya Mwaka 2014/2015 Via KBS (Picha Hapo Chini) Inaitwa; What Happens To My Family? Humo Ndani Huyo Mzee Amecheza Kama Baba Mwenye Familia (Single Parent) Ambaye Watoto Wake Watatu Wamekuwa Wakimsumbua Kila Kukicha. Wa Kiume Wawili Na Huyo Wa Kike (Picha Ya Kwanza) Ndiye Big Sister Wao Au Noona Wao!

Hiyo Drama Mpaka Mwisho Imejaa Ucheshi Wa Hali Ya Juu Na Pia Kuna Baadhi Ya Vipande Vya Kusikitisha Na Kuhuzunisha Sana Kiasi Cha Kukufanya Ulie Si Kidogo Hasa Mwishoni Pale Ambapo Watoto Wanapokuja Kugundua Ni Jinsi Gani Utukutu Wao Umeweza Kumletea Mzee Wao Matatizo Makubwa Sana, Wahenga Husema "Majuto Ni Mjukuu!" Kwakweli Ni Project Yenye Mafundisho Mazuri Sana Ya Kifamilia. Kama Hujawahi Kuitazama Itafute And You'll Thank Me Later!

1557349262665-png.1092257

1557349416733-png.1092259

1557348999919-png.1092247

what-happen-to-my-family-1-jpg.1092216
 
Great Conqueror

Great Conqueror

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2018
Messages
276
Points
500
Great Conqueror

Great Conqueror

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2018
276 500
"Power without Political enemy is like stagnant water it will rot, you will end up losing power. If you want to get fame and wealth for longtime keep political enemy close"
Lee inim
 
Great Conqueror

Great Conqueror

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2018
Messages
276
Points
500
Great Conqueror

Great Conqueror

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2018
276 500
Nani alikuwa mwadilifu zaidi, kwa Raia na Nchi hata katika kuchanganua mambo(Great thinker).kati ya
1. Jeong Mong-Ju(Poeun)

2. Jeong Do-Jeon ( Sambong)
 
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
3,875
Points
2,000
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
3,875 2,000
Ina maana toka mlipoenda msibani mmesahau kurudi nyumbani?
unapokuwa umekufa huwa hujitambui kama umekufa isipokuwa walio karibu nawewe ndio wanafahamu maumivu ya msiba wako, ni sawa sawa na unapokuwa mjinga huwezi kujitambua kuwa ni mjinga haijalishi umefumbua mdomo wako mbele ya professor kabudi na wenzake walioshiriki kwenye dili la kuuza korosho kwa kampuni feki ya kenya.

Nasikia marehemu ameibiwa vito vyake vya thamani nyumbani kwake, si nilisikia nyumba yake huwezi kuiba kwa sababu inalindwa na mlinzi mwenye mikono mirefu kama jini ambaye huona kila pembe ya nyumba yake.

lakini niliwahi kusikia ukitembea mtupu (bila ya nguo) jini hakuoni na hata CCTV camera haziwezi kunasa video zako haijalishi zimetegwa na bishop gwajima
 
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
3,875
Points
2,000
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
3,875 2,000
Han Ga In And Yeon Jung Hoon Welcome Second Child
May 13 majira ya saa 8 kwa saa za korea:
mwanadada han ga in amefanikiwa kupata mtoto wa pili ambaye ni mwanamume.Taarifa hizi ni kwa mujibu wa BH entertainment ambao ndio wanamsimamia mwanadada huyo.
wawili hao walifunga ndoa mwaka 2005 na hatimaye kwa baraka za muumba walifanikiwa kupata mtoto wa kwanza ambaye ni ke mnamo mwaka 2016, duh ina maana walisomana tabia ndani ya ndoa kwa miaka 10.

hongera kwake na mume wake, endelea tu kufyatua bidada wala usiogpe chochote kama vibibi vile vyenye kucha mbaya za miguu kama kifaru khadija lakini ni wasafi wa makeup za uso.

nimemshuhudia kupitia drama zifuatazo:
terms of endearment drama
bad guy drama
the moon that embrace the sun
1557738992660-png.1095852
 
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
3,875
Points
2,000
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
3,875 2,000
EMPEROR WANG GUHN DRAMA
imenichukua miaka takribani mitatu kuiangalia hii drama and finally usiku wa jana nimeimaliza, drama kama hizi zinaangaliwa zaidi na wale binadamu wabishi, watemi na vichwa maji kama damushin ambao kwa kiasi kikubwa muda wao mkubwa huutumia kwa ajili ya kuangalia televisheni kuliko kufanya kazi mpaka anayaletea athari macho yake aliyopewa na muweza wa yote ulimwenguni.

jumla ya episode 200 na kila episode inachukua wastani wa dakika 48- 53, kilichonivutia ni kwamba 85% ya matukio yalioigizwa humu ndani yamerikodiwa kwenye vitabu vya historia na kwa kuwa washindi walikuwa ni goryeo basi kivyovyote maandishi ya kihistoria yaliorekodiwa yatakuwa upande wa kuisifu Goryeo.
Neno goryeo(koryeo) ndio msingi wa neno korea.
 1. wang gun amezaliwa na kufariki (31 January 877 – 4 July 943)
 2. ni mzaliwa wa shilla lakini chimbuko la ukoo wao ni watu kutoka goguryeo ya zamani, ukoo wao ulikuwa na heshima kubwa sana na utajiri uliotokana zaidi na biashara walizokuwa wakizifanya kwa njia ya bahari.
 3. kwa mujibu wa drama na maandishi ya kihistoria aliwahi kuwepo muhadhiri wa imani ya buddhism aliyeitwa dosun ambaye aliwahi kutabiri ya kwamba wang guhn atakuja kuwa mtawala mwenye nguvu kwenye hizi nchi tatu za baadae (laer goryeo+ later baekje +shilla)
 4. wang guhn alitawala goryeo kwa miaka 25,ndipo madaraka yake yakarithiwa na mtoto wake wa kwanza ambaye ni wang mu lakini alifariki baada ya miaka miwili ya kuwa madarakani
 5. wang guhn alioa wanawake takribani 30, kwa kiasi kikubwa alifunga ndoa zaidi za kisiasa kwa dhumuni la kuunganisha damu dhidi ya koo tofauti ambazo ziliamua kujisalimisha kwa wang guhn.
 6. upande wa pili alikuwepo jamaa anayeitwa gong ye ambaye alizaliwa na mfalme wa shilla lakini kupitia kwa mwanamama amabye ni concubine, huyu jamaa alikutana na mitihani mingi sana uddogoni mwake alipokuwa shilla ikiwemo kupoteza jicho lake na alishuhudia kifo cha mama yake jambo lililopelekea aikimbie nchi yake na kuwa MONK.
 7. Gong yae baadae alipata nguvu kubwa sana na kufanikiwa kuanzisha taifa lake ni kulipa jina la Taebong, ukoo wa wang guhn waliamua kujisalimisha kwa gong yae na hatimaye akapewa cheo cha general, mfalme gong yae alivutiwa sana na wang guhn kiasi ambacho alifikia hatua ya kumtangaza wang guhn kama ni mdogo wake.
 8. miaka ilizidi kusogea huyu jamaa akawa na chembe chembe za kidikteta, miongoni mwa vitendo vyake vya ovyo ni kuisambaratisha familia yake mbele ya hadhara, baadae gong yae akamua kulibadilisha jina la taifa lake kutoka Taebong kuelekea Majin.
 9. mwaka 918 takribani wanajeshi wanne wenye nguvu nchini Taebong waliamua kumfuata wang guhn nyumbani kwake kwa dhumuni la kumshauri ashiriki kwenye kampeni yao ya kutaka kumpindua mfalme gong yae ambaye alikwisha vuka mipaka kwa matendo yake maovu, wang guhn alikataa mpango huo lakini baadae baada ya kubembelezwa na mke wake hatimaye akaongoza kampeni ya kumuondoa madarakani mfalme gong yae kwa njia ya mapinduzi.
 10. mfalme gong yae aliuawa pamoja na wafuasi wake na hatimaye wang guhn akabeba ufalme na kutangaza rasmi utawala wa goryeo(goguryeo mpya).
 11. alikuwepo general aliyeitwa kyu hwon kutoka shilla, huyu general nayeye alifanya mapinduzi kwa kuivamia shilla maeneo ya mujinju na hatimaye baadae akaanzisha taifa lake ambalo ni HUBAEKJE ( baekje mpya)
 12. wenye lugha yao wanadai ya kwamba kama utashindwa kuiongoza familia yako haijalishi wewe ni shujaa unayeogopeka basi pia utashindwa kuiongoza tawala yako kwa amani na ndicho kilichomkuta huyu mfalme.
 13. alitokezea kumpenda sana sana mtoto wake wa mwisho huku akimchukia mnoo mtoto wake wa mwanzoni kupitia kwa mke wa mwanzoni, jamaa aliipa mafanikio makubwa sana hubaekje ikiwemo kampeni yake ya kuivamia shilla na kumuua mfalme wa shilla huku akimweka mfalme mwengine aliyekuwa akiendana na maamuzi yake lakini vita ya familia ilipelekea anguko la nchi yake.
 14. mtoto wake wa kwanza aliitwa shin guhm ambaye aliamua kufanya mapinduzi kwa kumuondoa madarakani baba yake na pia aliamua kumuua ndugu yake wa kambo aliyeitwa keum gang na hatimaye akawa mfalme wa pili baekje.
 15. kyu hwon hatimaye akaamua kukimbilia goryeo ili apate hifadhi kutoka kwa wang guhn ambaye ni adui wake wa muda mfrefu ambaye wameshakutana mara kwa mara vitani, mzee aliona ni bora ajisalimishe kwa wang guhn kuliko kumuunga mtoto wake wa kumzaa awe mfalme.
 16. vita ya mwisho hatimaye hubaekje wakajisalimisha kwa goryeo na baadae shilla pia wakajisalimisha kwa goryeo, bila ya kusahau taifa la balhae ambalo lilianzishwa na general daejoyong kutoka goguryeo nao pia walijisalimisha kwa goryeo.
 17. hawa balhae utawala wao uliangushwa na wahuni wanaoitwa KHITAN, hatimaye goryeo wakafanikiwa kuziunganisha kingdom tatu na wang guhn kupewa heshima ya emperor.
 18. shilla waliziunganisha tawala tatu kwa kutumia msaada zaidi kutoka nchi za kigeni hususani Tang.
 19. wang guhn hakutegemea nguvu za nchi za kigeni kuziunganisha three kingdom za baadae.
maisha ya emperor wang guhn na baadhi ya watoto wake pia yameelezewa kupitia drama zifuatazo
scarlet heart ryeo
shin or go crazy

huyu wang guhn kwa vipindi tofauti alizungukwa na wanadamu wenye akili zaidi kuliko binadamu wengineo kama mimi.

choi ung= aliingia madarakani akiwa na miaka 14 nyakati za utawala wa gong yae, alikuwa ni zaidi ya genius na alifariki akiwa na miaka 35
choi jimong = huyu jamaa alibobea mnoo kwenye elimu ya nyota
1557985049590-png.1098969

mzee wa liver

mzee wa liver

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Messages
67,708
Points
2,000
mzee wa liver

mzee wa liver

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2014
67,708 2,000

View attachment 1098969
Mkuu hongera sana kwa uchambuzi wako mm mwenyewe nimetoka kuimaliza wiki chache zilizopita hakika ni mojawapo ya historical drama bomba
 
Hakika Goryeo na Jeosun ni mataifa ambayo yalibahatika kuwa na watu wenye akii nyingi, kwa bahati mbaya walishindwa kujiondoa katika utumwa wa Wachina. Wao waliamini kuwa njia ya diplomasia ingekuwa suluhisho zaidi, lakini wachina na wajapani waliendelea kuwaonea sababu walijua ni Watu dhaifu.
 
Assignment kama hizi unazotoa unadhani lini miye nitaketi na kutazama Drama za mjini?!
 
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
3,875
Points
2,000
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
3,875 2,000
Assignment kama hizi unazotoa unadhani lini miye nitaketi na kutazama Drama za mjini?!
teh teh teh lakini mkuu hizi assignment is not compulsory, jisikie huru kuchagua swali ulipendalo.
lakini tu usije ukafuata tabia za punda yule wa juha aliyerudi kwenye mtihani hatimaye kila akiulizwa swali la ngapi umejibu akaishia kusema maswali ni magumu na mengine nimeyasahau majawabu yake.
 
Forum statistics

Threads 1,294,039
Members 497,789
Posts 31,163,053
Top